Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

As I mention Above that spiritual matters is not for low minded but is for those who are already reached at the high peak of being open minded .
Unakimbia kimbia tu As always....kiroho is unfalsifiable n unprovable ninaweza amka nikasema kitu fulani ni kiroho na nyie mna bidi muamini tu coz u got no choice...it's bullshit
 
Unakimbia kimbia tu As always....kiroho is unfalsifiable n unprovable ninaweza amka nikasema kitu fulani ni kiroho na nyie mna bidi muamini tu coz u got no choice...it's bullshit
Hilo chaka la kiroho unaweza ibukia nalo ukajipigia pesa kwa kondoo na apo ndipo matapel wanapojifichia.
 
Na huyo mungu yeye alitokea wapi? Acha upuuzi wewe usikute unawatoto na unawafundisha huu upuuzi . .....tusiwe wavivu wa kufikiri, wewe uliomba kuja huku duniani? Kama unaamini kwamba kabla haujaletwa huku ulikuwa kwa mungu wako, why akuchome moto? Kwann asikupe akili ambayo ingeweza kumkubali yeye tu? Kwanini alimuumba shetani? Kwanini aliumba dunia yenye uwezekano wa kuzini kuua,kuiba,kusema uongo,kulala njaa,kuulitaja jina lake bure,kukosa heshima kwa wazazi wake? ,kuuwawa,kuua nk!!!? Yeye anatofauti gani na binadamu alietengeneza gari, ambalo halina heshima? Kwamba linaweza kukugonga wewe ulielitengeneza,linaweza kuharbika then ulipeleke geriji au haujui gereji ya binadamu ni hospitali? , cha msingi mtuambie huyo mungu alitokea wapi? Hata kama alikuepo na ataendelea kuwepo basi tujue alikuepo duniani kutokea wapi?

Kukosa chanzo chetu isiwe sababu ya kuamini tu mungu yupo.

Yaani ukachomwe moto na mungu mwenye huruma,upendo,mkweli ,na mjuaji? Kwa kosa la kuzini , na hapo haujawahi kuomba kuzaliwa, au kutoa maoni kuhusu ulimwengu kuwepo ni sahihi?
Unapo anza kubwatuka na kusema hakuna mungu huu tu. niusibitisho tosha wa uwepo wake kama kweli mungu hayupo ume reply ili iweje.???
Unaweza kupoteza muda wako kujadili kitu ambacho hakipo.???
Jibu ni hapana.
Unacho kifanya wewe ni kumpinga.
Fikiria kwanza kabla huja kurupuka chukuwa hiyo itakusaidia.
 
Akili ni nini? Wewe ndiye umeitaja akili, define akili.

Halafu, hata nikishindwa kuthibitisha nina hiyo akili, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Ninaweza kusema kuwa mimi kushindwa kufanya chochote ninachotaka kufanya ni ushahidi kwamba Mungu muweza yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo Mungu huyo, viumbe wote wangeweza kufanya yote wanayotaka, na yale ambayo yangekuwa si mazuri, Mungu angewaziba wasiyajue na kuyataka.

Hivyo, mimi kutoweza kuthibitisha chochote ninachotaka kuthibitisha ni ushahidi kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Unaelewa hoja yangu ni kwamba Mungu hayupo, hoja yangu si kwamba mimi nina akili?

Sasa mbona unaacha kujibu hoja yangu kwa kuthibitisha Mungu yupo, unanitaka nithibitishe akili, kitu ambacho jwanza mini sijawahi kusema nina akili, weee huja define akili ni nini, na hata nikishindwa kuthibitisha nina akili, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo, acha kuleta hoja tofauti ambazo mimi hata sizisimamii, halafu ukanipachika kwa lazima na kunitaka nizithibitishe.

Thibitisha Mungu yupo.
Elimu yako haija kugomboa.
Hivi unaweza kupoteza muda wako kujadili kitu ambacho hakipo serious, usha sema hakuna mungu why bado una reply post za watu. S utulie tuu
Sasa kwa taarifa yako kama unadhani una mpinga mungu unajidanganya.
Unavyozidi kujadili ndo unazidi kumtukuza unless otherwise ukaa kimya.
 
