Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Sasa ndio ututhibitishie hilo.

Nipo hapa.
Wewe unadai yupo dhibitisha ,kuongelea uwepo wake tu apa inaonyesha tu hayupo ,sasa dhibitisha kuwa yupo, soma kichwa cha uzi mkuu
[emoji16]
 
Wewe unadai yupo dhibitisha ,kuongelea uwepo wake tu apa inaonyesha tu hayupo ,sasa dhibitisha kuwa yupo, soma kichwa cha uzi mkuu
emoji16.png
Uwepo wa Allah hauhitaji uthibitisho sababu ni kitu ambacho uwepo wake uko wazi zaidi kuliko hata uwepo wako wewe.

Ndio maana nyinyi mnao dai hayupo tunawataka ithibati sio kwamba mnazo bali kuonyesha namna gani mlivyo wajinga.

Anuani ya mada Iko wazi, ila hapa nimekuhoji wewe kutokana na kile unacho kidai, Sasa kurusha mpira kwangu inaonekana swali langu limekushinda.
 
Angekuwepo ata usinge taka nidhibitishe kutokuwepo kwake, thibitisha wewe unaesema yupo ? Mungu mwenye upendo mueza wa yote angekuwepo kweli hata hii isingekuwa mjadala tena.
 
Sasa kama watu hawafosiwi kuwa believers, Allah huyo anataka aaminiwe ili iweje?

Kwa nini wasio mwamini Allah waje wapewe adhabu?

Ilhali Allah huyo amesema kwamba hafosi mtu amwamini.
Mkuu inatosha sasa maana mpaka nakuonea huruma Allah akusamehe hujuwi ulitendalo ishia hapo usizidi kukufuru.

Kama unaoana Qur'an sio maneno ya Allah direct bad tunga na wew Qur'an yako tuone, japo sura moja ukishindwa japo aya moja. Acha kukufuru

لو أنزلناهذا القرءان علي جبل لرأيته خشعا متصد عا من خشية الله، وتلك الامثل نضربها للناس للعلهم يتفكرون

lau kama tungeiteremsha hii Qur'an juu ya milima, basi bila ya shaka ungeliona ukinyenyekea, ukipasukapasuka kwa kumuogopa mwenye zi mungu
Na hiyo mifano Tunawapigia watu ili Wafikiri.
 
Sasa mleta mada anawekewa hoja kwa kingereza anasema hajui kingereza.

Anataka awekewe hoja kwa kiarabu au kiswahili.

Sasa hapo utajenga naye hoja vipi?

Yani uanze kujipa kazi ya kumtafsiria neno baada ya neno.
Kuwa na akili wewe kwani hiyo aya ili shuka kwa kingereza,
Mbona hujielewi weka aya kama ilivyo shuka kutoka kwa Allah
 
Angekuwepo ata usinge taka nidhibitishe kutokuwepo kwake, thibitisha wewe unaesema yupo ? Mungu mwenye upendo mueza wa yote angekuwepo kweli hata hii isingekuwa mjadala tena.
Allah hawezi kufanya Yale unayo yataka were kama umeamua kumkufuru kwa madai hayupo tuli hivyo hivyo

قل يأيها الذين هادوا إن زعمتم أنكم أولياء لله من دون الناس فتمنوا الموت إنكتم صدقين
(1)
Sema; Enyi mlio wayahudi, ikiwa mnadai kuwa nyinyi ni wapenzi wa mwenyezimungu kinyume na watu wengine, basi tamanini kufa ikiwa nyinyi ni wakweli
 
Kuna jambo limenisukuma sana kuandika huu Uzi.

Mambo ambayo yanaendelea kuhusu uwepo wa mungu.

Kuna baadhi ya watu wa amini hakuna mungu nk.

Ni ingie kwenye point

Uwepo wa mungu una dhihirika kwa alama zake na viumbe vyake.

Hebu tutafakari kama hakuna mungu nani alieumba bahari, jua, mbingu, binadamu, wanyama hivi vitu vimetokea vipi kama hakuna alieviimba.

