Mzinzi ameumbwa na Mungu, na Mchamungu pia ameumbwa na Mungu, so Hapo unadhani Mungu amekosea? Au alishindwa kumfanya mzinzi awe mcha mungu???Hapo sasa unakuwa unamjaribu Mungu, Mungu hafanyi kazi yake kwa kufundishwa au kuambiwa jukumu lake....
Nakila linalotokea huwa lina sababu yakutokea
Hapo ndipo utakapoona huyo Mungu hayupo, ni stories tu.Mungu hana upendeleo, kama aliwashushia MANA jangwani enzi za Mussa na haruni, Sasa Anashindaje kumshushia Japo kipande cha andazi Maskini mcha mungu anayekaribia kufa na njaa ??? kwani Mungu ana upendeleo??
cC. Kiranga
Quran inakwambia kuna watu Allah kafanya kwa makusudi mioyo yao iwe migumu kumuelewa.Mzinzi ameumbwa na Mungu, na Mchamungu pia ameumbwa na Mungu, so Hapo unadhani Mungu amekosea? Au alishindwa kumfanya mzinzi awe mcha mungu???
But finnaly mzinzi anakwenda kuchomwa...
Dah
Hehehe kizungumkutiHapo ndipo utakapoona huyo Mungu hayupo, ni stories tu.
Na jinsi watu wanavyozidi kuelimika, huu ujinga unafutika.
AiseeQuran inakwambia kuna watu Allah kafanya kwa makusudi mioyo yao iwe migumu kumuelewa.
Halafu watu hawa, siku ya kiyama, Allah atawahukumu na kuwachoma moto, kwa sababu hawajamjua.
Hata kama hawajamjua kwa sababu Allah mwenyewe aliwafunga mioyo yao wasimjue.
Huyo Mungu kweli yupo au ni stories tu?
Usihusishe bangi na mambo yakijinga mkuu.madhara ya bangi
Ahya andaa maelezo yako.Sipo popote namfuata Mungu personal sababu kila mtu atajieleza kivyake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaaaHili sasa povu mkuu [emoji3]
anaachaje kutokwa na povu c anajua watu wameshamjua mungu wake kuwa ni tax collector, sadaka collector, michango collector, hela za maombi collector na mwisho wa siku waumini wanakuwa Nothing getter...Hili sasa povu mkuu [emoji3]
Halafu mtu anakwambia ni bora aamini Mungu yupo halafu asiwepo kuliko asimini yupo wakati yupo.anaachaje kutokwa na povu c anajua watu wameshamjua mungu wake kuwa ni tax collector, sadaka collector, michango collector, hela za maombi collector na mwisho wa siku waumini wanakuwa Nothing getter...
na kila huyo muumini alichokipata kwa nguvu zake anasema mungu kanibariki, alivyokua na akili mbovu..
it is very abnormal to praise and worship EMPTINESS.
Fanya kazi acha uvivu,Kama kusali hakuondoi dhiki basi haina maana
Kumbe kumuomba Mungu ni uvivu?Fanya kazi acha uvivu,
Kufanyakazi pia ni kumuomba Mungu.Kumbe kumuomba Mungu ni uvivu?
Wewewew aliens are the most intelligent creatures ever, programs nyingi unazoionaa duniani wameinvert waooo,Hivyo viumbe vingingine huko sayari nyingine vingekuwa interigent kuliko sisi binadamu vingegundua dunia na uwepo wetu kabla sisi hatujawagundua
brah, kauli yako mbona tata?Mkuu, Inawezekana wao walishatugundua Ila kwakuwa hatuko intelligent enough hatujui Kama tunaishi nao humu humu duniani.
hahahaha, GwaraWewe umeongea hapa?Au umeandika?