Unapo anza kubwatuka na kusema hakuna mungu huu tu. niusibitisho tosha wa uwepo wake kama kweli mungu hayupo ume reply ili iweje.???
Unaweza kupoteza muda wako kujadili kitu ambacho hakipo.???
Jibu ni hapana.
Unacho kifanya wewe ni kumpinga.
Fikiria kwanza kabla huja kurupuka chukuwa hiyo itakusaidia.
Fikiria mimi nikurupuke huko nianze kuandika humu , aisee Mr melo yupo .
 
Hakikisha unatetea kiumbe unachokijua na sio kutaka kila mtu aamini hadith za kiarabu za juma na uledi.
Nasisitiza hakikisha unakijua unachokijadili, Kuna muda naona uzito kukuuliza. Mfano hiki ulichokiandika nikikuuliza swali kutokana nacho hakika utashindwa kujibu swali hilo.

Nataka uje kuthibitisha ya kuwa hizo ni hadithi za Kiarabu za Juma na Uledi. Hakikisha unachokiandika unakijua, hapo ukute hata Kiarabu hukijui, bali dini yenyewe huijui.

Nyinyi mna matatizo ya akili.
 
Hii maada ni ngumu sana. Any way ngoja kila mtu ashikilie anacho kijua
 
Lakini unakubali kwamba kuna contradictions fulani za kimantiki zinazoonesha kitu fulani hakipo?

Kwamba, kama tunajua kamwe binti wa umri wa miezi 6 leo hawezi kuwa na mtoto wa kumzaa yeye mwenyewe, halafu tunaambiwa kuwa kuna binti wa miezi 6 leo, Anna, ana mtoto wa kumzaa mwenyewe, Juma, mwenye miaka 30 leo, tutajua habari hiyo ni ya uongo, kwa sababu ime contradict principle ya kwamba binti wa miezi 6 hawezi kuwa na mtoto wa kumzaa, na pia ime contradict timeline, binti wa miezi 6 ni mdogo kuliko mwanaume wa miaka 30.

Hivyo tunaweza kujua kuwa, binti wa umri wa miezi 6 leo, hawezi kuwa mama mzazi wa kibaiolojia wa mwanamme mwenye umri wa miaka 30 leo?

Unakubali mantiki hii ya proof by contradiction?
Mm ninachokuliza tu ni kwambs unakubali kwamba kuna realities beyond Logic...
Mfano wewe ndugu usijizime data wewe ni mwafrika je imani za kichawi/ushirikina unakubali zipo au hazipo?
Kama zikiwepo je ni mantiki gani inayoelezea occurences hizo...
Mfano ulioutoa ni kweli kwa mantiki za kibinadamu haiwezekani.... Lakini kuna matukio huripotiwa yanayokosa ufafanuzi kwa mantiki.... Vivyo hivyo swala la uwepo wa Mungu haliwezi kamwe kufit kabisa katika logic.. Lakini kutakuwa na traces chache ambazo zitakuwa na missing links.....
 
Elimu yako haija kugomboa.
Hivi unaweza kupoteza muda wako kujadili kitu ambacho hakipo serious, usha sema hakuna mungu why bado una reply post za watu. S utulie tuu
Sasa kwa taarifa yako kama unadhani una mpinga mungu unajidanganya.
Unavyozidi kujadili ndo unazidi kumtukuza unless otherwise ukaa kimya.
Ikiwa kuna ugonjwa mbaya sana, unaua watu vibaya.

Halafu kuna mganga muongo, anasema ana dawa inayotibu ugonjwa huu. Dawa hiyo haipo, lakini mganga huyu muongo anaitangaza kiujanja kuwa ipo, anawauzia watu. Watu wanatumia vidonge vya maboya wakifikiri nindawa inayotibu.

Watu wanakufa sana kwa ugonjwa huu.

Wengine hawajikingi na wanapata maambukizi kwa kutumaini dawa ya kuwaponya ipo.

Akija daktari mwingine anayejua kuwa hii dawa haipo, hiyo inayosemwa ni feki, utamsema vibaya huyu daktari anayeimulika hii dawa feki na kusema kwa nini anatumia muda wake kuisema dawa ambayo haipo?

Hapo unashindwa vipi kuelewa kwamba kumulika uongo na kiweka wazi ukweli ni jambo zuri?

