Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Uwepo wa Mungu unadhihirika kwa alama zake na viumbe vyake

Since clay is something, we have a contradiction since “nothing” excludes the possibility of “clay.” Both cannot be true.

Hivi unaelewa hiyo statment hapo? Au bado unatatizika kuelewa?
Hebu rudia kusoma nilicho andika.
 
Hasemi aliumba kwa udongo aliumba pasipo kitu, next anabadilika anasema kaumbwa kutoka kwa udongo!
Wewe umeenda mbali zaidi udongo unaotoa sauti!
Unaelewa maana ya nothing, na kutengeneza from clay.
Tafsiri haiko hivyo mkuu ndio maana hapo awali nilitaka muandike kwa kiarab kiswahili kina maneno machache sana tofauti na Arabic sasa unapo badirisha kwa lugha nyingne ni ngumu. Kuelewa

Tafsiri iko hii
Surat Marian 19:67
Je, hakumbuki mwanadamu nilivyomuumba hapo kabla na hali hakuwa KITU. "ولم يك شئا" hili neno lina maana na wala hakuwa kitu (hakuwepo ulimwenguni)
 
Rudia kusoma ulichoandika Halafu ondoa contradiction
Wewe hujuwi kiarabu sasa kingereza kina rusha baadhi ya maneno kwasababu wana misamiati michache. Hebu katafute tafsiri ya kiswahili angalau itakusaidi kwa kuwa kiarabu kina ingiliana na kiswahili halafu ndio urudi ujadili
 
Tafsiri haiko hivyo mkuu ndio maana hapo awali nilitaka muandike kwa kiarab kiswahili kina maneno machache sana tofauti na Arabic sasa unapo badirisha kwa lugha nyingne ni ngumu. Kuelewa

Tafsiri iko hii
Surat Marian 19:67
Je, hakumbuki mwanadamu nilivyomuumba hapo kabla na hali hakuwa KITU. "ولم يك شئا" hili neno lina maana na wala hakuwa kitu (hakuwepo ulimwenguni)
A contradiction occurs when one statement on a subject excludes the possibility of another. The first one here is a good example. In Surah 19:67, it states that man was created out of nothing. In 15:26, man is created from clay. Since clay is something, we have a contradiction since “nothing” excludes the possibility of “clay.” Both cannot be true.

Nafikiri huelewi maana ya contradiction embu soma uelewe.
 
Fata kwanza ushauri nilikupa
 
Uko sawa kabisa, wewe ukianzisha familia yako, utapanga sheria zako, mtu hakupangii, within reason of course.

Naona huelewi hata maswali yangu.

Maswali yangu hayahusiani na kumpangia chochote Mungu.

Maswali yangu yanahusu logical consistency.

Huyo Mungu mwenyewe mnayemsema yupo, mbona anajikanganya?

Mbona hapa anasema anakwenda mbele, halafu hapa tunaona anarudi nyuma?

Mbona hapa anatuambia chekundu juu, cha bluu chini, halafu hapa tunaona chekundu chini, cha bluu juu?

Mbona habari za kuwepo kwake zinaji contradict zenyewe?

Mbona ulimwengu uliopo una contradict habari za kuwepo kwake, kwa namna ambayo inaonesha hawezi kuwepo?

Mbona wewe mgumu kuelewa mambo ya msingi kabisa?
Kwa upande wako unaweza kuona yana msingi lakini tuna tofautia ane siwezi kufikiria kama unavyo fikiria wewe huwo utata ni kwasababu ya mapokea binadamu hatuko sawa kufikiria ndio maana tuko hapo kueleweshana ili utata usiwepo
Na katika kueleweshana sio lazima uelewe wewe wengine wana weza kuelewa kupitia wewe
 
binadam ni species wa hali ya. chin sana
Hilo nalo ni uthibitisho Mungu hayupo.

Mungu angekuwepo, kwa uwezo wake, ujuzi wake na ulendo wake, asingeumba species ya hali ya chini kama huyo unayemuita binadamu.
 
Ujatoa contradiction mpaka sasa.

19:27 nothing
15:26 clay
The two statment are contradict each other.
Ondoa hiyo contadiction Hapo
19:27 hakikuwepo
15:26 ndicho alicho tumia kuumba mwanadamu

Halafu Qur'an haitafsiriwi kama pages za udaku.
 
Kwa upande wako unaweza kuona yana msingi lakini tuna tofautia ane siwezi kufikiria kama unavyo fikiria wewe huwo utata ni kwasababu ya mapokea binadamu hatuko sawa kufikiria ndio maana tuko hapo kueleweshana ili utata usiwepo
Na katika kueleweshana sio lazima uelewe wewe wengine wana weza kuelewa kupitia wewe
Tukiwa tofauti kuhusu masuala kama haya, Mungu yupo, au hayupo, maana yake mmoja wetu yuko sawa, na mwingine kakosea.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kwa neema zake kuu, si mchoyo wa elimu ashindwe au asitake kutujulisha wote elimu bira kuhusu uwepo wake.

Mungu huyo juachia watu fulani wamjue, na wengine wasimjue, ni contradiction.

