Uwezo wa Jeshi la Tanzania (JWTZ) Kulinganisha na majeshi mengine duniani

Labda wanachukua na namba ya mujibu wa sheria
 
Yaani bajet ya nchi nzima kama ndo ingekuwa ya jeshi peke ake tungekuwa angalau top 50
 
Hao wanajeshi 27,000 ulioambiwa unatakiwa ujue kuwa hao sio regular soldiers

Hao ni Makomandoo

Na value ya Komandoo nadhani unaijua

Komandoo mmoja ni sawa na wanajeshi wakawaida 200

Sasa hapo ni swala la hesabu
Mbona VDV na Spetnaz wa Russia walishindwa teka Hostomel pamoja na kwenda na mdege 4 iliyosheheni zaidi ya wanajeshi 1000?
 
Mbona VDV na Spetnaz wa Russia walishindwa teka Hostomel pamoja na kwenda na mdege 4 iliyosheheni zaidi ya wanajeshi 1000?
Hapo umeongea kiufundi sana

VDV na Spetnaz ndio wakina nani hao?
 

Top 10 Largest Navies in the World (by total number of warships and submarines - 2020):

  1. China - 777
  2. Russia - 603
  3. North Korea - 492
  4. United States - 490
  5. Colombia - 453
  6. Iran - 398
  7. Egypt - 316
  8. Thailand - 292
  9. India - 285
  10. Indonesia - 282
Ukifika pale Kigamboni utacheka Navy yetu ina meli mbovuuuuuu
 
Tanzania hata ndege 100 hatuna
 
Tanzania haina hata moja wala haifikirii
 
Russia na satellite zote hizo bado hawezi mziki wa Ukraine
 
Hapo umeongea kiufundi sana

VDV na Spetnaz ndio wakina nani hao?
Ndo makomando wenyewe hao, sasa jiulize kama hapo Hostomel ni 15km kutoka Kyiv ila walipigwa kipigo kibaya ndani ya mwezi wakakimbia
 
T14 Armata ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…