Uwezo wa Jenista Mhagama unatia mashaka

Uwezo wa Jenista Mhagama unatia mashaka

[emoji3][emoji3][emoji3]Nishai hilo libibi Magufuli alivyokuwa mkali na lenyewe likawa likali .Samia kaja na upole limeshabadili rangi lifatilie linajifanya poleee kumbe tapeli la madaraka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anabebwa na Gendar tu

Praise and worship team! Alafu anapewa wizara nyeti ambazo IQ yake haiwezi! Nakumbuka yeye na Irene Isaka nadhani walivyochezea akili za watu kwenye kikokotoo!
 
Akiwa kanisani pale Matogoro Songea siti yake ni ya mbele kabisa na kabla ya misa kuisha lazima apite mbele anapiga blaa blaa zake, so akitoka hapo anaenda kilingeni kujiimarisha[emoji3][emoji3] maana wangoni ni mafundi siyo mchezo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatareee sanaaa.
 
  • Thanks
Reactions: FWC
[emoji3][emoji3][emoji3]Nishai hilo libibi Magufuli alivyokuwa mkali na lenyewe likawa likali .Samia kaja na upole limeshabadili rangi lifatilie linajifanya poleee kumbe tapeli la madaraka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Ni mbunge wangu huyu, miaka 20 ya ubunge lakini hakuna anachofanyaa yeye mda wa uchaguzi kugawa tsheti na khanga na kofia,

Yaan songea vijijini, jimbo "peramiho" ni hovyoo tyuuh. Wananchi wanavyo muelewa sasa sijui hata kawapa nn, tena wamemuambia agombee hadi atakapochoka yeye ndo atafute wa kumuachia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangoni tumepatwaa mbona.
Kaz mnayo sanaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ni mbunge wangu huyu, miaka 20 ya ubunge lakini hakuna anachofanyaa yeye mda wa uchaguzi kugawa tsheti na khanga na kofia,

Yaan songea vijijini, jimbo "peramiho" ni hovyoo tyuuh. Wananchi wanavyo muelewa sasa sijui hata kawapa nn, tena wamemuambia agombee hadi atakapochoka yeye ndo atafute wa kumuachia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangoni tumepatwaa mbona.
Nyumbii
Bombiiii
 
Ilikuwaje mama kumuodoa yule kijana Mchengerwa na akamleta huyu Jenny aliyekuwa akiwadanganya watumishi kama watotoenzi za Magufuli? Jenny anapaswa kupumzika na sikuwa ofisini
 
Msumbiji useme dear. Malawi mbna cha mtoto.
Kitu msumbiji hapooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh kumbe ndio maana Mwigulu amewaambia wajadili uganga mambo ya fedha waachane nayo
 
Kuna mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa wilaya yanayofabyika Dodoma leo ambapo mgeni rasmi ni Mh. Makamu wa Rais Philip Mpango.

Mafunzo hayo yatatolewa kwa siku sita ambapo yanajumuisha wakuu wa wilaya wapya na wale wa zamani.

Akitoa salam za ofisi yake Mhagama amewaagiza wakuu wa wilaya wakasimamie nidhamu kazini, kupandishwa madaraja kwa watumishi wa umma na kushuhulikia malimbikizo.

Hivi Mhagama anaona watanzania wanaomsikiliza nimazuzuz? Hao wakuu wa wilaya watapandishaje mishahara wakati bajeti mnatengeneza nyie? Malimbikizo unawatuma wakuu wa wilaya wakati unakutana na waziri wa fedha kila wakati. Kwanini usiwaambie hazina?

Nimemchekiiiiiii kisha nikajisemea hivi huyu mwanasiasa anachukuliaje watanzania wenzie?
Siku nyingi huyu Jenista ameonekana hana upeo wa uongozi.
Hata vetting ya wakuu wa wilaya alishindwa kufuatilia, wengine walikataa uteuzi.
Hii inaashiria kushindwa kazi.
 
Ukishaona watu wanaamini mamizizi na mavibuyu na kutoa tacle ili wapewe uongozi, unadhani ni kwanini? simple ni kwasababu hawana kitu kichwani. ENDs.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Nimesikiliza ila huyu mama anabebwa sana ila kichwani sio mzuri kabisa! Pole sana Mama SSH
 
Huyu Jenista ni Mwanasiasa na wala sio mtendaji sijui hata watu wa jimbo lake wanamchuaje mtu kama huyu. Alitoa maagizo ya kushughulikia wale waliogoma kuwa wakui wa Wilaya nikajisemea huyu JM ni tatizo.
Nasikia huyu mama ni mloz ile mbaya.Kila anayejitokeza jimboni kwake ,analiwa kichwa.Ni Mwalimu wa shule ya msingi tu .Hana chochote cha zaidi.
 
Hivi Mhagama anaona watanzania wanaomsikiliza nimazuzuz? Hao wakuu wa wilaya watapandishaje mishahara wakati bajeti mnatengeneza nyie? Malimbikizo unawatuma wakuu wa wilaya wakati unakutana na waziri wa fedha kila wakati. Kwanini usiwaambie hazina?
Anachokiweza Jenista ni kuvaa vilemba na kuweka kitenge begani, sijui kwanini asikishonelezee hapo begani kiwe cha kudumu maana anatumia muda mwingi kukiweka sawa kuliko muda wa kazi, na creativity ni 0
 
Ni mbunge wangu huyu, miaka 20 ya ubunge lakini hakuna anachofanyaa yeye mda wa uchaguzi kugawa tsheti na khanga na kofia,

Yaan songea vijijini, jimbo "peramiho" ni hovyoo tyuuh. Wananchi wanavyo muelewa sasa sijui hata kawapa nn, tena wamemuambia agombee hadi atakapochoka yeye ndo atafute wa kumuachia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wangoni tumepatwaa mbona.
Mlongo wenu akipita huu uzi anaweza Zimia.
Ila siyo mbaya, 2015 Coca ukagombee aisee
Huko Songea hamnaga watu wengine wasomi?,, [emoji1787]
 
Back
Top Bottom