Yani, ama watu wote wanamjua Mungu mmoja wa kweli ambaye yupo, ama kuna utata kuhusu uwepo wa Mungu na Mungu hayupo.

Kuna utata kuhusu uwepo wa Mungu, hivyo, Mungu hayupo.

Angekuwapo, angejifunua kwa uwazi usio nabutata wowote, kwa yeyote, kwa namna ambayo hata majadala huu tusingeweza kuufanya.

Kika mtu angemjua bila utata.

Uwepo wa utata, unaofanya hata wanaoamini Mungu yupo wagawanyike, hawa Waislam, hawa Wakristo, hawa Wabuddha, na humo pia kuna madhehebu mbalimbali, unaonesha Mungu hayupo.
 
Sana tu. Mkuu sisi waislam tuna amini Qur'an ni zaidi hata ya hiyo sayansi kaa ujifunze kwanza mambo mengi katika maandiko yetu ya Qur'an yapo kisayansi
Hivyo ni vitabu vya hadithi za sungura na fisi,
 
Tukiwa tofauti kuhusu masuala kama haya, Mungu yupo, au hayupo, maana yake mmoja wetu yuko sawa, na mwingine kakosea.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kwa neema zake kuu, si mchoyo wa elimu ashindwe au asitake kutujulisha wote elimu bira kuhusu uwepo wake.

Mungu huyo juachia watu fulani wamjue, na wengine wasimjue, ni contradiction.

Yani, ama watu wote wanamjua Mungu mmoja wa kweli ambaye yupo, ama kuna utata kuhusu uwepo wa Mungu na Mungu hayupo.

Kuna utata kuhusu uwepo wa Mungu, hivyo, Mungu hayupo.

Angekuwapo, angejifunua kwa uwazi usio nabutata wowote, kwa yeyote, kwa namna ambayo hata majadala huu tusingeweza kuufanya.

Kika mtu angemjua bila utata.

Uwepo wa utata, unaofanya hata wanaoamini Mungu yupo wagawanyike, hawa Waislam, hawa Wakristo, hawa Wabuddha, na humo pia kuna madhehebu mbalimbali, unaonesha Mungu hayupo.
Hujataka tu kumjua Mungu...

Amesema mwenyewe kuwa Yeremia 33:3

Niite nami nitakuuitikia nitakuonyesha makubwa na magumu usiyojua...

Mbona Elimu ipo bure katoa Mungu kupitia neno lake Biblia...

Ni wewe tu kuweka bidii ya kumtafuta na utamuona...
 
Hujajibu hoja yangu kwamba mtu yeyoye kutomjua Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni contradiction.

Sijui hata kama umeelewa hoja.

Sijui hata kama una nia ya kujadili hoja.

Maana kuna watu hawana nia ya kujadili hoja, wanataka kutetea na kuhubiri imani yao tu.

Mimi sina nia ya kujibizana na watu ambao hawana interest ya kujadili hoja.
 
Mkuu,
Ila kuna mtu huwa anatamani umtoe ignore list lakini umegoma kabisa😂😂
Kwa huruma yako tunaomba umtoe jamaa mmoja anaitwa kisai huyu bwana anapenda sana kufanya mijadala na wewe yaani anakujibu karibia mara kumi kumi na tayari ushamwambia yupo ignore lakini bado anakufatilia sana🤣.

Tunaomuombea msamaha msamahe arudii tena alikosea tu.
Kwanini unasema uongo achilia mbali kutamani wala sijawahi kutaka kuomba, sababu kazi yangu kwake niliimaliza zamani sana, sababu namjua vizuri. Huwa anakimbia maswali na kutetea anachokidai hawezi.

Hili la kumjibu wakati najua ameniweka kwenye "Ignore list", ni kwa ajili ya watu kama nyinyi na mfano wako, ili kuwaonyesha ya kuwa mwenzenu hana hoja wala hajawahi kuwa na hoja.

Hili liweke akilini.
 
Hakuna haja ya kureply kwenye text zake na alishaamua kukudharau.
Wewe jibu tu kwa kawaida.
Kuendelea kujibu kwenye reply zake ni kuendelea kuonyesha unalazimisha ukaribu na mtu aliyeamua kukudharau.

Jibu kwa kawaida, mbona wengi alishasema kawaweka ignore na wameamua kutulia ila wewe kutwa upo kwnye reply zako.

Mtu akikukataa achana nae mkuu.
Hapa naona kuna tatizo la uelewa, najibu anachokiandika kuonyesha anayo yaandika yameshajadiliwa zaidi ya mara moja na hakufua dafu.

Kwa mfano muda huu au Leo hii, siwezi kujadiliana nae sababu hana uwezo huo, zaidi ya kupoteza muda. Kwahiyo lengo langu mimi ni nyinyi muone ndio sichoki kufanya hivyo.

Mimi nipo kwenye "reply" zake kwa munasaba ili mtu akisoma ajue nimegusia nukta gani, ili msomaji asipate shida.

Mimi lengo langu ni kutoa elimu na kuweka wazi mambo, ndio maana simzingatii anae andika bali kile kilicho andikwa.
 
Back
Top Bottom