Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

This logical fallacy is called ad hominem attack.

This happens when the attacker cannot reply with an answer, a critique or a rebuttal on the points raised, instead, a personal attack is used.

Nimekwambia Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Nimekwambia kwa nini hayupo. Logical consistency, problem of evil, Epicurean paradox.

Proof by contradiction kwamba huyo Mungu hayupo ipo.

Nimekupa mfano wa hesabu rahisi.

Hata hujaelewa naongelea nini (ndiyo maana huwezi kujibu kwa point), unakimbilia kunishambulia kwa personal attack badala ya kujibu hoja.

Discuss the problem of evil. Discuss the Epicurean paradox.

Acha kuni discuss mimi.
Nimekuuliza nani kaumba dunia kwa usanifu mkubwa unaniletea stori za ajabu ajabu.Una mwaya mwaya

Nifahamishe viumbe waliumbwaje??
 
Kwa nini swali lako linakuwa "nani"?

Unajuaje hili ni suala la kuuliza "nani"?
 
Wewe ni mlalamishi sana.Ni kama debe tupu

Okay, let me paraphrase: How was the universe created? How were the amazing living things created? Is it by? chance
 
Why is this question important to an atheist?

Atheism is never about claiming that one knows how was the universe created.

Atheism is all about claiming God does not exist.

Your question is not a fair question to an atheist.

You are asking a question that an atheist never claimed to know the answer to.

An atheist claims God does not exist, not that he knows how the universe was created. These are two different things.

A fair question to an atheist would be, how do you know that God does not exist, or how do you know that the universe was not created by God.

I can know that the universe was not created by God without knowing how the universe was created.

Asking me how was the unuverse created just because I say God does not exist is a logical non sequitur fallacy.

Do you know what is a logical non sequitur fallacy?
 
Nakujibu tena. Kwa hesabu. Kwa Kiswahili.

Sihitaji kujua jibu sahihi ili kujua jibu fulani si sahihi. Unakubali hilo?

Nikijua kuwa square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, nitajua kuwa 10 si square root ya 2, hata kama sijui square root ya 2 ni nini.

Nikijua kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 50 hawezi kuwa mwanamke mwenye umri mdogo zaidi ya miaka 50, nitajua kuwa binti Jane mwenye umri wa miezi 6 leo hawezi juwa mama mzazi wa mwanamme Juma mwenye miaka 50 leo, hata kama simjui mama mzazi wa Juma ni nani.

Sasa mini nakwambia huyo binti Jane mwenye umri wa miezi 6 leo hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme Juma mwenye miaka 50 leo, kwa sababu umri wa b8nti Jane ni mdogo kul8ko wa Juma.

Wewe unaniuliza mama yake Juma ni nani.

Mimi sijakwambia namjua mama yake Juma ni nani, nimekwambia najua mama yake Juma hawezi kuwa Jane.

Huelewi wapi? Unaelewa kwamba naweza kujua jibu fulani si sahihi kabla hata sijajua jibu sahihi ni lipi?
 
Sawa.

So, who created the universe and its amazing living things?

Au unajibu kibishi bishi tu
Kwa nini unadhani universe and its amazing living things vimeumbwa?

Kama ni lazima kila kitu kiwe kimeumbwa, Kwa nini umu exclude Mungu kwenye hii Logic ya kuumbwa?

Kama umeweza kuamini Mungu usiyemjua hana muumbaji, Unashindwaje kuamini kwamba universe haina muumbaji?
 
Swali lake anauliza "nani" kaumba.

Nimemuuliza anajuaje hili ni suala la "nani"? Mpaka sasa hajanijibu.
 
Iliyopo ni kukaa kimya kuhusu uwepo wa Mungu, hakuna mwenye ukweli, subiri tu ukifa utapata ukweli.

Kwa kutumia msingi wa logical consistency.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anathibitika kwamba hayupo. Kwa proof by contradiction, kwa kutumia Epicurean paradox / problem of evil.

Tatizo hapa tunajadiliana na watu ambao hawajui logic, hawajui proof by contradiction, hawajui Epicurean paradox, hawajui problem of evil.

Nasema hivyo kwa sababu ukiwatajia hoja hizo, hawazijibu. Hili linaonesha hawa watu ni wajinga kwenye hoja hizi. Halafu ni wabishi, hawataki hata kujifunza, au pengine hawana uwezo wa kujifunza.

Ukitoka kwenye logic, ndiyo kabisa. Mungu hata hahitajiki kuwepo. Kwa maana moja ya rationale kubwa ya Mungu kuwepo ni kuuelezea ulimwengu logically, umeanzaje, unafanyaje kazi, sasa ukisema logic si muhimu basi kimsingi unasema hata dhana ya Mungu kuwapo ili awe ndiye muumba wa kila kitu si muhimu, kwa sababu katika ulimwengu usiofuata logic vitu havihitaji muumba.

