Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

The 10 Countries With The Most Battle Tanks

  1. Russia - 12,566
  2. North Korea - 6,645
  3. United States - 5,500
  4. China - 4,950
  5. Egypt - 4,664
  6. India - 4,614
  7. Iran - 4,071
  8. Pakistan - 3,742
  9. Syria - 2,616
  10. South Korea - 2,331
Mkuu hii ni statistic ya lini?

Ni baada ya vita au kabla?

Maana Russia kupitia vita ya Ukraine imeelezwa kuwa kapoteza tanks 4,000

1693465371261.png
 
View attachment 2734303

Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika kuongelea mambo:-
1. Bajeti ya Jeshi
2. Idadi ya wanajeshi
3. Vifaa vya kijeshi
4. Operation zilizofanyika
5. Uwezo katika electronic warfare
6. Umilki wa silaha vya nuclear
7. Uwezo wa Jeshi la anga
8. Uwezo wa Jeshi la Majini
9. Mitambo ya kiulinzi
10. Idadi ya Majenerali

Upande wa Bajeti
Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania ni USD 18.4 billion. Yaani ndani ya hiyo bajeti kuna bajeti ya jeshi, wizara zingine nk.

Zifuatazo ni bajeti ya majeshi tu katika nchi kumi duniani ya mwaka 2020

  1. The United States — $778 billion
  2. China — $252 billion
  3. India — $72.9 billion
  4. Russia — $61.7 billion
  5. United Kingdom — $59.2 billion
  6. Saudi Arabia — $57.5 billion
  7. Germany — $52.8 billion
  8. France — $52.7 billion
  9. Japan — $49.1 billion
  10. South Korea — $45.7 billion

Tanzania haimo kwenye top 10 kwenye upande wa Budget..... Tunaendelea
Ubora wao ni kuvunja matofali siku ya 9-12
 
Acha vitisho vya kijinga, ile miaka ya kusema jeshi ni imara bila data ilishapita. Sana sana mnachoweza kufanya ni kuumiza raia tena ni kwakuwa hawana silaha. Lakini ikitokea kikundi chenye silaha au vita, inaweza kuwa aibu ya karne.
Wameshindwa tu hapo Congo
 

What Is the Largest United Nations Peacekeeping Operation in History?

  1. Bangladesh: 7,237 🇧🇩
  2. Nepal: 6,264 🇳🇵
  3. India: 6,097 🇮🇳
  4. Rwanda: 5,935 🇷🇼
  5. Pakistan: 4,334 🇵🇰
  6. Egypt: 2,825 🇪🇬
  7. Ghana: 2,762 🇬🇭
  8. Indonesia: 2,704 🇮🇩
  9. Senegal: 2,426 🇸🇳
  10. China: 2,258 🇨🇳
 
Here are the top 10 countries with most military satellites

  1. United States: 239 🇺🇸
  2. China: 140 🇨🇳
  3. Russia: 105 🇷🇺
  4. France: 18 🇫🇷
  5. Italy: 13 🇮🇹
  6. Israel: 11 🇮🇱
  7. India: 9 🇮🇳
  8. Germany: 7 🇩🇪
  9. United Kingdom: 6 🇬🇧
  10. Spain: 6 🇪🇸
 
Back
Top Bottom