Uwezekano mkubwa sana Shambulio la Marekani dhidi ya IRAN ni alfajiri ya ya Jumapili kesho kutwa

Wale raia mamilioni walioandamana kwa kumvuta rais wao barabarani wakisema wanaunga mkono utawala wa Khamenei wametokea wapi!??
Zile waga ni sinema mbona hata hapa zipo?
 
Zile waga ni sinema mbona hata hapa zipo?
Usipende kujipa upofu bro.
Watu walioandamana kuiunga mkono serikali ni wengi kuliko walioandamana dhidi ya serikali.
Unasemaje hiyo ni sinema!??

Kama ni sinema mbona 1979 raia wa nchi nzima waliandamana na kuingia jumba la kifalme na kumuondoa Mohammed Pahlavi Shah!??
Unadhani hao Iran wakiamua kupindua utawala huu wanashindwa ilhali 1979 waliweza!?
Hivi unaweza kushindana na raia milioni 90 wakiamua kukupindua!??
Kuwa serious sometimes hata kidogo.
 
Nusu ya idadi hiyo wako chini ya miaka 18 na sio rahisi kwao kuandamana.

Na kumbuka Shah hakuua watu kama dikteta Ayatollah anavyoua sasa. Nimesikia Trump akisema waandamanaji takriban 32,000 wameuawa kwenye maandamano hayo.
 
Kama kawaida yako kuropoka bila ushahidi. NUSU YA IRANIAN POPULATION NI UNDER 18!? Bro unajielewa kweli!??
Ni amesema Trump au siyo??
Trump huyu ambaye mwaka jana alipewa ripoti na Mr.Grossi mkaguzi wa atomic IAEA na akaikataa akisema Mr.Grossi anadanganya!??
Au wewe akili yako ni kusikiliza na kuamini pasi na kuchuja!?
 
Nusu ya idadi hiyo wako chini ya miaka 18 na sio rahisi kwao kuandamana.

Na kumbuka Shah hakuua watu kama dikteta Ayatollah anavyoua sasa. Nimesikia Trump akisema waandamanaji takriban 32,000 wameuawa kwenye maandamano hayo.
Una msikiliza trump?
 
Siku 3-7 Iran atapelekewa moto Sana kutokana Yuko peke yake kudefendi ndege za kisasa zaidi na drones zitamuoverwhelm lakini Sioni Iran akipigwa na hizi nchi 2 over the long run, hii battle itakua ya aina yake huwezi kumshinda muajemi Kwa kurusha ndege Kwa wiki Moja, ili Iran akubali ni mbungi ya miaka 10+ angani na ardhini without he's proxy
 
Nilisha sema Iran anamjua adui yake wala haangaiki na distance fupi iliyopo baharini kwenye hizo Manual.

Chanzo cha ugomvi kitasema kuwa sasa inatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…