Mfano wewe una familia yako ume iyanzisha mwenyewe una sheria zako unaweza ruhusu mtu mwingine, akupangie chakufanya bila matakwa yako.Ukishanipa task ambayo ubongo wangu utashindwa ku imagine, hilo nalo litathibitisha Mungu mjuzi wa yote, nuweza yote na mwenye upendo wote hayupo.
Unaelewa hilo?
Kuna mambo haya hitaji PhD kuyaelewa ni simple tu, mnatumia nguvu nyingi sana kwa points ambazo hazina mashiko.Ukishaanza kuweka mambo ya pengine
Unaanza kutia wasiwasi, sababu tunaweza kusema pengine wewe ni mwendawazimu sababu tu mmetofautiana mitazamo.
Umeleta hoja, tetea hoja zako.
Mkuu Nyani Ngabu kuna documentary ulisema unaandaa kuhusu Gambosi (nadhani ndio usahihi).Aisee unajifanya mjanja eh? Ngoja sasa niwacheki wataalamu kutoka Gambosi 🤣.
View attachment 2837881
Unauona huu mti? Sasa hapo ndo penyewe makao makuu ya hao wataalamu.
Ila tusilaumiane tu….😀
View attachment 2837891
Unatetea hoja kusema hakuna mungu kwa sababu zipi nataka nianze na weweUkishaanza kuweka mambo ya pengine
Unaanza kutia wasiwasi, sababu tunaweza kusema pengine wewe ni mwendawazimu sababu tu mmetofautiana mitazamo.
Umeleta hoja, tetea hoja zako.
Sijaona contradiction zozote zaidi ya upuuzi jambo kama hali kuusu kaa pembeni sio kila kitu lazima uzungumzeUnaze na mimi vipi,
Umeomba contradiction katika Quran ukaletewa ukadai huwezi kusoma kingereza, unataka usaidiwe vipi?
Si hitaji huwo upuuzi, kama unaweza andika aya kishindwa pita kushoto haina haja ya replyKuna mambo hayahitaji hata elimu ya awali kuyaelewa.
Hakuna. contradiction hata moja uliyoitatua zaidi ya kuleta maneno matupu.
umeulizwa kwanini una amini allah out of 30000 gods? Huna ulichojibu zaidi ya kupiga soga.
sasa hatuelewi unashindwa vipi kutetea kitu unachoclaim kipo.
Umekuja ukasema kwamba mungu yupo, ulipaswa uonyeshe uthibitsho kwa kuondoa mkanganyiko katika dhana ya uwepo wake.
Sijui kama unaelewa hata kwanini tunapinga uwepo wa mungu?
Hakuna shida kuamini kuhusu allah, tuonyeshe allah huyo ni perfect pasipo kuwa na mkanganyiko?
Tukuwekee tena contradiction za Quran?
Nionyeshe ni wapi uliposema mjadala huu unahusu watu Fulani?Huu mjadala haukuhusu, pita mita 100
Open forum.Ni kuhusu sio kuuusu
Mkuu ungelifahamu hilo ungeenda kujadiliana na babu na bibi yako, sijui unanipata hapo?
Hii ni open forum, kusema jambo Kama halikuhusu ni kuonyesha jinsi gani unashindwa kutawala mjadala wako.
Kushindwa kuandika huo kuandika huwo kunathibitisha wewe na allah hamuwezi kuwa perfect hivyo hawezi kuwepo.Si hitaji huwo upuuzi, kama unaweza andika aya kishindwa pita kushoto haina haja ya reply
Kwani yupo wap mkuu ? Unafikiri angekuwepo kuna mtu angekuja bishana na wewe apa ?Unatetea hoja kusema hakuna mungu kwa sababu zipi nataka nianze na wewe
Tungekua tunatolea ufafanuzi wa hizo contradiction ingeleta maana nzuri zaidi .Sijaona contradiction zozote zaidi ya upuuzi jambo kama hali kuusu kaa pembeni sio kila kitu lazima uzungumze
Actually hii miadala ni kwa sababu tuna tofautiana kufikiri pale unapoana maybe mtu anaenda rong ni heri urudi usome lakini. Kusoma upande mmoja tuu wavitabu haisaidii.Kwani yupo wap mkuu ? Unafikiri angekuwepo kuna mtu angekuja bishana na wewe apa ?
