fredo fred
JF-Expert Member
- Oct 17, 2015
- 748
- 1,615
Unachokiongea ni kweli kabisa130hp then ufike 260Kph..!!!?
Sio rahisi aisee.. Actually Haiwezekani..
Kumbuka IST ina 150hp..
Dashboards zinabandikwa tuu..
518i
520i
525i
530i
535i
540i
Zote dashboard inasoma 260kph..ila hazina uwezo sawa..!
Hii gari ipo tuned stock sina uhakika kama inaweza kufika hapo
Audi A4 1.9tdi hiyo....
240kph inafika mshale haujafika hata kwenye redline.
Hiyo gari iko tuned
Audi A4 1.9tdi hiyo....
240kph inafika mshale haujafika hata kwenye redline.
Kwenye heading wameandika 131ps kwenye description ndio wameadd hiyo 170ps.Hii gari ipo tuned stock sina uhakika kama inaweza kufika hapo
Yeah maana yake wameitune from 131ps to 170psKwenye heading wameandika 131ps kwenye description ndio wameadd hiyo 170ps.
So far 1.9tdi zinazofika 240kph bila mshale kufika kwenye redline zipo nyingi.
Ukiangalia rpm wakati mtu anaendesha unaweza kunotice kama gari iko tuned au haiko tuned?
Unaweza kunoticeKwenye heading wameandika 131ps kwenye description ndio wameadd hiyo 170ps.
So far 1.9tdi zinazofika 240kph bila mshale kufika kwenye redline zipo nyingi.
Ukiangalia rpm wakati mtu anaendesha unaweza kunotice kama gari iko tuned au haiko tuned?
redlineUnaweza kunotice
redline au?Unaweza kunotice
Naomba video1.9TDI kwenye Audi au VW ina horsepower 130.
Inatoboa 260kph bila shida.
Hizo golf zinazofika 320kph hata hazifiki 300hp.
Ewaa130hp then ufike 260Kph..!!!?
Sio rahisi aisee.. Actually Haiwezekani..
Kumbuka IST ina 150hp..
Dashboards zinabandikwa tuu..
518i
520i
525i
530i
535i
540i
Zote dashboard inasoma 260kph..ila hazina uwezo sawa..!
Na haiwezi fika redline kwa gia hio labda avue gia moja
Audi A4 1.9tdi hiyo....
240kph inafika mshale haujafika hata kwenye redline.
Kwa hio yenye rpm kubwa ndo yenye uwezo mkubwa kwa madai yako etRpm ni uwezo wa gari kuchanganya speed
Asante ubarikiwe tungebishana mpaka kesho ..hio engine 1900cc diesel hata ile version kubwa yenye 136hp acha zile za 101hp navojua haiwezi fika 260kph sijui maximum Ni ngap ile 260,250, najua haifikiHiyo gari iko tuned View attachment 2549057
Gari hazipo designed kufika top speed huku ikiwa redline lazima iwe na gia ambayo itashusha rpm kuwa chini ,,So far 1.9tdi zinazofika 240kph bila mshale kufika kwenye redline zipo nyingi.
Ukiangalia rpm wakati mtu anaendesha unaweza kunotice kama gari iko tuned au haiko tuned?
Huwezi jua kwa kuangalia rpmredline au?
Mkuu hapana unatulisha matango poriWengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.
Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.
Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.
Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze
View attachment 2521539
RPM kwenye gari inataja mizunguko ya fito kombo (crank shaft) ndani ya injini kwa dakika moja. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja na kasi maana inategema gia. Ukiwa gia ya kwanza unaweza kuzungusha injini yako kwa RPM 5000 na bado unatembea labda kwa 30 km/h, ila ukiweka gia ya nne au ya tano kasi yako itakuwa zaidi ya 100 km/h ukienda kwa RPM 5000.Wengi wetu utasikia ile gari inakimbia sana, ni kweli gari lazima kukimbia ila ushawai kujiuliza mnaweza kuwa spidi sawa ila ukashangaa anakupita bila kutegemea.
Utengenezaji wa magari kuna vitu vingi vinaangaliwa ili kufanya gari kukimbia ila kinachowezesha ni injini.
Injini kila siku zinavozidi kutengenezwa zinasumbukiwa RPM ili wewe kukusaidia gari lako kwenda vizuri.
Nini maana ya RPM(Revolutions per minute):
is a unit of rotational speed or rotational frequency for rotating machines.
Wajuzi wa magari na mafundi nataka mtueleze
View attachment 2521539
| fito kombo |
Daaaah aisee hii thread imejaa watu waongo tuu😂😂Kuna kitu kinaita Horse power mnaweza kuwa sawa Speed bt mwenzio ana horse power kubwa automatical atakupita tuh.
E.G. Ist atembee 80km/r then Altezza atembee speed 80km/r na wote waanze pamoja eneo moja. Unafkir nani atakae mpita mwenzie[emoji1][emoji2][emoji3]
Wewe utakuwa injinia wa yudizm yua veri shalou in diip wota[emoji16]mkiwa speed sawa hakuna namna mmoja atampita mwingine mkuu... bajaji, subaru, yutong, baiskeli, guta, yutong zote zikiwa sawa speed let say 20kph tegemea zote zitafika mbeya au mwanza muda sawa. Asante
Wewe utakuwa injinia wa yudizm yua veri shalou in diip wota[emoji16]