Unamlaumu daktari anayeisema dawa ya uongo kwa kigezo cha kusema kwa nini anajishughulisha na dawa ya uongo?

Unaelewa hoja yako?
 
Ikiwa kuna ugonjwa mbaya sana, unaua watu vibaya.

Halafu kuna mganga muongo, anasema ana dawa inayotibu ugonjwa huu. Dawa hiyo haipo, lakini mganga huyu muongo anaitangaza kiujanja kuwa ipo, anawauzia watu. Watu wanatumia vidonge vya maboya wakifikiri nindawa inayotibu.

Watu wanakufa sana kwa ugonjwa huu.

Wengine hawajikingi na wanapata maambukizi kwa kutumaini dawa ya kuwaponya ipo.

Akija daktari mwingine anayejua kuwa hii dawa haipo, hiyo inayisemwa ni feki, utamsema vibaya huyu daktari anayeimulika hii dawa feki na kusema kwa nini anatumia muda wake kuisema dawa ambayo haipo?

Hapo unashindwa vipi kuelewa kwamba kumulika uongo na kiweka wazi ukweli ni jambo zuri?

Unamlaumu daktari anayeisema dawa ya uongo kwa kigezo cha kusema kwa nini anajishughukisha na dawa ya uongo?

Unaelewa hoja yako?
Mfano wako hauwenda na mada husika.
 
Unapo anza kubwatuka na kusema hakuna mungu huu tu. niusibitisho tosha wa uwepo wake kama kweli mungu hayupo ume reply ili iweje.???
Unaweza kupoteza muda wako kujadili kitu ambacho hakipo.???
Jibu ni hapana.
Unacho kifanya wewe ni kumpinga.
Fikiria kwanza kabla huja kurupuka chukuwa hiyo itakusaidia.
Thor yupo?
 
Hapana,

Lugha yetu haija define mambo vizuri, nakutaka unielezee una maana gani unapotumia neno akili? Umeshindwa.

Umeshindwa hata kuuliza swali!

Suppose nikikwambia sina akili, au nina akili, hilo lina prove vipi Mungu yupo au hayupo?

Jibu lolote nitakalokupa, hali prove Mungu yupo au hayupo.

Nikikwambia nina akili, ukaniambia thibitisha una aklli. Nikakwambia siwezi. Kutoweza kwangu kuthibitisha kuwa nina akili hakuthibitishi Mungu yupo.

Ukitaka kufanya kushindwa kwangu kuthibitisha kuwa nina akili kuwa sawa na Mungu kuwepo ila watu kushindwa kumthibitisha tu, utakuwa unafanya logical fallacy ya logical non sequitur.

Na mimi naweza kukwambia, una akili? Ukasema ndiyo. Nikakwambia thibitisha una akili. Ukasema siwezi, ila ninazo. Na mimi nikakwambia ahaa, basi kwa kuwa wewe una akili na huwezi kuthibitisha kuwa una akili, basi na mimi ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, na kama ambavyo wewe huwezi kuthibitisha una akili, ndivyo hivyo hivyo huwezi kuthibitisha kuwa mimi ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.

Mimi ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ika wewe huwezi kuthibitisha hilo tu, kama ambavyo wewe una akiki, ila huwezi kuthibitisha hilo tu.

Logical non sequitur.

Wewe kushindwa kuthibitisha kuwa una akili hakuthibitishi kwamba mimi ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Nikisema mimi ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, inabidi nithibitishe hilo.

Ukisema Mungu yupo, thibitisha hilo. Usitake kufanya mimi kushindwa kuthibitisha nina akili ndiyo uthibitisho kwamba Mungu yupo, ila hatuwezi kuthibitisha yupo.

Mimi nikishindwa kuthibitisha nina akili, hilo halithibitishi Mungu yupo, litathibitisha tu kwamba mimi siwezi kuthibitisha nina akili.

Umeelewa kuwa swali lako, katika kuthibitisha Mungu yupo au hayupo, ni irrelevant?

Nikisema nina akili, nikashindwa kuthibitisha akili ninayo, hilo hali prove Mungu yupo.

Nikisema nina akili, nikaweza kuthibitisha akili ninayo, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Nikisema sina akili, nikashindwa kuthibitisha akili sinayo, hilo hakithibitishi uwepo wa Mungu.

