Uwezo wa gari kukimbia angalia RPM sio KMH

OIL NA KIASI KWENYE TOYOTA SUCCEED.
Wanajamvi naomba mnisaidie kujua aina na kiasi cha oil kinachowekwa kwenye Diff ya toyota succeed.
 
Haka kagari kwa ambao hawakajui watakadharau ila nawashauri watu hili ni lichuma la kwenda mbio zipo na balance ikiwa barabarani.
Hako kagari ukikapata Tanzania uta enjoy maana watashangaa mbona gari ndogo ila inachanganya haraka na ukitaka kuifata hauwezi kuikuta labda uruke...Golf 10 ina balaa sana na ina mapumziko ya kutosha sana ndani..
 
Hiyo inaitwa acceleration; uwezo wa gari kubadili kasi; the higher the acceleration the faster it can move in a short time hence the ability to overtake easily.

Baadhi ya magari rpms kati 7 hadi 8 wanaweka red line; kwamba ukiona inachezea hapo ama uko spidi ya hatari kwa uwezo wa gari hilo au engine ina matatizo kama gari halo speed at those rpms.
 
Hako kagari ukikapata Tanzania uta enjoy maana watashangaa mbona gari ndogo ila inachanganya haraka na ukitaka kuifata hauwezi kuikuta labda uruke...Golf 10 ina balaa sana na ina mapumziko ya kutosha sana ndani..

Kweli kabisa Mungu anijaalie nikamiliki haka kitu cha mjeruman
 
Hako kagari ukikapata Tanzania uta enjoy maana watashangaa mbona gari ndogo ila inachanganya haraka na ukitaka kuifata hauwezi kuikuta labda uruke...Golf 10 ina balaa sana na ina mapumziko ya kutosha sana ndani..

Hiyo ni gti tu inasoma 300 engine cc ndogo lakini mwendo wa kufa mtu
 
Mkuu nimeenda kuka google kanauzwa bei mkasi sana [emoji16] labda upate mdogo wake wakiba golf gti
SA vina bei ila vipo vingine Yard bei nzuri tuu kama hiki...
 
Attachments

  • 20230207_121027.jpg
    578 KB · Views: 16
  • 20230207_121026.jpg
    568.2 KB · Views: 15
  • 20230207_121010.jpg
    575.2 KB · Views: 16
  • 20230207_121009.jpg
    564.9 KB · Views: 13
Wajapani wanauza bei ghari sana Golf ya 2013 wanauza usd elfu kumi wakati hiyo hela unaweza kupata hiyo hiyo ya 2017 au 2018 SA ukitembea kidogo na hela yao ilivyoshuka hiyo usd ni Rand nyingi...

Ndo nimeshangaaa hadi golf ya 2004 wanauza bei
 
Ndo nimeshangaaa hadi golf ya 2004 wanauza bei
Japan wanaangalia soko la Afrika lipoje wao hata gari ya 1997 wanauza bei tuu kama ipo kwenye demand kubwa ila SA nachopenda wao wanaenda na Model gari ya zamani haina nafasi labda zile Luxury car tuu Porsch na ndugu zake...
 
Mkuu apo umeitaja gari yangu pendwa ya Voltz, naomba maelezo zaidi
 
Mkuu apo umeitaja gari yangu pendwa ya Voltz, naomba maelezo zaidi
Ni Toyota..
Reliable..
Kaa mbali na 1ZZ engine..
Tafuta 2ZZ engine.. Hii ni combination ya Toyota na Yahama.. Combination yao huwa inatoa engines zenye mlio tamu kwenye masikio..
Ukumbuke kuiendesha umeshusha vioo..
 
Sijui Kama unaelewa ulichoandika
 
Yani wewe ndo zero brain

Attachment ulioleta mbna haioneshi rpm?
 
Sijui nicheke sijui nilie au basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…