Leo hii hata ukimchukuwa mtoto mdogo wa miaka mitatu ukamuuliza nani kaumba mbingu atakujibu mungu.

Vipi mtu mzima mwenye akili timamu unashindwa kutambua hilo.

Yapo mambo mengi sana yana thibitisha uwepo wa mungu naweza kesha kuelezea kiufupi, Tufahamu mungu yupo na yeye ndo ametuumba sisi ili tumuabudu yeye tu.
Swali ambalo ningependa nkuulize wewe ni kwamba, Mungu yupi unayemuongelea!?

Kwanini usiseme miungu?

Huoni hata hoja yako imekamatwa zaidi na imani ya ki_Monotheism?
 
Kwa nini Mungu kaumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na Shetani na uovu, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na shetani wala uovu?
Huwezi kupangia mungu nini afanye nini aache sawa Eeh, hapa duniani tumeumbwa kwaajili ya kupimwa yupi ni mzuri zaidi katika vitendo sasa unataka mtihani uwe mrahisi bila shetani uta kuwa mtihani huuu.

Nadhani ushaanza kuelewa mafungufu yako. Yako wapi
 
Swali ambalo ningependa nkuulize wewe ni kwamba, Mungu yupi unayemuongelea!?

Kwanini usiseme miungu?

Huoni hata hoja yako imekamatwa zaidi na imani ya ki_Monotheism?
Wapi nimesema miungu.!??
 
Allah hawezi kufanya Yale unayo yataka were kama umeamua kumkufuru kwa madai hayupo tuli hivyo hivyo

قل يأيها الذين هادوا إن زعمتم أنكم أولياء لله من دون الناس فتمنوا الموت إنكتم صدقين
(1)
Sema; Enyi mlio wayahudi, ikiwa mnadai kuwa nyinyi ni wapenzi wa mwenyezimungu kinyume na watu wengine, basi tamanini kufa ikiwa nyinyi ni wakweli
🤣🤣 sipo apa kukashifu imani ya mtu , wala kumkwaza mtu tunataka mtoe udhibitisho wa mungu wuweza wa yote na mwenye upendo na asie na ubaguzi kuwepo .

Alafu mkuu huko kwenye hofu ya kifo nilishatokaga kitambo.
 
Hivi vyote ni "Self evident truth" kuwepo kwake tu kunathibitisha uwepo wa aliyefanya vikawepo. Huyo aliye fanya hivi vikawepo ni Mjuzi mwenye nguvu.
How hiv vitu viwe self evident truth?
 
Huwezi kupangia mungu nini afanye nini aache sawa Eeh, hapa duniani tumeumbwa kwaajili ya kupimwa yupi ni mzuri zaidi katika vitendo sasa unataka mtihani uwe mrahisi bila shetani uta kuwa mtihani huuu.

Nadhani ushaanza kuelewa mafungufu yako. Yako wapi
Uko sahihi.

Siwezi kumpangia Mungu nini afanye.

Kwa sababu Mungu hayupo.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
 
😁watu washaanza kuona nyuzi za Mungu Zinatrend san JF so kila mtu anataka apite nazo..😂bongo tutafika tu mdogo mdogo
 
Yaani aliyeanzisha mada anajua vyote anavyosema vimeshapingwa kwenye manyuzi kibao na ufafanuzi ushatolewa ila anataka na yeye aone raha ya kubishana na atheists. Mi nishasemaga ukiona mtu wa dini yupo kwenye hizi threads Imani yake imeshapungua by more than 50% coz up to that point ushajua vitabu vya dini ni vya watu tu na sio vya Mungu, argument za existence of Mungu wa dini nyingi no illogical na impossible to exist . Yaani humu ndani mtu anajikosha tu eti jua bahari sijui miwa...sukari serious.. Yaani waalimu wa geography na science walikuwa wanafundisha tenzi za rohoni class au..
 
Back
Top Bottom