Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
Nimeshtuka baada ya kuskia habari hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo lako ni nini ?View attachment 2734330
We kenge kafanye mambo yako, huna unachoelewa kuhusu jeshi.View attachment 2734303
Kutokana na taarifa rasmi za JWTZ kwamba jeshi letu ni la 6 kwa ubora duniani. Katika uzi huu nitajikita katika kuchambua kwa kina uwezo wa majeshi mengine hapa duniani. Nitatumia statistics zilizopo kwenye mitandao mbalimbali na kuonesha picha za vifaa vinavyotumika.
Nitajikita zaidi katika kuongelea mambo:-
1. Bajeti ya Jeshi
2. Idadi ya wanajeshi
3. Vifaa vya kijeshi
4. Operation zilizofanyika
5. Uwezo katika electronic warfare
6. Umilki wa silaha vya nuclear
7. Uwezo wa Jeshi la anga
8. Uwezo wa Jeshi la Majini
9. Mitambo ya kiulinzi
10. Idadi ya Majenerali
Upande wa Bajeti
Bajeti kuu ya serikali ya Tanzania ni USD 18.4 billion. Yaani ndani ya hiyo bajeti kuna bajeti ya jeshi, wizara zingine nk.
Zifuatazo ni bajeti ya majeshi tu katika nchi kumi duniani ya mwaka 2020
- The United States — $778 billion
- China — $252 billion
- India — $72.9 billion
- Russia — $61.7 billion
- United Kingdom — $59.2 billion
- Saudi Arabia — $57.5 billion
- Germany — $52.8 billion
- France — $52.7 billion
- Japan — $49.1 billion
- South Korea — $45.7 billion
Tanzania haimo kwenye top 10 kwenye upande wa Budget..... Tunaendelea
Watu wapuuzi kama nyie ni wakuwahurumia tu.We kenge kafanye mambo yako, huna unachoelewa kuhusu jeshi.
HapanaUmeshawahi kupita komando kozi?
upuuz mtupu unajua watumishi wote wa umma nchi hii au unajiropokea tu kama hujui nchi hii inawatumishi wasiozidi 600000 wanajeshi wakiwemo sasa wewe kwa akili yako unaposema komandoo mmoja sawa na wanajeshi 200 hio umeitoa wapi? kwa hio kwa akili yaka makomandoo 27000 kuzidisha 200 ndio idadi ya wanajeahi wa nchi hii? akili za mafisadi na makuwadi ya warabu ndio zimewajaa wajinga nyinyi mnatakiwa kuondolewa madarakan kama yule mshenz wa Gabon.Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers
Hao ni Makomandoo
Na value ya Komandoo nadhani unaijua
Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200
Sasa hapo ni swala la hesabu
Lianze mara 2?Jeshi letu nalo linataka kuanza siasa
Unajua ni watu wa aina gani wanasoma comment za JF?Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers
Hao ni Makomandoo
Na value ya Komandoo nadhani unaijua
Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200
Sasa hapo ni swala la hesabu
unamaanisha wale makomandoo waliokua wanarushwa vichura na Afande mahita na mwenzie kingai ?Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers
Hao ni Makomandoo
Na value ya Komandoo nadhani unaijua
Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200
Sasa hapo ni swala la hesabu
unamkumbuka komandoo adamoo na rijenje?Uongo upo sehemu chache tu kama asili ya maigizo lakini stori haipingani na uhalisia wa Komando
Umevuka mipaka sasa