Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Achana na mambobyako yako ya Logic.Kwa kutumia msingi wa logical consistency.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote anathibitika kwamba hayupo. Kwa proof by contradiction, kwa kutumia Epicurean paradox / problem of evil.
Tatizo hapa tunajadiliana na watu ambao hawajui logic, hawajui proof by contradiction, hawajui Epicurean paradox, hawajui problem of evil.
Nasema hivyo kwa sababu ukiwatajia hoja hizo, hawazijibu. Hili linaonesha hawa watu ni wajinga kwenye hoja hizi. Halafu ni wabishi, hawataki hata kujifunza, au pengine hawana uwezo wa kujifunza.
Ukitoka kwenye logic, ndiyo kabisa. Mungu hata hahitajiki kuwepo. Kwa maana moja ya rationale kubwa ya Mungu kuwepo ni kuuelezea ulimwengu logically, umeanzaje, unafanyaje kazi, sasa ukisema logic si muhimu basi kimsingi unasema hata dhana ya Mungu kuwapo ili awe ndiye muumba wa kila kitu si muhimu, kwa sababu katika ulimwengu usiofuata logic vitu havihitaji muumba.
Ukifuata logic, Mungu hayupo, ukitupilia mbali logic, Mungu hata hahitajiki kuwapo.
Logic haiukuwekei chakula mezani wala kukupa technology.
Tunataka science.Period.
Universe has been created by using science.