Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,625
- 3,307
- Thread starter
- #521
Mfano wewe una familia yako ume iyanzisha mwenyewe una sheria zako unaweza ruhusu mtu mwingine, akupangie chakufanya bila matakwa yako.Ukishanipa task ambayo ubongo wangu utashindwa ku imagine, hilo nalo litathibitisha Mungu mjuzi wa yote, nuweza yote na mwenye upendo wote hayupo.
Unaelewa hilo?
Jibu ni hapana maana ataingilia utawala wako
Ndo iko hivyo kwa mungu huwezi mpangia nini afanye
2. Hawo watu wako wakikosea na ilhali umewapa muongozo vipi waishi huto waadhibu kulingana na makosa yao. Na ilhali ni watu wako na unawapenda na kuwa hudumia???