Uwendawazimu wa watu wa dini (Ukristu na Uislamu) upo hapa

Acha kumsingizia Mungu Kuna dini zimeanzishwa na watu na Wala sio Mungu

Kuna dini Moja ilianzishwa na watu pale Antokia alafu wewe unasema Mungu

Yani kama mtu unafuata dini isiyo sahihi inamaana unafuata dini alianzishwa na watu kwahiyo wewe hao watu wamekuzidi akili ndio maana unawafuata

Yani dogo alikuwa anacheza kombolela na watoto wenzake katika mitaa ya Galilaya
Alafu mama yake anamuita na kumtuma dukani akanunue unga wa ngano na mafuta ya taa
Leo hii waliokuzidi akili wanakuambia huyu ndio Mungu wako na wewe unakubali alafu unakuja kumlaumu Mungu?

Mungu amesha kuumba amekupa na akili Ili uweze kutafakari mambo Kwa kina
 
Hizi dini 2 kama Simba na yanga. Cha ajabu kuna maefu ya dini lakini hawahangaiki na dini nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…