Huenda hujui maana hoja, lakini kusema kwako kuwa Sina hoja haimaanishi kwamba kweli Sina hoja.Hujawahi kuwa na hoja zaidi ya kuandika stori.
Ujuaji mwingi ila hili linaonyesha una tofauti na Allah wako.
Amekutoa ignore list, pole ulikuwa unapitia wakati mgumu dogo.
Enjoy sasa
Kilichoandikwa kimeandikwa na watu wanasoma na wenye akili timamu wanaona.
Hapa hakuna cha ujuaji, nilishawapa nafasi mlete hata hoja zenu za Kisayansi au za kimantiki mtetee madai yenu lakini wapi mnaruka ruka, mnakimbilia katika mambo ambayo hamuyajui. Nastaajabu sana.
Huyo mwenzenu hawezi kujenga hoja mbele yangu hasa kuhusu haya mambo sababu ni mweupe sana na mtu wa ghishi, ndio maana nikawa namjibu hali ya kuwa haoni ninacho kiandika.