Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuaje na unathibitishaje yupo?Mungu yupo but dini ni Mtego
AsanteSawa.
Nakupeleka ignore list sitaona post yako yoyote tena.
Na wewe fanya hivyo usione blah blah zangu.
father wala sijauliza kama mungu yupo au hayupo!Mungu hayupo.
Mungu huyo angekuwepo, Kumdhihaki isingewezekana hata kidogo.
Ukiona kwamba Mungu anadhihakiwa ujue huyo Mungu ni Mdhaifu sana.
Mungu mkuu muweza wa vyote angekuwepo, isinge wezekana hata kwa bahati mbaya kudhihakiwa.
Wastage of timeKuna sehemu nilikwambia logic inatibu?
Unajibu usivyo ulizwa, Hujibu unavyoulizwa.
Na wewe unahusisha vipi sayansi na Mungu?
Huu uhusiano umetoa wapi?
Viumbe hawajatengenezwa.father wala sijauliza kama mungu yupo au hayupo!
Nauliza je viumbe walitengenezwaje? Ivi una wazimu ama?
Find someone of your league to parallel your mediocrityWastage of time
Find someone of your league to parallel your mediocrity
Ulisoma science au arts? For sure wewe ni debe tu!Viumbe hawajatengenezwa.
Viumbe walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.
Hizo zote ulizotaja ni nadharia za kufikirika tu.Ulisoma science au arts? For sure wewe ni debe tu!
Are you believer in abiogenesis , god creation of big bang theory? Nimekupe hints ili uache kuongea pumba zako za logicn na filosofia za ajab ajab
Acha Mungu aitwe Mungu!!!Hizo zote ulizotaja ni nadharia za kufikirika tu.
Hakuna uthibitisho wowote wa kwamba universe iliumbwa.
Huyo Mungu mnamuongelea ninyi kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe.Acha Mungu aitwe Mungu!!!
Walio Mbinguni wao hawazijui shida (Jah na Malaika)Lakini duniani katuumbia shida.. How? Ametupa Mioyo ya kushawishika kufanya dhambi ili aje atutupe motoni.. Then Nukuu zinadai ana upendo.. How? Mungu Wa kwenye vitabu amedhihakiwa sana, Uongo mtupu.. Jah Yupo but He is silence Somewhere.. Ametuumba kila mtu aishi The way anataka..Huyo Mungu mnamuongelea ninyi kwa vile Hayupo kujiongelea mwenyewe.
Mnahangaika kutetea kitu kisichokuwepo.
Hizo zote ulizotaja ni nadharia za kufikirika tu.
Hakuna uthibitisho wowote wa kwamba universe iliumbwa.
Sasa wewe unayejua ukiambiwa uthibitishe hayo maswali unaweza?
Sina uwezo wa kuthibitisha.Sasa wewe unayejua ukiambiwa uthibitishe hayo maswali unaweza?
Kwanza thibitisha huyo Mungu yupo.
Na ulijuaje yupo?
Jaribu kwannza kujubu hayo maswali.katika image??Sasa wewe unayejua ukiambiwa uthibitishe hayo maswali unaweza?
Kwanza thibitisha huyo Mungu yupo.
Na ulijuaje yupo?
Sasa kama huwezi kuthibitisha, Umejuaje ni kazi zake?Sina uwezo wa kuthibitisha.
Kazi zake zinajitosheleza kuthlibitisha uwepo wake.
Kutokujua ulipotokea, Sio kigezo kwamba Mungu yupo.Jaribu kwannza kujubu hayo maswali.katika image??