Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

Uwezo wa kuongea na wafu: Elimu Iliyoshindikana duniani

Hivi nini tofaut kati ya nafsi Na roho
Hivyo vyote ni vitu visivyoonekana na huwezi kuvitenganisha nafsi ilipo ndipo na roho ilipo ila nafsi inahusika na kufanya maamuzi(faculty of thinking, reasoning, and applying knowledge) na roho(spiritual nature of humankind) ni kama mwili katika ulimwengu wa roho.
Nafsi na roho zikiwa ndani ya mtu(kwa maana ya huu mwili wa nyama) mtu huyo anakuwa hai,au niseme roho ni pumzi ya uhai ambayo Mungu aliweka ndani ya mwandamu.Mtu akifa nafsi na roho zinakuwa zimetoka katika huu mwili.Niishie hapo,kwa sisi tunaoamini kuna Mungu tunnamini siku ya unyakuo kwa wale watakao kutwa hai,miili yao itabadilishwa lakini nafsi na roho zinakuwa zilezile.Siku moja nikiwa kweny sunday school,kidogo nimulize mchungaji kwamba biblia inasema baada ya kifo ni hukumu,je kama mwili wa mtu aliyekufa tuko nao anayehukumiwa ni nani?Sometimes mtu inamanisha nafsi na roho ukisoma biblia hasa mwanzo kuna maeneo watu huchanganywa kwa ufahamu wao na kuona kama kuna makosa.So mtu anaweza kuwa body,mind and soul na kuna muda katika ulimwengu wa roho mtu ni nafsi na roho,wachawi wakimloga mtu au anapokuwa amefungwa gerezani,yeye katika physical world anaendelea na maisha yake lakini nafsi inapofungwa hata mtu anaweza kuwa anafanya maamuzi ya ajabu yakauathiri mwili wake.
Kama hujaokoka mpokee Yesu leo,huko kuna sunday school utafundishwa utaelewa,yamkini kuna sehemu nimekosea katika kuelezea kwangu ruksa kuulizwa.
 
Uhakika upi zaidi ya Maandiko ambayo yanatuambia aliamshwa Samweli? Hayo mengine ni maoni mawazo na uchambambuzi tu ambayo yanaruhusiwa lakini maandiko yanasema aliamshwa Samweli na akasema yatayotokea kwa Sauli.
Mungu alizuia kutafuta msaada kwa watu wenye pepo na wachawi,soma Lawi 19:31 “Msiwaaendee wenye pepo,wala wachawi;msiwatafute;ili kutiwa unajisi na wao; Mimi ndimi Bwana Mungu wenu”.Sauli kwa kwenda kwa mwanamke mwenye pepo alionyesha kutokumtii Mungu,kosa juu ya kosa.

Swali la msingi, je pepo linaweza msumbua mtumishi wa Mungu kama Samweli ambaye kwa wakati ule baada ya kufa duniani ,alikuwa paradiso ?Je shetani ana huo uwezo kwa wafu waliokufa katika Bwana?Uwezo wa kuwaamusha?Au kuwafanya waonekane?

Sauli akijua maagizo ya Mungu yalikuwaje juu ya watu wenye pepo za utambuzi na wachawi soma Lawi 20:27 “Tena mtu mume au mtu mke aliye na pepo,au aliye mchawi,hakika atauawa;watawapiga kwa mawe;damu yao itakuwa juu yao”.Kwa hiyo kwa andiko hili unaweza pata sababu kwa nini mtumishi wa Mungu mfalme Sauli aliwaua watu wote wenye pepo.

Ndugu zangu niwashirikishe siri moja,Mungu akikukataa au akisema hapana kwako hata uombewe na nabii gani mambo hayatabadirika.Sasa Mungu alinyamaza kwa Sauli,Sauli kwa sababu ya woga wa Wafilisti ambao walikuwa wanakuja kufanya vita na Israel akakimbilia kwa watu wenye pepo la utambuzi,kama ambavyo hata[A1] leo wakristo wanapokuwa na shida au uhitaji wanamwomba Mungu.Majibu yao yasipoonekana kwa muda wanaotaka wao,hukimbilia kwa waganga just like Sauli.

Kwa kifupi,wenzetu wazungu huwa wana “bible studies” na “advanced bible studies” hapo ni masomo mawili ya watu wenye viwango tofauti vya ufahamu,hata kwenye hili kuna watu hawatanielewa,sasa niwe brief,kwa mtu anayejua na kujibidiisha kumtafuta Mungu,aliyeamshwa na mwanamke mwenye pepo la utambuzi hakuwa Samweli hata kama alitabiri mambo yakatokea,hakuna mahusiano kati ya giza na nuru,Mungu hachangamani na uovu.Shetani anaweza kuvaa sura ya mtu yeyote na kufanana naye hata kwa sauti.Kwani katika maisha ya kawaida hakuna watu wanaweza ongea kwa sauti kama za watu wengine maarufu?

