Tofauti ipo kubwa sana, sababu Mola yupo nje ya viumbe wake, wewe Kimba lako umekunya wewe na unaweza kulizoa na mfano wako. Bali Kimba lako ni uchafu wa ziada usio hitajika.Habari uliyoandika haina tofauti na hiki nilichoandika hapa.
Vitabu vya dini kama Qur'an ni muongozo kwa watu Sasa vipi kibadilike na kishakuwa muongozo.Ni ajabu Sana kuendelea kuamini vitabu vilipitwa na maarifa.
Sayansi kila siku wanaendelea kufanya tafiti Zaidi, na Ku update taarifa mbalimbali.
Vitabu vya Dini vinamapungufu mengi mpaka unajiuliza huyu mungu, mbona hana Masri sahihi
Hoja yako ya kwamba nani kaweza kutengeneza mbingu yake, na kama hakuna, kitu ambacho anakifanya Mungu mtu hakiwezi, kwa kuanzia, ina makosa ya kimantiki.Labda utuambie nani amesha tengeneza mbingu yake na kama hakuna basi ujewe kitu ambacho anakifanya mungu binadamu hakiwezi,
Kuhusu kuendelea na umbaji
Mungu hana mapungufu kila kitu kimekamilika hakuna alicho sahau na ndo maana wana sayansi wanatumia neno "Tumevumbua" ina maana kilikuwepo mungu ametakasika na kila sifa ya mapungufu
Nawa suburi
Mkuu Qur'an hihi ya jua kulizunguka dunia, AU kuna version nyingine.Qur'an pekee ndo haina mapungufu
Nimeshaweka mapungufu ya Quran mengi sana hapa. Mtu aliomba, nilivyomuwekea ayatatue, akakimbia.Qur'an pekee ndo haina mapungufu
Sayansi Sio fact Tena mkuu.Vitabu vya dini kama Qur'an ni muongozo kwa watu Sasa vipi kibadilike na kishakuwa muongozo.
Sayansi lazima ibadilike sababu kwa yenyewe siyo "Facts", bali ni mtindo tu maalumu ambao unatumika kuyasoma maumbile na kujua nini chanzo chake, hapa naongelea "Scientific Methods", kama ni msomi kweli na unafatilia kiundani Sayansi utanielewa nasema nini, ila kama ni shabiki na huna misingi ya Sayansi najua hapa huna hoja ya kunipa nguvu Sayansi mbele ya uhalisia.
Hapa unaongelea vitabu gani ? Labda vitabu vingine, ila sio Qur'an ukisema mpaka Qur'an, nitakuomba uweke udhaifu mmoja kisha tuujadili. Tuone nani mkweli.
Ndoa za watoto wadogo, hizi sizikubaliani nazoVitabu vya dini kama Qur'an ni muongozo kwa watu Sasa vipi kibadilike na kishakuwa muongozo.
Sayansi lazima ibadilike sababu kwa yenyewe siyo "Facts", bali ni mtindo tu maalumu ambao unatumika kuyasoma maumbile na kujua nini chanzo chake, hapa naongelea "Scientific Methods", kama ni msomi kweli na unafatilia kiundani Sayansi utanielewa nasema nini, ila kama ni shabiki na huna misingi ya Sayansi najua hapa huna hoja ya kunipa nguvu Sayansi mbele ya uhalisia.
Hapa unaongelea vitabu gani ? Labda vitabu vingine, ila sio Qur'an ukisema mpaka Qur'an, nitakuomba uweke udhaifu mmoja kisha tuujadili. Tuone nani mkweli.
Kwa nini unajikita kwenye "anayeweka"?Unasema hayupo anaeweka maji kwenye nazi ni baba yako?
Huyo mtoto anakujibu hivyo kutoka kwenye utashi wake au kwa kufundishwa na wazee wakeKuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point
Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.
Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.
Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.
Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.
Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.
Safi sanaKama mungu angekuwepo basi Hata huu Uzi usingekuwepo kabisa
Sasa ozone layer chemistry yake mbona inajulikana.. Hata leo binadamu tunaweza tengeneza ozone oxygen na very easy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vitu vingine mnajiaminisha kwasababu hamjataka tafuta maarifaAcha mengine yoote, hapo kwenye JUA
Unajua nimekuwa nikitafakari umuhimu wa Jua ni mkubwa sanaaa, bila jua hatupati maji kwsbb ya Evaporation, Transpiration n.k
Bila jua hatupati chakula kwsbb mmea hutengeneza chakula kukiwa na mwanga wa jua
Jua inafanya mifupa ya viumbe vyote vyny skeletons viwe strong
Joto la jua linaneutralize climate yetu
Aliyeumba au kutengeneza jua ni nani? Aliyeweka Ozone Layer ni nani?
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee uliodumu kwa muda mrefu ni huu:Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point
Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.
Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.
Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.
Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.
Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.
Uko sahihi lakini umeshindwa kutetea dhana yako.Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point
Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.
Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.
Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.
Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.
Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.
Mtu anakwambia Mungu yupo, kama hayupo nani kaweka maji kwenye nazi?Sasa ozone layer chemistry yake mbona inajulikana.. Hata leo binadamu tunaweza tengeneza ozone oxygen na very easy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vitu vingine mnajiaminisha kwasababu hamjataka tafuta maarifa
Sio MUNGU wa dini hizi lakini.Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point
Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.
Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.
Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.
Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.
Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.
Bila kujali uko sahihi au siyo sahihi, ila nimependa umejenga hoja zimenyookaDunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee uliodumu kwa muda mrefu ni huu:
Hebu fikiria; unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwa ajili yetu na ataiangamiza(jiulize akili za huyo Mungu anaewatakia maafa watu wake)
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza(kama vile hajielewi),
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na uwezo wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyotaka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini,umalaya,ukahaba, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani (magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani( inaelekea huyu hajiwezi mpaka awe na msaidizi mhuni,amuache tu amchanganyie habari)
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna mtoto wa fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwa ajili ya dhambi za watu wote duniani.... Kweli jamani ?
Akaitwa neno. Neno huyo alikua Mungu, mtoto wa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani na akapatikana. Shetani aliemuumba mwenyewe.
Mtoto huyu wa fundi kapenta, hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu dogo huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakaopinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mabikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu.
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoagiza ili ukale bata sana baada ya kufa
Badhi ya sababu za kutoamini uwepo wake hizo hapo mtoa mada. Zipinge tuone!
1.Mungu ni nini?Sio MUNGU wa dini hizi lakini.