Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Binadamu wakwanza ametokana na udongo,

Contradiction imezitegeza wew

ألم يك نطفة من مني يمنى
Hivi kwani hakuwa tone LA manii yamiminikayo

ثم كان علقة فخلق فسوي
Kisha akawa pande LA damu akaumba akaweka sawa

فجعل منه الزوجين الكر والانثي
Akaumba kutokana nayo jinsia mbili mwanaume na mwanamke

Kama hujaelewa na hapo kapima ufahamu wako.
Mkuu,
punguza jazba rudi tena kusoma.
First from nothing,

Second from clay

Jibu swali.
 
sana na hii ukiendekeza sana imani ulizoletewa.
Mkuu Mimi kuna jamaa yangu anapenda sana haya mambo ni muislamu ilishachanwa Quran mbele yake yule jamaa mpaka alipigana.

Yaani mtu kitabu nimenunua mwenyewe nimeamua kuchana sababu sikihitaji anaumia mtu mwingine,

Hivi vitu ukiviendekeza utaishi kwa kuumia sana.

Qur'an ni tofauti na vitabu vya kawaidi kusoma utasoma kuelewa ndo shughuli inaanzia hapo,
ndio maana hata waarabu wenywe baadhi hawaijuwi Qur'an.
Kama hujuwi Qur'an na ukakosa wa kukuelekeza tafsiri ime maanisha nini huwezi kuelewa abadani.
Sawa
 
Maana halisi ya coat ni covering/holdings maana tunaanza kufundishana Hadi maana za maneno

Energy hujui sijui form one ulienda kula makande shule maana hiyo ni kazi ya mwalimu wa phys wa pre form one.
Hujui hata maana ya coat ,sijui yule mwalimu wa kingereza wa darsa la tatu D ,alikuwa anakula hela za wazazi wako za bure
Mtu akikuuliza swali, si lazima awe hajui, mara nyingine anataka kujua unavyojua wewe ni vipi.

Inaonekana hujui hata Socratic method ni nini.

Na kama hujui Socratic method ni nini, ni vigumu sana kufanya mazungumzo ya maana hapa.

Utatumia maneno kama "energy" wakati hatujakubaliana definition ya energy ni nini.

Na kama hatujakubaliana definition, tunaweza kubishana tukifikiri tunazungumzia kitu kimoja, huku tunazungumzia vitu tofauti.

Hujajibu maswali yangu.
 
Waoo Sasa tunaanza kuelewana
Nataka nikujibu katika nadharia mbili ya kisayansi na kiimani
Mungu kupitia Wikipedia imeeleza kuwa ni"Mungu ni jina lenye asili ya Kibantu linalotumika kwa yeyote anayesadikiwa katika dini mbalimbali kuwa na uhai wa hali ya juu."

Ila kiimani Mungu ni roho.
Roho ni imagination staff ya utendaji kazi ,sawa na energy ni tangable staff ya utendaji kazi isiyoshikika na haijulikani asili yake ,Sasa
Kama roho na energy Zina sifa sawa , kisayansi tunasema ni directly proportional .
Vile vile Mungu ni directly proportional na spirit (roho) basi automatic energy chimbuko lake ni Kwa Mungu.
Additional questions please 🥱🥱🥳
Unasema Mungu ni roho.

Nimekuuliza kuhusu Mungu, kitu ambacho huwezi kuthibitisha, unaniambia Mungu ni roho, ambayo hiyo roho nayo huwezi kuthibitisha.

This is a game of smoke and mirrors.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo, huwezi kuthibitisha roho ipo, kwa sababu havipo, hizo ni stories za kutungwa na watu tu.
 
Mkuu kiranga,
Unajua ukifikiri sana unaweza kusema kama wayahudi walikuwa ni watu wanaopigana vita, huenda ilikuwa ni njia moja ya kuinspire watu na ku raise ile willingness ya watu kuwa tayari kupambana.

Kuna aina fulani ya kama conspirancy theory walizokuwa wanatumia kuwatisha maadui😂
Kuna siku nilikuwa naangalia the ellen show guest akiwa obama kuna mtoto anaitwa matty ni presidental expert.

