Uwezo wa raia kununua/kufanya manunuzi umeshuka

Wachumi wenyewe kina singida united ndio think tank ya maza unategemea nn hapo.
 
Ukitaka kumtawala mtza mfanye kuwa masikini,mpige kodi,tozo
 
Walituaminisha kuwa tatizo lilikuwa ni wapinzani, wakavurugu uchaguzi, wakajiapisha wamebaki wenyewe lakini Hali inazidi kuwa tete.
Sasa wanatapatapa

Siku hizi waziri wa fedha anaitisha press kila wiki kutetea tozo, anazinguka nchi mzima kufanya mikutano ya hadhara utadhani ni katibu mkuu wa chama
 
Hatari sana
 
Inaumiza Sana kwa kweli.

Nimeamini sisi hatuwezi simamia uchumi mkubwa utatuchanganya Sana. Tumezoea mambo madogo madogo.
 
Bibi Tozo ndio ametufikisha hapa.
 
Acha kulia lia,fanyakazi,upate pesa,ukamilishe mahitaji yako.
 
CCM hawawezi kukubali kwamba purchasing power imeshuka.

Wao leo watakwbia uchaguzi ulikuwa free and fair na uchumi unapanda...tozo zitaendelea sababu wananchi wamezipenda kutokana na mqnufaa yake.
 
Sema wewe ndio huna hela unashinda na mipasho ya kiccm fanua kazi. Pesa mtaani ipo ni wewe na matatizo yako.
 
CCM hawawezi kukubali kwamba purchasing power imeshuka.

Wao leo watakwbia uchaguzi ulikuwa free and fair na uchumi unapanda...tozo zitaendelea sababu wananchi wamezipenda kutokana na mqnufaa yake.
🀣🀣🀣
 
Mada kama hizi zilikua zinafanya mtu aitwe "Sukuma Gang"

Sasa hivi sijui wanaitwaje..🀣

On a serious note,mada hii ni muhimu...
Chato gang ndio wanalalamika wakati Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii hali ilianza tangu kipindi cha jiwe, kwa sasa ni mwendelezo wa hali mbovu ya uchumi wa mtu mmoja mmoja tokea jiwe aingie madarakani na ku implement austerity policies....
Udikiteta unagharama zake. Ndio hizi
 
Mbona mimi niliko sijaona kibanda cha m pesa hata kimoja kimefunga? Hoja yako Inge make sense kama Serikalini ingeahindwa kukusanya pesa Kwa maana ya kwamba watu wametafuta mbinu zingine.

Kinyume na hapo unaongea hekaya tuu.
 
Kama taifa tuliamua kunyamazia dhuluma subiri tudhulumiwe mifukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…