Soma Isaya 55:6-7 na tafakari
 
Mwaka 1991 bibi angu alifariki,kuna maelekezo ya namna ya kumzika alinipa,lkn kaka yangu alikuwa msomi na mlokole saana.kipindi kile ndio katoka uholanzi masomoni.alikataa.akasema huo ni upuuzi wa watu wasiokuwa kuwa na elimu.mm nilijitenga na huo uamuzi wake.lkn pia hata wananzengo nao walinipinga.kilichokuja kutokea hakina maelezo mpk ss.jumla ya watu 37 walikufa kw mda wa siku tatu.akiwemo mke wa kaka yangu,baba mkwe na mama mkwe wa kaka.kaka yetu wa ukoo nae alikufa,ilikuwa ni hatari.mm na kaka tulikamatwa kuwa bb alikuwa na kipindupindu,kipindi kile mkuu wa mkoa alikuwa ni dk william shija.huyu ndie alitusaidia baada ya kuwasilisha riport ya kusafirishia maiti kutoka hospt ya sumve mkoani mwanza.na bibi alikufa kw ugonjwa wa sukari.
 
Mshana...kka leo nimehonga boss wangu ili anipangie lindo la Muchwari Muhimbili...

Akiyanani kifo amenihatibia ...kumchua Masogange wakti kesho nilipanga naye maiadi...Kebys...264 room.

Bado atakuwa wa moto namuwahi

Si huwa wanasikia na kuelewa ?

Leo ndio leo...
Ka sikubali

Ndo nimeingia lindoni jioni hii.

Wee kifo wewe
Kifo ka
Kuhomora vitamu wewe

Kifo...mbona unamakusudi hivyo?
 
zaburi 146:4 Roho yake hutoka, naye hurudi ardhini; Siku hiyohiyo mawazo yake hupotea.

Muhubiri 9:5 Kwa maana walio hai wanajua kwamba watakufa, lakini waliokufa hawajui jambo lolote kamwe, wala hawana thawabu tena, kwa sababu kumbukumbu lote kuwahusu limesahauliwa

huo ndio ukuweli wafu hawajui lolote na hawezi kuongea nasi... Wanaongea na wafu huwa wanadanganywa na roho waovu ambao huugiza sauti zao ndio maana pia tunapewa shauri hii
Kumbukumbu 18:10 Asipatikane miongoni mwenu mtu yeyote anayemteketeza motoni mwanawe au binti yake, mtu yeyote anayefanya uaguzi, mtu yeyote anayefanya uchawi, mtu yeyote anayetafuta ishara za ubashiri, mlozi, 11 mtu yeyote anayewafunga wenzake kwa uchawi, mtu yeyote anayetafuta ushauri kutoka kwa watu wanaowasiliana na roho, mpiga ramli, au mtu yeyote anayetafuta habari kuhusu wafu
 
Duu [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] tunaposoma maandiko matakatifu.. Ni vema kuomba kibali cha roho mtakatifu ili kuweza kufumbuliwa ya sirini.... Yale ya kiroho.. Ili imani na uchaji wako visigeuke mzigo mzito kwako ukakikimbia hata kivuli chako mwenyewe
 
nipe andiko linaloonyesha wafu wanaendelea kuishi wakiwa na fahamu kamili na kumbukumbu zile zile...
 
na vipi kuhusu izi habari tunazozisikia mara kwa mara, watu wanaenda kuzika marehemu anaongea anaweza akatoa kauli moja tu watu wote mkakimbia.
watu wanaweza wakawa wanaosha mwili au wanamvesha marehemu akafungua macho alafu akayafunga tena au akachezesha kiungo cha mwili either mkono au mguu.
 
kuna habari kua wanaume wengine wanafariki uku 'babu' kasimama ndindindi adi mke wake anaitwa ndio anamtuliza.
ili limekaaje mshana linaukweli wowote, na kama nikweli sababu hua ninini?
 
nipe andiko linaloonyesha wafu wanaendelea kuishi wakiwa na fahamu kamili na kumbukumbu zile zile...
Hakuna mfu mwenye fahamu kamili au nusu na hata robo hivyo huwezi kupata andiko lake
 
na vipi kuhusu izi habari tunazozisikia mara kwa mara, watu wanaenda kuzika marehemu anaongea anaweza akatoa kauli moja tu watu wote mkakimbia.
watu wanaweza wakawa wanaosha mwili au wanamvesha marehemu akafungua macho alafu akayafunga tena au akachezesha kiungo cha mwili either mkono au mguu.
Inatokea ila si kihivyo ni very slight movements au ambapo lazima zionwe na watu zaidi ya mmoja
 
kuna habari kua wanaume wengine wanafariki uku 'babu' kasimama ndindindi adi mke wake anaitwa ndio anamtuliza.
ili limekaaje mshana linaukweli wowote, na kama nikweli sababu hua ninini?
Kwa kule Tanga kuna tego linaitwa usinga... Hili lipo na ni kweli lakini hakuna awezaye kutuliza isipokuwa kugonyolewa
IMG_20180412_065407_216.jpg
 
Back
Top Bottom