Yule mtoto akamuuliza obama nasikia america ina direct contact na viumbe kutoka sayari zingine kama vile alien.
Akasema that’s secret ila baadae akajibu ndio tunayo.

Hizi jamii za kale ukichunguza hivi vitabu vilitengenezwa kuongeza ile hali ya kuwa tayari kupigania itikadi zao sio biblia wala Quran.
Wayahudi sio walikuwa wanatumia hadithi ya Mungu kutisha watu, mpaka leo bado wanatumia uongo huo. Wakisema wao ni taifa teule.

Na watu wengi bado wamepumnazwa na stories hizi.
 
Muumba wa viumbe vyote
Hujathibitisha Mungu ni muumba wa vitu vyote kweli. Hiyo ni kauli ya imani tu.

Hata mimi naweza kusema Mbuyu uliopo uani kwangu ni muumba wa viumne wote.

Lakini mimi kusema hivyo, hakumaanishi uani kwangu kuna mbuyu wala mbuyu huo ndio muumba wa viumbe vyote.

Thibitisha, usiseme tu.
 
Nahitimisha Kwa kusema Mungu yupo maana kubwa la maadui bwana Kiranga kala Kona,
Na kama mtu anabisha aje na hoja za kupinga na aniambie anatka tubishane katika msingi wa kisayansi ama kiimani na akikisha umekwiva vizuri.
In addition BigBang theories inaelezea vizuri kuwa Mungu ameumba ulimwengu,nenda kasome biblia na Qur'an afu nenda kasome BigBang theory.
Vina ulinganifu mkubwa
Mkuu,

Kumbe uko hapa kufanya ligi za kitoto za nani kala kona?

Mimi nilikuwa na party jana usiku ya US, sikeshi JF. Usifikiri maisha yangu yote yanazungukia JF sina maisha nje ya JF.

Hujaweza hata ku define Mungu ni nini. Nimekuuliza Mungu ni nini? Umesema Mungu ni roho. Hiyo roho nayo huwezi kuthibitisha ipo. Nakuambia uthibitishe Mungu yupo, huwezi, unaniambia Mungu ni roho, roho nayo huwezi kuthibitisha ipo.

Big Bang theory imeeleza vizuri Mungu ameumba ulimwengu wapi?

Wewe unaelewa kwamba mmoja wa wagunduzi wa Big Bang Theory, George Lemaitre, ambaye alikuwa cosmologist na kasisi wa kanisa la Katoliki, alipomtangazia Papa wa Katoliki Pius XII kuhusu Big Bang Theory, Papa alifurahi na akasema sasa tutaitumia hii theory kuonesha Mungu yupo na ndiye kaumba dunia kwa Big Bang Theory, lakini George Lemaitre alimkataza Papa kuitumia Big Bang kama ushahidi wa uwepo wa Mungu?

Hiyo Big Bang Theory hata historia yake umeisoma? Naona hujaisoma, maana ungeisoma ungeelewa point ya George Lemaitre na usingeandika kuwa Big Bang Theory imeeleza vizuri Mungu kaumba ulimwengu.

Soma hapa ujifunze kuhusu hiki suala.

 
Mkuu,
Ila kuna mtu huwa anatamani umtoe ignore list lakini umegoma kabisa😂😂
Kwa huruma yako tunaomba umtoe jamaa mmoja anaitwa kisai huyu bwana anapenda sana kufanya mijadala na wewe yaani anakujibu karibia mara kumi kumi na tayari ushamwambia yupo ignore lakini bado anakufatilia sana🤣.

Tunaomuombea msamaha msamahe arudii tena alikosea tu.
Kwa heshima yako tu, namtoa mkuu.

Kisai
 
Mfano wewe una familia yako ume iyanzisha mwenyewe una sheria zako unaweza ruhusu mtu mwingine, akupangie chakufanya bila matakwa yako.
Jibu ni hapana maana ataingilia utawala wako
Ndo iko hivyo kwa mungu huwezi mpangia nini afanye
2. Hawo watu wako wakikosea na ilhali umewapa muongozo vipi waishi huto waadhibu kulingana na makosa yao. Na ilhali ni watu wako na unawapenda na kuwa hudumia???
Uko sawa kabisa, wewe ukianzisha familia yako, utapanga sheria zako, mtu hakupangii, within reason of course.

