Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuzishika amri zake na kujitenga na dhambi, kuishi maisha ya Utakatifu...Kama yapi mkuu
Rudia kusoma ulichoandika Halafu ondoa contradictionHebu rudia kusoma nilicho andika.
Tafsiri haiko hivyo mkuu ndio maana hapo awali nilitaka muandike kwa kiarab kiswahili kina maneno machache sana tofauti na Arabic sasa unapo badirisha kwa lugha nyingne ni ngumu. KuelewaHasemi aliumba kwa udongo aliumba pasipo kitu, next anabadilika anasema kaumbwa kutoka kwa udongo!
Wewe umeenda mbali zaidi udongo unaotoa sauti!
Unaelewa maana ya nothing, na kutengeneza from clay.
Wewe hujuwi kiarabu sasa kingereza kina rusha baadhi ya maneno kwasababu wana misamiati michache. Hebu katafute tafsiri ya kiswahili angalau itakusaidi kwa kuwa kiarabu kina ingiliana na kiswahili halafu ndio urudi ujadiliRudia kusoma ulichoandika Halafu ondoa contradiction
A contradiction occurs when one statement on a subject excludes the possibility of another. The first one here is a good example. In Surah 19:67, it states that man was created out of nothing. In 15:26, man is created from clay. Since clay is something, we have a contradiction since “nothing” excludes the possibility of “clay.” Both cannot be true.Tafsiri haiko hivyo mkuu ndio maana hapo awali nilitaka muandike kwa kiarab kiswahili kina maneno machache sana tofauti na Arabic sasa unapo badirisha kwa lugha nyingne ni ngumu. Kuelewa
Tafsiri iko hii
Surat Marian 19:67
Je, hakumbuki mwanadamu nilivyomuumba hapo kabla na hali hakuwa KITU. "ولم يك شئا" hili neno lina maana na wala hakuwa kitu (hakuwepo ulimwenguni)
Fata kwanza ushauri nilikupaA contradiction occurs when one statement on a subject excludes the possibility of another. The first one here is a good example. In Surah 19:67, it states that man was created out of nothing. In 15:26, man is created from clay. Since clay is something, we have a contradiction since “nothing” excludes the possibility of “clay.” Both cannot be true.
Nafikiri huelewi maana ya contradiction embu soma uelewe.
Ujatoa contradiction mpaka sasa.Fata kwanza ushauri nilikupa
Kwa upande wako unaweza kuona yana msingi lakini tuna tofautia ane siwezi kufikiria kama unavyo fikiria wewe huwo utata ni kwasababu ya mapokea binadamu hatuko sawa kufikiria ndio maana tuko hapo kueleweshana ili utata usiwepoUko sawa kabisa, wewe ukianzisha familia yako, utapanga sheria zako, mtu hakupangii, within reason of course.
Naona huelewi hata maswali yangu.
Maswali yangu hayahusiani na kumpangia chochote Mungu.
Maswali yangu yanahusu logical consistency.
Huyo Mungu mwenyewe mnayemsema yupo, mbona anajikanganya?
Mbona hapa anasema anakwenda mbele, halafu hapa tunaona anarudi nyuma?
Mbona hapa anatuambia chekundu juu, cha bluu chini, halafu hapa tunaona chekundu chini, cha bluu juu?
Mbona habari za kuwepo kwake zinaji contradict zenyewe?
Mbona ulimwengu uliopo una contradict habari za kuwepo kwake, kwa namna ambayo inaonesha hawezi kuwepo?
Mbona wewe mgumu kuelewa mambo ya msingi kabisa?
Hilo nalo ni uthibitisho Mungu hayupo.binadam ni species wa hali ya. chin sana
19:27 hakikuwepoUjatoa contradiction mpaka sasa.
19:27 nothing
15:26 clay
The two statment are contradict each other.
Ondoa hiyo contadiction Hapo
Tukiwa tofauti kuhusu masuala kama haya, Mungu yupo, au hayupo, maana yake mmoja wetu yuko sawa, na mwingine kakosea.Kwa upande wako unaweza kuona yana msingi lakini tuna tofautia ane siwezi kufikiria kama unavyo fikiria wewe huwo utata ni kwasababu ya mapokea binadamu hatuko sawa kufikiria ndio maana tuko hapo kueleweshana ili utata usiwepo
Na katika kueleweshana sio lazima uelewe wewe wengine wana weza kuelewa kupitia wewe
Hivyo ni vitabu vya hadithi za sungura na fisi,Sana tu. Mkuu sisi waislam tuna amini Qur'an ni zaidi hata ya hiyo sayansi kaa ujifunze kwanza mambo mengi katika maandiko yetu ya Qur'an yapo kisayansi
Hujataka tu kumjua Mungu...Tukiwa tofauti kuhusu masuala kama haya, Mungu yupo, au hayupo, maana yake mmoja wetu yuko sawa, na mwingine kakosea.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kwa neema zake kuu, si mchoyo wa elimu ashindwe au asitake kutujulisha wote elimu bira kuhusu uwepo wake.
Mungu huyo juachia watu fulani wamjue, na wengine wasimjue, ni contradiction.
Yani, ama watu wote wanamjua Mungu mmoja wa kweli ambaye yupo, ama kuna utata kuhusu uwepo wa Mungu na Mungu hayupo.
Kuna utata kuhusu uwepo wa Mungu, hivyo, Mungu hayupo.
Angekuwapo, angejifunua kwa uwazi usio nabutata wowote, kwa yeyote, kwa namna ambayo hata majadala huu tusingeweza kuufanya.
Kika mtu angemjua bila utata.
Uwepo wa utata, unaofanya hata wanaoamini Mungu yupo wagawanyike, hawa Waislam, hawa Wakristo, hawa Wabuddha, na humo pia kuna madhehebu mbalimbali, unaonesha Mungu hayupo.
Hujajibu hoja yangu kwamba mtu yeyoye kutomjua Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni contradiction.Hujataka tu kumjua Mungu...
Amesema mwenyewe kuwa Yeremia 33:3
Niite nami nitakuuitikia nitakuonyesha makubwa na magumu usiyojua...
Mbona Elimu ipo bure katoa Mungu kupitia neno lake Biblia...
Ni wewe tu kuweka bidii ya kumtafuta na utamuona...
Kwanini unasema uongo achilia mbali kutamani wala sijawahi kutaka kuomba, sababu kazi yangu kwake niliimaliza zamani sana, sababu namjua vizuri. Huwa anakimbia maswali na kutetea anachokidai hawezi.Mkuu,
Ila kuna mtu huwa anatamani umtoe ignore list lakini umegoma kabisa😂😂
Kwa huruma yako tunaomba umtoe jamaa mmoja anaitwa kisai huyu bwana anapenda sana kufanya mijadala na wewe yaani anakujibu karibia mara kumi kumi na tayari ushamwambia yupo ignore lakini bado anakufatilia sana🤣.
Tunaomuombea msamaha msamahe arudii tena alikosea tu.
Hapa naona kuna tatizo la uelewa, najibu anachokiandika kuonyesha anayo yaandika yameshajadiliwa zaidi ya mara moja na hakufua dafu.Hakuna haja ya kureply kwenye text zake na alishaamua kukudharau.
Wewe jibu tu kwa kawaida.
Kuendelea kujibu kwenye reply zake ni kuendelea kuonyesha unalazimisha ukaribu na mtu aliyeamua kukudharau.
Jibu kwa kawaida, mbona wengi alishasema kawaweka ignore na wameamua kutulia ila wewe kutwa upo kwnye reply zako.
Mtu akikukataa achana nae mkuu.