Mwendelezo wa hizi topic za uwepo Mungu miaka na miaka ni kuonyesha kuna mkanganyiko mkubwa sna.
Ivi vitu havijaanza Leo mkuu tutakufa tutaacha haya maswali yakiendelea.
Na kadri mda unavyokwenda changamoto nyingi zinavyozidi kupata majibu ya kisayansi ambapo kwenye vitabu vya din zilionekana ni kama laana kutoka kwa Mungu , watu watazidi kuhoji sana.
Nchi nyingi tu za kiislamu wanazid kuzibadili taratibu mbalimbali , ukienda uturuki sasa, uislamu kuna mambo yapo simple tu kama ukristo, ukitaka kujua fanya utafiti usiniulize.
Issue ya uwepo wa Mungu haina udhibitisho , Issue ya dunia iliinzaje sioni kama inamashiko sna na hata kama inamashiko sababu ya kusema ni Mungu pia haina mashiko kwa sababu maswal hayatakuwa na ukomo.
A contradiction occurs when one statement on a subject excludes the possibility of another. The first one here is a good example. In Surah 19:67, it states that man was created out of nothing. In 15:26, man is created from clay. Since clay is something, we have a contradiction since “nothing” excludes the possibility of “clay.” Both cannot be true.Open forum.
Uliulizwa swali ulijib.? Kama ulijuwa open forum
Yaani mungu wako ameshindwa kukufundisha jinsi ya kuandika wrong akakwambia kwamba ni rong Halafu unashauri watu warudi kusoma?Actually hii miadala ni kwa sababu tuna tofautiana kufikiri pale unapoana maybe mtu anaenda rong ni heri urudi usome lakini. Kusoma upande mmoja tuu wavitabu haisaidii.
Ni kwel mkuu ila wapinga uwepo wa Mungu ni watu waliijua dini na vitabu vya dini hasa .Actually hii miadala ni kwa sababu tuna tofautiana kufikiri pale unapoana maybe mtu anaenda rong ni heri urudi usome lakini. Kusoma upande mmoja tuu wavitabu haisaidii.
sana na hii ukiendekeza sana imani ulizoletewa.Tungekua tunatolea ufafanuzi wa hizo contradiction ingeleta maana nzuri zaidi .
Kuliko kujibu vitu kwa hisia ndio maana kuna mda inabdi uachane na kumjibu mtu kwa sababu unaona kabisa kuna namna una umiza hisia zake.
Kwakweli Mungu muweza amfanyie wepesiKumbe nawe umeliona hilo pengine amepitia changamoto nyingi katika maisha zime muathiri saikojolia toka hapo akaamua hakuna mungu. Naamini Ipo siku mungu atamuuondolea adha anayo pitia.
Binadamu wakwanza ametokana na udongo,A contradiction occurs when one statement on a subject excludes the possibility of another. The first one here is a good example. In Surah 19:67, it states that man was created out of nothing. In 15:26, man is created from clay. Since clay is something, we have a contradiction since “nothing” excludes the possibility of “clay.” Both cannot be true.
Jibu hoja acha kuleta viroja.
Qur'an ni tofauti na vitabu vya kawaidi kusoma utasoma kuelewa ndo shughuli inaanzia hapo,Ni kwel mkuu ila wapinga uwepo wa Mungu ni watu waliijua dini na vitabu vya dini hasa .
Ukisoma hivyo vitabu vizuri ukafungua udadisi zaidi kuliko upande wa imani tu utata ni mkubwa .