Mfano wewe una familia yako ume iyanzisha mwenyewe una sheria zako unaweza ruhusu mtu mwingine, akupangie chakufanya bila matakwa yako.
Jibu ni hapana maana ataingilia utawala wako
Ndo iko hivyo kwa mungu huwezi mpangia nini afanye
2. Hawo watu wako wakikosea na ilhali umewapa muongozo vipi waishi huto waadhibu kulingana na makosa yao. Na ilhali ni watu wako na unawapenda na kuwa hudumia???
Uko sawa kabisa, wewe ukianzisha familia yako, utapanga sheria zako, mtu hakupangii, within reason of course.
Naona huelewi hata maswali yangu.
Maswali yangu hayahusiani na kumpangia chochote Mungu.
Maswali yangu yanahusu logical consistency.
Huyo Mungu mwenyewe mnayemsema yupo, mbona anajikanganya?
Mbona hapa anasema anakwenda mbele, halafu hapa tunaona anarudi nyuma?
Mbona hapa anatuambia chekundu juu, cha bluu chini, halafu hapa tunaona chekundu chini, cha bluu juu?
Mbona habari za kuwepo kwake zinaji contradict zenyewe?
Mbona ulimwengu uliopo una contradict habari za kuwepo kwake, kwa namna ambayo inaonesha hawezi kuwepo?
Mbona wewe mgumu kuelewa mambo ya msingi kabisa?