Uwendawazimu wa watu wa dini (Ukristu na Uislamu) upo hapa

Dini zote zinaruhusu baadhi ya watu kuuwawa,
Uislam unasema atayeuwa kwa makusudi naye auwawe,
Ukristo unasema mchawi auwawe,
Iyo ni mifano tu kwa uchache.
Kikubwa ni kuheshimiana na kuvumiliana sisi sote ni ndugu kiasili na Mungu ni mmoja!
Ukristo haujatoa ruhusa ya mtu kuuwawa jamaa, wapi hiyo ipo kwenye kitabu?
 
Mungu Hana Dini. (Achaneni na uongo wa Mudi)

Dini ni identify ya watu wanaomuabudu mungu au miungu kwa taratibu au kanuni Fulani.

Kwani Ibrahim, Isack na Yakobo walikuwa Dini gani?
Hapo sasa ndiyo patamu
 
Ukishaelewa huyo Mungu hayupo na hizi dini ni vyama vya siasa vya zamani sana vilivyoundwa na watu tu, maswali yote haya yanaondoka.
 
DINI NI KILEVI CHA WATU, UKISHALEWA KINACHOTOKEA UNAJUA
 
Jambo la ubaguzi halikuwa jema kwa wanaobaguliwa lkn kwa wanao bagua Ni Jena Tena Sana.

Eleza ubaya wa dini za kiislamu na ukristo.
 
Kila dini ina Mungu wenye tabia tofauti ila shetani wa dini zote ni mmoja mwenye tabia zinazofanana kwa dini zote. Wake yo ass up homie , gademit.
Dini zote zinafanana mafundisho zimebase kwenye utu, utakatifu,haki, upendo
 

achana na hawa watu wa dini ni

Mtu mwenye akili timamu kabisa na mwenye uwezo wa kuchunguza mambo na kufikiri vizuri, hawezi kufuata ukristo au uislamu.

Labda aende kule kama kichaka cha kufichia maovu yake, kujipatia pesa kwa waumini au kwa mambo yake binafsi.
Mtu mwenye akili za sawasawa akifikiria vizuri atagundua, lazima kuna anayeendesha mambo hv vitu havijatokea tokea tu lazima kuna lengo la ivo vitykuwepo, na atajaribu kumtafuta uyo ulofanya ivo vitu viwepo
 
Mtu mwenye akili za sawasawa akifikiria vizuri atagundua, lazima kuna anayeendesha mambo hv vitu havijatokea tokea tu lazima kuna lengo la ivo vitykuwepo, na atajaribu kumtafuta uyo ulofanya ivo vitu viwepo
Kwani kumtafuta huyo unaesema amefanya vitu viwepo ni lazima uwe mkristo au muislamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…