Naona huelewi hata maswali yangu.

Maswali yangu hayahusiani na kumpangia chochote Mungu.

Maswali yangu yanahusu logical consistency.

Huyo Mungu mwenyewe mnayemsema yupo, mbona anajikanganya?

Mbona hapa anasema anakwenda mbele, halafu hapa tunaona anarudi nyuma?

Mbona hapa anatuambia chekundu juu, cha bluu chini, halafu hapa tunaona chekundu chini, cha bluu juu?

Mbona habari za kuwepo kwake zinaji contradict zenyewe?

Mbona ulimwengu uliopo una contradict habari za kuwepo kwake, kwa namna ambayo inaonesha hawezi kuwepo?

Mbona wewe mgumu kuelewa mambo ya msingi kabisa?
 
Ukishanipa task ambayo ubongo wangu utashindwa ku imagine, hilo nalo litathibitisha Mungu mjuzi wa yote, nuweza yote na mwenye upendo wote hayupo.

Unaelewa hilo!?.
binadam ni species wa hali ya. chin sana
 
Mkuu,
punguza jazba rudi tena kusoma.
First from nothing,

Second from clay

Jibu swali.
Labda huja elewa ngoja ni fafanue kidogo
Hali ya kuwa "kitu" ina maana hakuwa kitu hakuwepo katika ulimwengu huu.
Na hiyo Surat Hijri 15:26
Ndio tuna rudi kule kule nili kujibu kwamba binadamu wakwanza amaumbwa kutokana na udongo unaotoa sauti
Kwahiyo hapo kabla hakuwa kitu kisha Allah akamuumba kutokana na udongo kwenye kutoa sauti.
 
Labda huja elewa ngoja ni fafanue kidogo
Hali ya kuwa "kitu" ina maana hakuwa kitu hakuwepo katika ulimwengu huu.
Na hiyo Surat Hijri 15:26
Ndio tuna rudi kule kule nili kujibu kwamba binadamu wakwanza amaumbwa kutokana na udongo unaotoa sauti
Kwahiyo hapo kabla hakuwa kitu kisha Allah akamuumba kutokana na udongo kwenye kutoa sauti.
Hasemi aliumba kwa udongo aliumba pasipo kitu, next anabadilika anasema kaumbwa kutoka kwa udongo!
Wewe umeenda mbali zaidi udongo unaotoa sauti!
Unaelewa maana ya nothing, na kutengeneza from clay.
 
Labda huja elewa ngoja ni fafanue kidogo
Hali ya kuwa "kitu" ina maana hakuwa kitu hakuwepo katika ulimwengu huu.
Na hiyo Surat Hijri 15:26
Ndio tuna rudi kule kule nili kujibu kwamba binadamu wakwanza amaumbwa kutokana na udongo unaotoa sauti
Kwahiyo hapo kabla hakuwa kitu kisha Allah akamuumba kutokana na udongo kwenye kutoa sauti.
Since clay is something, we have a contradiction since “nothing” excludes the possibility of “clay.” Both cannot be true.

Hivi unaelewa hiyo statment hapo? Au bado unatatizika kuelewa?
 
God is good, and does not accept but what is good,
And God has ordered the believers to do that which. He had ordered the messengers to do God the exalted has ordered the messengers to eat from that which is good and to do that is good.
And likewise.
He ordered the to eat from that which is good, which he has provided (All baqara 172) "The prophet then proceeded

To mention that a man, long travelled dishevelled, and covered with dust.

Stretching his two hands to Heaven ( praying and saying) O lord .... O Lord; and his food (comes from what) is prohibited, and his drink (comes from what) is prohibited, and his clothing (comes from what) is prohibited he is nourished by what prohibited

How is he to be granted this prayer!!!
 
Back
Top Bottom