Mabadiliko hayaji kizima moto ila kuondolewa kwa utawala wa kiimla ni hatua kubwa kuelekea kwenye mabadiliko.Mbona Venezuela hakuna kilichobadilika?
Sawa wameuchoka, ila lazma ujue wanaichukia marekani na Israel kuliko Ayatollah so hata akija kiongozi mwingine moto ni ule ule.Ukweli unabaki palepale kwamba wananchi wa Iran wamechoka na utawala wa kiimla wa Ayatollah na wanataka serikali mpya isiyo ya kidini.
Nimesema wapi kwamba Tanzania ina vyikwazo vya kiuchumi, sasa nani mvuta bangi.Acha bangi, tanzania ina vikwazo gani vya kiuchumi
Kwa ujinga wa kulinganisha uchumi wa nchi yenye vikwazo vingi vya uchumi na nchi isiyo na vikwazo vya uchumiNimesema wapi kwamba Tanzania ina vyikwazo vya kiuchumi, sasa nani mvuta bangi.
Zile missiles za Iran si mchezo, Netanyahu alilaumiwa sana na wananchi pamoja na wanasiasa kuhusu ile vita ya siku 12.Ayatollah Ali Khomen kisha sema US kweli ni Super Power lakini kuna wako ma Super power walichapwa kibao na ule u Super power wao ukaisha.
Hapo Iran anajambo anataka kulifanya kisha chimba makaburi 5000 ya wanajeshi wa US kule Iran sababu hizo carriers zitakuwa ni history. Intelligence ya Israel wamedai Iran ana uwezo wa kuzizamisha Carriers na zitasambaratishwa na Hypersonic za Iran.
Israel ambaye ana mlazimisha US kushambulia Iran kisha sema hatuwezi kuzuia Missiles za Iran na hata kama hatutaingia vita Iran atatushambulia tu.
Hao Israel vichaa kweli wao wanamlaxzmisha US aingie vitani na Iran wanataka Iran asiwashambulie π
Kwani Iran yeye nani kamzuia si na yeye aweke tu vikwazo ngoma iwe droo.Kwa ujinga wa kulinganisha uchumi wa nchi yenye vikwazo vingi vya uchumi na nchi isiyo na vikwazo vya uchumi
Kumbe wewe ni LOFA! HongeraKwani Iran yeye nani kamzuia si na yeye aweke tu vikwazo ngoma iwe droo.
Nipo iran mwaka wa nne huu hapa bushehr na asaluyeh ndio maeneo ninayozunguka sana yaani ukisoma hizi coment za humu ndani unaishia kubaki mdomo waziVitalengwa, tupo hapa...
Pesa imeanguka sababu ya vikwazo... hata hivyo wanajitahidi sana, Israel haiwezi pewa vikwazo kama hivyo waka survive miaka mitatu.
Si kweli kwamba wananchi wengi wapo against utawala... Linapokuja suala la vita.. utawaona wanatoka na mabango yao ya 'death to America' maelfu kwa mamilioni, tupo hapa...
Itakuwa umefuatilia haya maandamano ya sasa... fuatilia maandamano ya 2009(green movement), futilia maandamano ya 2017-18 kuhusu uchumi, maandamano ya 2019/20 kuhusu bei ya mafuta kupanda..
2022/23 maandamano ya yule mwanamke aliyeuawa na Polisi.. hapo sijazungumzia maandamano kabla ya mwaka 2000.. miaka ya 90s huko pia kulikuwa na maandamano...
Lakini baadae unawaona hao hao wanasema 'death to America'....
Hivyo usijidanganye mkuu, vita ikianza wananchi wapo na serikali yao.
12 days war haikuilemalaza Iran, Iran ilikuwa kwenye sintofahamu kwa masaa kadhaa kabla hawajajipanga na kuji restore fully kisha kujibu mashambulizi hadi Israel ikaomba ceasefire, Israel ndiye aliumia pakubwa ndio maana hivi sasa humsikii akiwa mbele kujitangaza kuishambulia Iran.. hypersonic haina kinga.
Tujipe muda...
Mkuu hebu elezea uhalisia wa mambo ulivyo hata kwa uchache..Nipo iran mwaka wa nne huu hapa bushehr na asaluyeh ndio maeneo ninayozunguka sana yaani ukisoma hizi coment za humu ndani unaishia kubaki mdomo wazi
Kumbe na wewe no LOFA! HongKwani Iran yeye nani kamzuia si na yeye aweke tu vikwazo ngoma iwe droo.
Siwezi hii kitu maana humu kuna zaidi ya wajuaji so siwezi jichosha nasoma coment tu naendelea na mambo yangu ila tu jamaa wapo bize na maisha yao wala hawana habari na kinachoendelea huko hormuzππMkuu hebu elezea uhalisia wa mambo ulivyo hata kwa uchache..
Well done nataka kutimba pande hizo mashujaa wa Uislam hao, Niko napanga namna ya kusogea uwe mwejeji mi. Kifarsi sikijuiNipo iran mwaka wa nne huu hapa bushehr na asaluyeh ndio maeneo ninayozunguka sana yaani ukisoma hizi coment za humu ndani unaishia kubaki mdomo wazi
Kama hilo shambulio la marekani( CIA/NSI/FBI... wewe wa hapa hapa tena hapa Malawi! una taarifa nalo! Basi hilo sio shambulio!Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali kimetolewa cha ratiba ya kijeshi dhidi ya IRAN na Rais atatoa tamko ndani ya masaa 24 kuanzia muda huu. Tayari ameridhia ratiba ya kijeshi na anasubiriwa atoe tamko rasmi yaani AMRI kwa jeshi kuanza shambulio
Msome huyu kaandika ukweli mtupuWell done nataka kutimba pande hizo mashujaa wa Uislam hao, Niko napanga namna ya kusogea uwe mwejeji mi. Kifarsi sikijui
Sasa na wewe bro unajichanganya kuwa muelewa Iran sio waarabu wale ni waajemi.Vita vya Arabs na Muslims huwa vina mbwembwe ila ukilala ukiamka wamedundwa wanaanza kulia huku wakihamasisha maandamano duniani. wakipigana wao kwa wao kimya. wakichokoza wakapigwa nongwa
Iran ni watu wa surprise mkuu.Uwezo wa kuzilenga inao, maamuzi ya kuzilenga yanabaki kwao.
Israel angeteka anga la Iran kama unavyosema leo hii Iran ingekua kama Gaza. Embu wacheni kuleta uongo usiokuwa na maana.Anamuona Iran kama Russia/China. Iran anga lake lilitekwa lote na adui akawa anapiga atakavyo.
Upo sawa Israel aliteka anga la Iran ndio maana hakuna missile iliyotoka Iran kwenda IsraelππππππAnamuona Iran kama Russia/China. Iran anga lake lilitekwa lote na adui akawa anapiga atakavyo.
Wewe usie lofa kwa nini usijibu swali.Kumbe wewe ni LOFA! Hongera
Wale raia mamilioni walioandamana kwa kumvuta rais wao barabarani wakisema wanaunga mkono utawala wa Khamenei wametokea wapi!??Ukweli unabaki palepale kwamba wananchi wa Iran wamechoka na utawala wa kiimla wa Ayatollah na wanataka serikali mpya isiyo ya kidini.