Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

Role ya kwana ya Komando ni nguvu

Akili ni kitu cha ziada tu

Ebu fikiria tu mwenyewe akili ya kazi gani?

Kwamba awe na uwezo wa ku calculate speed ya ngumi kwa vipimo vya nyuzi ili ajue perfect time ya kuikwepa?

Kaka modern special forces guys wanatakiwa wawe na combination of all. Smart ,extreme endurance, weapons expert,explosive handling,bomb disposal,recon

Doctrine za hapa kwetu sizifaham kiundani, but modern sf lazima aweze ku accumulate hizo knowledge na awe practicaly cable kuzitumia on the field.

Unatuma mtu ambae nguvu ndio only advantage? Hato survive for long
 
1693467027264.png
 
Yani sijaelewa chemistry inayounganisha mambo mawili kati ya uwezo wa kufanya hivyo vitu na kuwa na akili

Labda kwasababu hatukukubaliana tangu awali kipimo cha akili

Mtu kuwa expert wa explosive handling sijajua ni kiasi gani inamuweka karibu na ukomando

Kiukweli hivyo vitu ulivyoviororeshwa tukianza kuvichunguza tutaona vinafanywa na watu wakawaida tu, je nao tuwaite makomando?
 
Neno "komando" (pia linaweza kuandikwa "komandoo" au "commando") linaweza kumaanisha mtu au kikundi cha watu waliofunzwa kwa ustadi wa hali ya juu katika mbinu za kijeshi, kijasusi, au operesheni maalum. Hapa kuna maelezo zaidi:

1. Jeshi la Kikomando: Katika muktadha wa kijeshi, "komando" ni jina la kikosi maalum kilichopewa mafunzo maalum kwa ajili ya kutekeleza operesheni ngumu na za siri. Wanajeshi wa komando wamebobea katika mbinu za kivita, ujasusi, na kushiriki katika operesheni za kijeshi zenye changamoto kubwa.

2. Operesheni Maalum: Komando wanaweza kuhusika katika operesheni maalum, kama vile kudukua nyara, kumkomboa mateka, au kutekeleza mashambulio ya kijasusi nyuma ya laini za adui.

3. Mafunzo na Ustadi: Wanajeshi wa komando hupitia mafunzo ya hali ya juu ili kujifunza mbinu za kujihami, kushambulia, kupiga doria, na kufanya operesheni zenye utata. Wanaweza kuwa na ujuzi wa kutumia silaha mbalimbali, kufanya mapigano ya karibu, na kutumia mbinu za kujificha.

4. Utayari na Ujasiri: Komando wanatakiwa kuwa na utayari wa haraka kwa majukumu yoyote wanayopewa na kufanya maamuzi ya haraka katika mazingira yenye shinikizo. Ujasiri na ukakamavu ni sifa muhimu kwa komando.

5. Aina za Komando: Kuna aina tofauti za komando, kama vile komando wa anga (air commandos), komando wa majini (naval commandos), na komando wa ardhini (land commandos), kulingana na eneo la operesheni na mazingira wanayofanyia kazi.
 
Tanzania Fighter Jet Chengdu J-7
1693467883263.png

List Of Top Ten Most Advanced Fighter Jets 2023​

S No.Name
1.Lockheed Martin F-35 Lightning II
2.Chengdu J-20 Mighty Dragon
3.Lockheed Martin F-22 Raptor
4.KAI KF-21 Boramae
5.Sukhoi Su-57
6.Shenyang FC-31 Gyrfalcon
7.Boeing F-15EX Eagle II
8.Eurofighter Typhoon
9.Dassault Rafale
10.Sukhoi Su-35S
 
View attachment 2734303

Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika kuongelea mambo:-
1. Bajeti ya Jeshi
2. Idadi ya wanajeshi
3. Vifaa vya kijeshi
4. Operation zilizofanyika
5. Uwezo katika electronic warfare
6. Umilki wa silaha vya nuclear
7. Uwezo wa Jeshi la anga
8. Uwezo wa Jeshi la Majini
9. Mitambo ya kiulinzi
10. Idadi ya Majenerali

Upande wa Bajeti
Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania ni USD 18.4 billion. Yaani ndani ya hiyo bajeti kuna bajeti ya jeshi, wizara zingine nk.

Zifuatazo ni bajeti ya majeshi tu katika nchi kumi duniani ya mwaka 2020

  1. The United States — $778 billion
  2. China — $252 billion
  3. India — $72.9 billion
  4. Russia — $61.7 billion
  5. United Kingdom — $59.2 billion
  6. Saudi Arabia — $57.5 billion
  7. Germany — $52.8 billion
  8. France — $52.7 billion
  9. Japan — $49.1 billion
  10. South Korea — $45.7 billion

Tanzania haimo kwenye top 10 kwenye upande wa Budget..... Tunaendelea
Unapoteza muda kujadili hoja ya yule chawa mshamba wa jeshi?
 