Nikisema sina akili, nikaweza kuthibitisha akili sinayo, hilo halithibitishi uwepo wa Mungu.

Swali ni irrelevant. Kwa sababu jibu lolote halitusogezi popote katikankujua zaidi kama Mungu yupo au hayupo.

Maswali kama haya ya kuokoteza kwenye video clips za comedy za Wa Nigeria yanaweza kuonekana magumu na ya muhimu kwa watu wajingawajinga wasiojua kutumia mantiki katika kuwaza.

Watu wanaoangalia kila sentensi kimantiki, wanaona logical non sequitur fallacu katika huu mchezo wa kitoto wa Ki Nigeria kuwakamata atheists.

Zaidi ya yote, madai ya kusema Mungu hayupo hayatokani tu na ukweli kwamba watu hawawezi kuthibitisha Mungu yupo.

Ni kweli, inawezekana kitu kikawepo halafu watu wakashindwa tu kukithibitisha kuwa kipo. Hivyo, ingekuwa madai ya kwamba Mungu hayupo yanatokana tu na watu kushindwa kuthibitisha Mungu yupo, madai hayo ya kusema Mungu hayupo yangekuwa dhaifu. Tumeishi miaka mingi bila ya kujua formulaes za kemikalo za madawa ya antibiotics kwa mfano, ila sisi kutojua formulaes za kemikali hizo hakukufanya kemikali hizo zisiwepo.

So, kusema tu Mungu hayupo kwa sababu watu hawawezi kuthibitisha yupo ni weak argument.

Ni sawa na kusema babu wa babu yako hajawahi kuishi, kwa sababu wewe leo huwezi kuthibitisha babu wa babu yako aliishi. Pengine huna record tu, lakini huyo babu wa babu yako aliishi.

Tunapinga uwepo wa Mungu kwa sababu hamuwezi kuthibitisha Mungu yupo na pia dhana ya kuwepo Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote iko contadicted na ulimwengu huu tunaouona unaoruhusu mabaya, the problem of evil shows God and this universe are mutually exclusive, and because this universe exists, Gid does not.

I am not sure you can get that through your head.
Nilichokuwa natafuta kwenye mfano huo ni parallel situation kwamba kama maelezo utayakosa huku unaweza tumia phenomenon nyingine ukapata majibu... Hivyo kama unakiri kwamba kuna vitu ambavyo vipo lakini hatuna maelezo ya kuvielezea kwa undani vivyo hivyo kumbe dhana ya kwamba Mungu yupo inaweza kuwa halisi sema tunakosa maelezo ya kimantiki kuelezea hilo... The allegories are just different but parallels..
 
Mm ninachokuliza tu ni kwambs unakubali kwamba kuna realities beyond Logic...
Mfano wewe ndugu usijizime data wewe ni mwafrika je imani za kichawi/ushirikina unakubali zipo au hazipo?
Kama zikiwepo je ni mantiki gani inayoelezea occurences hizo...
Mfano ulioutoa ni kweli kwa mantiki za kibinadamu haiwezekani.... Lakini kuna matukio huripotiwa yanayokosa ufafanuzi kwa mantiki.... Vivyo hivyo swala la uwepo wa Mungu haliwezi kamwe kufit kabisa katika logic.. Lakini kutakuwa na traces chache ambazo zitakuwa na missing links.....
Mimi sikubali uchawi kuwepo kwa sababu zile zile ambazo zinanifanya nisiamini uwepo wa Mungu.

Uchawi ni story ile ile ya miujuza, ni muendelezo wa story ya Mungu.

Hakuna mtu anayeweza kuthibitisha uchawi.

Nikikuuliza wewe kwa mfano, uchawi ni nini na unathibitishaje huu ni uchawi na huu si uchawi ila ni kitu tu ambacho sijakijua bado, utathibitishaje?

Mababu zetu walioishi miaka 300 iliyopita wakija leo na kuona teknolojia ya ndege, internet, TV, watasema uchawi.

Je, hilo linamaanisha teknolojia hizi ni uchawi?

Je, na wewe ukikutana na mtu mjanja mwenye trick ya teknolojia usiyoijua, akakwambia huu ni uchawi, utajuaje huu ni uchawi na si teknolojia tu usiyoijua?
 
Back
Top Bottom