Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

Jeshi la CCM
 
Dunia ya sasa kuwa komando sio manguvu, ni kuwa na akiili sana, haya nambie Komando wa USA na Tz nani mwenye akili na uzoefu? Actually hata mafunzo ya ngumi am sure wa USA wanamafunzo zaidi
Vile vile kuna utofauti kati ya Komando wa US na Komando wa Kiafrika

Kutokana na nature ya watu wa Africa kuwa ni watu wenye nguvu basi usitegemee kumuona Komando wa US amzidi Komando wa Kiafrika
 
Vile vile kuna utofauti kati ya Komando wa US na Komando wa Kiafrika

Kutokana na nature ya watu wa Africa kuwa ni watu wenye nguvu basi usitegemee kumuona Komando wa US amzidi Komando wa Kiafrika
Kwaiyo jeshi letu lipo nafasi ya ngapi kwa ubora duniani na kwa vigezo vipi?
 
Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers

Hao ni Makomandoo

Na value ya Komandoo nadhani unaijua

Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200

Sasa hapo ni swala la hesabu
Kama komandoo wa Tanzania ni Sawa na wanajeshi 200 wa Marekani si atakuwa Sawa na wanajeshi 200,000?
 

Which Countries Have Nuclear Weapons?

  1. Russia — 6,257 (1,458 active, 3039 available, 1,760 retired)
  2. United States — 5,550 (1,389 active, 2,361 available, 1,800 retired)
  3. China — 350 available (actively expanding nuclear arsenal)
  4. France — 290 available
  5. United Kingdom — 225 available
  6. Pakistan — 165 available
  7. India — 156 available
  8. Israel — 90 available
  9. North Korea — 40-50 available (estimated)
 
Tunaomba upunguze nchi za dunia ya kwanza uweke za Afrika kwanza ambazo ziko mbele yetu kama zisipotosha ndiyo ndiyo ujazie hizo
 
Dunia ya sasa kuwa komando sio manguvu, ni kuwa na akiili sana, haya nambie Komando wa USA na Tz nani mwenye akili na uzoefu? Actually hata mafunzo ya ngumi am sure wa USA wanamafunzo zaidi
Role ya kwana ya Komando ni nguvu

Akili ni kitu cha ziada tu

Ebu fikiria tu mwenyewe akili ya kazi gani?

Kwamba awe na uwezo wa ku calculate speed ya ngumi kwa vipimo vya nyuzi ili ajue perfect time ya kuikwepa?
 

Top 10 Largest Navies in the World (by total number of warships and submarines - 2020):

  1. China - 777
  2. Russia - 603
  3. North Korea - 492
  4. United States - 490
  5. Colombia - 453
  6. Iran - 398
  7. Egypt - 316
  8. Thailand - 292
  9. India - 285
  10. Indonesia - 282
 
Kama komandoo wa Tanzania ni Sawa na wanajeshi 200 wa Marekani si atakuwa Sawa na wanajeshi 200,000?
Ndo hapo tutarudi kwenye asili yetu ambayo hata mtoa mada alikuwa sharp kugundua

Ni kwamba hiyo 27,000 ilikuwa ni ku minimize tu ila ukweli ni kwamba ni beyond na ndio maana hata mleta mada akaamua kuzidisha mara 3
 
Uwezo wetu ni huu:


Kuwaonea wanachi, kisa nguo za jeshi
 

Attachments

  • nguo za jeshi.mp4
    3.4 MB

Top 10 Largest Air Forces in the World (by number of Military Aircraft) - Flight International 2022:

  1. United States Air Force - 5,217
  2. Russian Air Force - 3,863
  3. People's Liberation Army Air Force (China) - 1991
  4. Indian Air Force - 1,715
  5. Egyptian Air Force - 1,062
  6. Korean People's Army Air Force (North Korea) - 946
  7. South Korean Air Force - 898
  8. Pakistan Air Force - 810
  9. Japan Air Self-Defense Force - 746
  10. Royal Saudi Air Force - 690
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…