Uwezekano wa Rais aliye madarakani kuwa shahidi mahakamani ukoje kisheria?

Word.
 
Bila shaka lissu anayajua haya yote na anayo plan b
 
Hapo ndipo lengo la lissu litatimia. Kuivua nguo mahakama na kuonyesha ni mhimili dhaifu. Ikifika hatua hiyo maana yake hata hakimu mwenyewe hawezi kuwa na confidence tena.
Mzee, Kwani si mara nyingi tu zimetolewa kauli kwamba mahakama inaendeshwa na remote meaning Mahakama ni dhaifu au zilishafutwa hizo kauli kiasi kwamba inahitajika proof nyingine kuonesha mmihili huo ni dhaifu?
 
Vipi kuhusu TISS DIG, IGP, CDF ?
Kwa kiasi fulani, hawa ni lightweight mazafakas, but the defense must still demonstrate that each of them has direct, material, and firsthand knowledge of the specific facts of the alleged treason.
 
Mzee, Kwani si mara nyingi tu zimetolewa kauli kwamba mahakama inaendeshwa na remote meaning Mahakama ni dhaifu au zilishafutwa hizo kauli kiasi kwamba inahitajika proof nyingine kuonesha mmihili huo ni dhaifu?
Kesi hii ina coverage kubwa zaidi. Kumbuka ishajadiliwa mpaka kwenye bunge la ulaya na marekani
 
Rais anakutanishwa vipi na muhaini?yaani huo ni mpango wa kutaka kumalizia nia ovi ya uhaini
In shaa Allah hayo mnayoyataka kuna siku yatatokea kweli katika nchi hii na hamtakuwa na uwezo wa kuyazuia . Hakuna aliyejuu ya sheria mnaogopa muuaji kwenda kutoa ushahidi wake.
 
Lissu kuwaita mashahidi mahakamani akiwemo Rais wa nchi imekaaje kisheria ?

Kuna kizuizi chochote cha Sheria kuzia rais aliye madarakani kuwa shahidi katika kesi iliyo mahakamani?

Shahidi anaweza kutuma mtu kumuwakilisha kwa niaba yake mahakamani?
Mbona yote kayaweka sawa mahakamani. Raisi anatumiwa wito ni yeye kuamua kutii au hapana. Pili hakuna mtu katika Sheria zetu anayetoa ushaidi kwa ajili ya mtu mwingine. Lissu ajengewe sanamu
 
Kesi hii ina coverage kubwa zaidi. Kumbuka ishajadiliwa mpaka kwenye bunge la ulaya na marekani
Hiyo wide coverage ndio itabadili mtazamo kwamba mahakama sio dhaifu?
Vyovyote itakavyokuwa udhaifu wa mahakama huko pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…