min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Wewe unadai yupo dhibitisha ,kuongelea uwepo wake tu apa inaonyesha tu hayupo ,sasa dhibitisha kuwa yupo, soma kichwa cha uzi mkuuSasa ndio ututhibitishie hilo.
Nipo hapa.
[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unadai yupo dhibitisha ,kuongelea uwepo wake tu apa inaonyesha tu hayupo ,sasa dhibitisha kuwa yupo, soma kichwa cha uzi mkuuSasa ndio ututhibitishie hilo.
Nipo hapa.
Uwepo wa Allah hauhitaji uthibitisho sababu ni kitu ambacho uwepo wake uko wazi zaidi kuliko hata uwepo wako wewe.Wewe unadai yupo dhibitisha ,kuongelea uwepo wake tu apa inaonyesha tu hayupo ,sasa dhibitisha kuwa yupo, soma kichwa cha uzi mkuu
![]()
Angekuwepo ata usinge taka nidhibitishe kutokuwepo kwake, thibitisha wewe unaesema yupo ? Mungu mwenye upendo mueza wa yote angekuwepo kweli hata hii isingekuwa mjadala tena.Uwepo wa Allah hauhitaji uthibitisho sababu ni kitu ambacho uwepo wake uko wazi zaidi kuliko hata uwepo wako wewe.
Ndio maana nyinyi mnao dai hayupo tunawataka ithibati sio kwamba mnazo bali kuonyesha namna gani mlivyo wajinga.
Anuani ya mada Iko wazi, ila hapa nimekuhoji wewe kutokana na kile unacho kidai, Sasa kurusha mpira kwangu inaonekana swali langu limekushinda.
Mkuu inatosha sasa maana mpaka nakuonea huruma Allah akusamehe hujuwi ulitendalo ishia hapo usizidi kukufuru.Sasa kama watu hawafosiwi kuwa believers, Allah huyo anataka aaminiwe ili iweje?
Kwa nini wasio mwamini Allah waje wapewe adhabu?
Ilhali Allah huyo amesema kwamba hafosi mtu amwamini.
Kuwa na akili wewe kwani hiyo aya ili shuka kwa kingereza,Sasa mleta mada anawekewa hoja kwa kingereza anasema hajui kingereza.
Anataka awekewe hoja kwa kiarabu au kiswahili.
Sasa hapo utajenga naye hoja vipi?
Yani uanze kujipa kazi ya kumtafsiria neno baada ya neno.
Allah hawezi kufanya Yale unayo yataka were kama umeamua kumkufuru kwa madai hayupo tuli hivyo hivyoAngekuwepo ata usinge taka nidhibitishe kutokuwepo kwake, thibitisha wewe unaesema yupo ? Mungu mwenye upendo mueza wa yote angekuwepo kweli hata hii isingekuwa mjadala tena.
Swali ambalo ningependa nkuulize wewe ni kwamba, Mungu yupi unayemuongelea!?Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.
Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa mungu.
Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.
Ni ingie kwenye point
Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.
Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.
Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.
Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.
Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.
Huwezi kupangia mungu nini afanye nini aache sawa Eeh, hapa duniani tumeumbwa kwaajili ya kupimwa yupi ni mzuri zaidi katika vitendo sasa unataka mtihani uwe mrahisi bila shetani uta kuwa mtihani huuu.Kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na Shetani na uovu, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na shetani wala uovu?
🤣🤣 sipo apa kukashifu imani ya mtu , wala kumkwaza mtu tunataka mtoe udhibitisho wa mungu wuweza wa yote na mwenye upendo na asie na ubaguzi kuwepo .Allah hawezi kufanya Yale unayo yataka were kama umeamua kumkufuru kwa madai hayupo tuli hivyo hivyo
قل يأيها الذين هادوا إن زعمتم أنكم أولياء لله من دون الناس فتمنوا الموت إنكتم صدقين
(1)
Sema; Enyi mlio wayahudi, ikiwa mnadai kuwa nyinyi ni wapenzi wa mwenyezimungu kinyume na watu wengine, basi tamanini kufa ikiwa nyinyi ni wakweli
Yatathibitika vipi wakati hayapo katika uhalisia?Kuna siku mambo ya kiroho yalisibitika kisayansi?
Kuna Allah ,yaweh mrungu , ruwa, amaterasu , guan ju kwa wingi wake ni miungu tu.Wapi nimesema miungu.!??
Hujanielewa vzuri, rudia kusomaWapi nimesema miungu.!??
Kwanza Unaelewa kwamba kuna miungu zaidi ya 300,000?Wapi nimesema miungu.!??
Hilo ni chaka jpya la kuchificha pale maji yanapozidi unga.Yatathibitika vipi wakati hayapo katika uhalisia?
Neno kiroho maana yake ni kiuongo-uongo
How hiv vitu viwe self evident truth?Hivi vyote ni "Self evident truth" kuwepo kwake tu kunathibitisha uwepo wa aliyefanya vikawepo. Huyo aliye fanya hivi vikawepo ni Mjuzi mwenye nguvu.
Uko sahihi.Huwezi kupangia mungu nini afanye nini aache sawa Eeh, hapa duniani tumeumbwa kwaajili ya kupimwa yupi ni mzuri zaidi katika vitendo sasa unataka mtihani uwe mrahisi bila shetani uta kuwa mtihani huuu.
Nadhani ushaanza kuelewa mafungufu yako. Yako wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]watu washaanza kuona nyuzi za Mungu Zinatrend san JF so kila mtu anataka apite nazo..[emoji23]bongo tutafika tu mdogo mdogo