Ukifuata logic, Mungu hayupo, ukitupilia mbali logic, Mungu hata hahitajiki kuwapo.
 
Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.

Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa Mungu.

Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.

Ni ingie kwenye point.

Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.

Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.

Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.

Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.

Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.
 
Sawa.

So, who created the universe and its amazing living things?

Au unajibu kibishi bishi tu
Mbona hili swali umejibiwa mara nyingi tu kwamba wao (atheists) kutokumjua Creator wa universe haimaniishi ndio imekuwa created na Mungu! Na wamesema hivyo sababu idea nzima ya uwepo wa Mungu, uwezo wake na namna alivyoumba dunia inajipinga yenyewe! Na wakasema kazi ya kudhibitisha uwepo wa Mungu ni ya wale wanaoamini katika uwepo wake na wamesema hawataki kuamini bali wanataka kujua kuhusu uwepo wa Mungu! Wamesema wao hawahitaji kudhibitisha kuhusu kutokuwepo kwake maana hayupo Sasa nyie mnaosema yupo ndio mdhibitishe!
 
koran ipi mkuu. korani ambayo mtume alikuwa akipokea/akiletewa aya anawapa watu wazihifadhi, kisha wengine wakafa ( watu mia tatu) kabla ya kuziandika
korani ambayo inasema mtume ndo muislam wa kwanza, kisha inasema hata Adam alikuwa muislam
kaa kwa kutulia na hilo likitabu lililotungwa na Wakatolik
Kaa kwa password mkuu usikuru puke thibitisha unacho sema leta aya.
 
Mbona hili swali umejibiwa mara nyingi tu kwamba wao (atheists) kutokumjua Creator wa universe haimaniishi ndio imekuwa created na Mungu! Na wamesema hivyo sababu idea nzima ya uwepo wa Mungu, uwezo wake na namna alivyoumba dunia inajipinga yenyewe! Na wakasema kazi ya kudhibitisha uwepo wa Mungu ni ya wale wanaoamini katika uwepo wake na wamesema hawataki kuamini bali wanataka kujua kuhusu uwepo wa Mungu! Wamesema wao hawahitaji kudhibitisha kuhusu kutokuwepo kwake maana hayupo Sasa nyie mnaosema yupo ndio mdhibitishe!
Duh basi atheists ni watu wa ovyo!!

Wanashindwa kuelezea jinsi universe ilivyoumbwa kwa mujibu wa imani zao.

Wana ubishi wa kitoto.
 
Athesism
Why is this question important to an atheist?

Atheism is never about claiming that one knows how was the universe created.

Atheism is all about claiming God does not exist.

Your question is not a fair question to an atheist.

You are asking a question that an atheist never claimed to know the answer to.

An atheist claims God does not exist, not that he knows how the universe was created. These are two different things.

A fair question to an atheist would be, how do you know that God does not exist, or how do you know that the universe was not created by God.

I can know that the universe was not created by God without knowing how the universe was created.

Asking me how was the unuverse created just because I say God does not exist is a logical non sequitur fallacy.

Do you know what is a logical non sequitur fallacy?
ATheism ni full blah blah
Pumba tu.

Mimi nilitegemea ungeonges mambo ya Dark Enery, Dark Mattet, Miller & urrey experiments, second law of themodynamics

Badala yake unaongea mineno mirefuuu isiyo ns kichwa wala mdomo alafu yote pumba
 
Nakujibu tena. Kwa hesabu. Kwa Kiswahili.

Sihitaji kujua jibu sahihi ili kujua jibu fulani si sahihi. Unakubali hilo?

Nikijua kuwa square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, nitajua kuwa 10 si square root ya 2, hata kama sijui square root ya 2 ni nini.

Nikijua kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 50 hawezi kuwa mwanamke mwenye umri mdogo zaidi ya miaka 50, nitajua kuwa binti Jane mwenye umri wa miezi 6 leo hawezi juwa mama mzazi wa mwanamme Juma mwenye miaka 50 leo, hata kama simjui mama mzazi wa Juma ni nani.

Sasa mini nakwambia huyo binti Jane mwenye umri wa miezi 6 leo hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme Juma mwenye miaka 50 leo, kwa sababu umri wa b8nti Jane ni mdogo kul8ko wa Juma.

Wewe unaniuliza mama yake Juma ni nani.

Mimi sijakwambia namjua mama yake Juma ni nani, nimekwambia najua mama yake Juma hawezi kuwa Jane.

Huelewi wapi? Unaelewa kwamba naweza kujua jibu fulani si sahihi kabla hata sijajua jibu sahihi ni lipi?
Pumba tu.

Naombs kufundishwa how was the universe was created.

Sina Muda na mifano yako ya Juma na Madenge
 
Back
Top Bottom