1693468548573.png

1693468670220.png

Top 10 Most Powerful Navies in the World (by total tonnage - 2014):

  1. United States - 3,415,893
  2. Russia - 845,739
  3. China - 708,886
  4. Japan - 413,800
  5. United Kingdom - 367,850
  6. France - 319,195
  7. India - 317,725
  8. South Korea - 178,710
  9. Italy - 173,549
  10. Taiwan - 151,662
 
Yani sijaelewa chemistry inayounganisha mambo mawili kati ya uwezo wa kufanya hivyo vitu na kuwa na akili

Labda kwasababu hatukukubaliana tangu awali kipimo cha akili

Mtu kuwa expert wa explosive handling sijajua ni kiasi gani inamuweka karibu na ukomando

Kiukweli hivyo vitu ulivyoviororeshwa tukianza kuvichunguza tutaona vinafanywa na watu wakawaida tu, je nao tuwaite makomando?

Commando ni one in all package.
ww umetaka eplosive handling as single entity ,hiyo ni single skills. Kuna skills zaidi ya 30 na lazima aweze kuzi master all.
Weaponology ime advance sana , lazima uwe na background flani kuweza ku operate all skills at once.
Hapa wenzetu ndipo wanatuzidi, they are professionaly focused, they want smart operators. Not muscle heads
 
Role ya kwana ya Komando ni nguvu

Akili ni kitu cha ziada tu

Ebu fikiria tu mwenyewe akili ya kazi gani?

Kwamba awe na uwezo wa ku calculate speed ya ngumi kwa vipimo vya nyuzi ili ajue perfect time ya kuikwepa?
Mkuu kuwa comando ni zaidi ya kile unachokiona cha kupasuliana matofali kifuani. Wanachukuliwa wengi ambao ni stable mentally. Kwamba anaweza kupelekwa Malawi baada ya siku 5 akawa anaongea kimalawi kama wa Malawi wengine. Physical healthy ni kitu tulichokariri wengi ila mpaka kuwa komando asee ina mambo mengi. So tusiwachukulie poa
 
The Tanzania People’s Defence Force (TPDF) will be supporting it’s 15-strong Chinese Type 59G main battle tanks with new Norinco VT-2 main battle tanks

1693469248786.png

Top 10 Main Battle Tanks

  1. Armata (Russia)
  2. Leopard 2A7A1 (Germany)
  3. K2 Black Panther (South Korea)
  4. T-90M (Russia)
  5. M1A2 SEP Abrams (USA)
  6. Challenger 2 (United Kingdom)
  7. Merkava Mk.4 (Israel)
  8. Type 90 (Japan)
  9. Leclerc (France)
  10. Oplot-M (Ukraine)
 
Mkuu kuwa comando ni zaidi ya kile unachokiona cha kupasuliana matofali kifuani. Wanachukuliwa wengi ambao ni stable mentally. Kwamba anaweza kupelekwa Malawi baada ya siku 5 akawa anaongea kimalawi kama wa Malawi wengine. Physical healthy ni kitu tulichokariri wengi ila mpaka kuwa komando asee ina mambo mengi. So tusiwachukulie poa
Umeshawahi kupita komando kozi?
 
View attachment 2734303

Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika kuongelea mambo:-
1. Bajeti ya Jeshi
2. Idadi ya wanajeshi
3. Vifaa vya kijeshi
4. Operation zilizofanyika
5. Uwezo katika electronic warfare
6. Umilki wa silaha vya nuclear
7. Uwezo wa Jeshi la anga
8. Uwezo wa Jeshi la Majini
9. Mitambo ya kiulinzi
10. Idadi ya Majenerali

Upande wa Bajeti
Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania ni USD 18.4 billion. Yaani ndani ya hiyo bajeti kuna bajeti ya jeshi, wizara zingine nk.

Zifuatazo ni bajeti ya majeshi tu katika nchi kumi duniani ya mwaka 2020

  1. The United States — $778 billion
  2. China — $252 billion
  3. India — $72.9 billion
  4. Russia — $61.7 billion
  5. United Kingdom — $59.2 billion
  6. Saudi Arabia — $57.5 billion
  7. Germany — $52.8 billion
  8. France — $52.7 billion
  9. Japan — $49.1 billion
  10. South Korea — $45.7 billion

Tanzania haimo kwenye top 10 kwenye upande wa Budget..... Tunaendelea
Bila kupoteza
Mda nasema POT alikuwa amelewa
 
Back
Top Bottom