passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Mashaka ni kitu kisicho na uthibitisho,Hizo ni tabia za kichawa halafu sisi wanaume tukiona mwanaume anasifia ujinga na unafki tunaanza k
Yeah ukweli lugha nako ni tatizo.Mkuu,
Asante sana kwa kunijulisha hili.
Liko wazi sana lakini wengi wanajibaraguza kutoliona.
HIstoria ya hapa JF imeonesha kuwa kadiri muda unavyokwenda, mwanga wa ujuzi unamulika ujinga wa imani na kutupa ukweli unaothibitishika vizuri zaidi kimantiki.
Mimi ni mshika mwenge tu, miongoni mwa wachache wasiochoka wa miaka ya zamani.
Kuna kizazi cha kuhoji kinakuja, watu wa imani wakishindwa kujibu maswali ya Kiranga, watakuwa na kazi kubwa sana kujibu maswali ya kizazi kipya.
Ninachoweza kusaidia zaidi jamii ni kunyumbulisha na kutafsiri haya mambo kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili.
Nimegundua mambo mengi hayaeleweki kwa sababu ya lugha tu.
Cognitive dissonsnce ya watu inawalazimisha ku dismiss maswali, hata kama wanaona ni ya muhimu.Yeah ukweli lugha nako ni tatizo.
Bible tu ukiisoma ya kiswahili unaweza pata maana ambayo wewe ukaelewa tofauti kabisa na atakae soma ya lugha ya kingereza.
Lakini kitu ambacho nimegundua kwenye jamii yetu ni kwamba wafuasi wengi wa imani ni mbu mbu, yaani mbu mbu tena wa kiwango cha aibu mno.
Wale wanaoonekana kuhoji, wanakuwa hawapewi majibu yanayo jitosheleza au wanapuuzwa kabisa na kuambiwa toka hapa mtu wa shetani wewe.
Mimi ni miongoni mwa watu ambao nikiwauliza watu wa imani yangu napuuzwa na kuonekana nashindana na Mungu.
Sishindani na Waislamu.Kiranga anaujua mziki wa waislamu, hana hoja za kushindana na waislamu huyo asieamini uwepo wa Mungu, mzee wa contradiction, mzee wa kukopi na paste 😁.... Kisai njoo huku sheikh
Huyo Hana hoja, Jana tu nikampa nafasi ya kujadiliana nae, akawa anaruka ruka tu. Maswali hajibu na hii ndio tabia yake. Nikampa tena nafasi aelezee hiyo logic ya kwenye "Alphabet" kituko alichokiandika ni balaa, akazijaalia "Alphabet" kuwa ni kitu chenye ufahamu chenye kuweza kufanya jambo fulani kwa dhati yake. Sasa mtu hata kutunga sentensi yenye kuleta maana napo anashindwa.Kiranga anaujua mziki wa waislamu, hana hoja za kushindana na waislamu huyo asieamini uwepo wa Mungu, mzee wa contradiction, mzee wa kukopi na paste 😁.... Kisai njoo huku sheikh
Kuulizana kwamba mungu yupo au hayupo inathibitsha kuwa huyo mungu muweza wa yote hayupo, kwann watu hawajadilini kuhusu uwepo wa upepo au baridi au joto?Huyo Hana hoja, Jana tu nikampa nafasi ya kujadiliana nae, akawa anaruka ruka tu. Maswali hajibu na hii ndio tabia yake. Nikampa tena nafasi aelezee hiyo logic ya kwenye "Alphabet" kituko alichokiandika ni balaa, akazijaalia "Alphabet" kuwa ni kitu chenye ufahamu chenye kuweza kufanya jambo fulani kwa dhati yake. Sasa mtu hata kutunga sentensi yenye kuleta maana napo anashindwa.
Ndio maana nikampa sharti la kujibu kila swali nitakalo muuliza, sababu najua huwa Hana uwezo wa kujibu maswali yetu, akashindwa akatumia mbinu yake Ile Ile.
Poa.Kuulizana kwamba mungu yupo au hayupo inathibitsha kuwa huyo mungu muweza wa yote hayupo, kwann watu hawajadilini kuhusu uwepo wa upepo au baridi au joto?
Jamaa kuwa mgumu kuelewa pia inathibitsha mungu muweza wa yote hayupo kwahyo hii bado ni tatzoJaama mgumu kuelewa sana
Sio tu poa fikiria vitu kwa makini mkuu haya mambo yapo wazi kabisa ila sasa unaogopa kumkufuru mungu muweza wa yote,mwenye upendo ambaye hayupo.Poa.
Yaani umepuuzwa kwasababu hauna hoja za kueleweka , yaani nikama mjinga anatetea ujinga wake, na hastuki yaniHuyo Hana hoja, Jana tu nikampa nafasi ya kujadiliana nae, akawa anaruka ruka tu. Maswali hajibu na hii ndio tabia yake. Nikampa tena nafasi aelezee hiyo logic ya kwenye "Alphabet" kituko alichokiandika ni balaa, akazijaalia "Alphabet" kuwa ni kitu chenye ufahamu chenye kuweza kufanya jambo fulani kwa dhati yake. Sasa mtu hata kutunga sentensi yenye kuleta maana napo anashindwa.
Ndio maana nikampa sharti la kujibu kila swali nitakalo muuliza, sababu najua huwa Hana uwezo wa kujibu maswali yetu, akashindwa akatumia mbinu yake Ile Ile.
Sio kila mtu anapaswa kujibiwa.Sio tu poa fikiria vitu kwa makini mkuu haya mambo yapo wazi kabisa ila sasa unaogopa kumkufuru mungu muweza wa yote,mwenye upendo ambaye hayupo.
Poa.Yaani umepuuzwa kwasababu hauna hoja za kueleweka , yaani nikama mjinga anatetea ujinga wake, na hastuki yani
koran ipi mkuu. korani ambayo mtume alikuwa akipokea/akiletewa aya anawapa watu wazihifadhi, kisha wengine wakafa ( watu mia tatu) kabla ya kuziandikaQur'an pekee ndo haina mapungufu
Rudi madrasa ukajifunze vizuri kabla ya kuleta somo la hivyo humuKuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point.
Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.
Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.
Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.
Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.
Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.