Wengi tunaishi kama wapangaji kwamba huwa hayatuhusuHili nalo litapita. Watanzania ni hofari sana kupiga kelele mitandaoni, lakini kwenda zaidi ya hapo imekuwa mtihani kwelikweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi tunaishi kama wapangaji kwamba huwa hayatuhusuHili nalo litapita. Watanzania ni hofari sana kupiga kelele mitandaoni, lakini kwenda zaidi ya hapo imekuwa mtihani kwelikweli.
Wachumi wenyewe kina singida united ndio think tank ya maza unategemea nn hapo.Uko sawa kabisa. Nichukue mfano wa hapa Mwanza. Hapa Mwanza siku ya Jumatatu, Jumanne na Jumatano mitaa ya Nyerere, Rwegasore, Liberty mitaa hiyo inajaa wafanyabiashara wanaotoka vijijini kuja kununua bidhaa na kurudi vijijini na mtu hupati hata mahali pa kutia mguu kutokana na utitiri wa watu. Leo hii tembelea mitaa hiyo, hakuna wafanyabiashara kama zamani ni wachache sana na maduka mengi yanafungua na kufunga jioni bila hata kuuza bidhaa. Hii inaonyesha dhahiri kuwa uwezo wa wananchi kununua bidhaa kwa ajili ya matumizi yao umepungua hata kwa asilimia 70. Wachumi tunao na hili hawalioni.
Walituaminisha kuwa tatizo lilikuwa ni wapinzani, wakavurugu uchaguzi, wakajiapisha wamebaki wenyewe lakini Hali inazidi kuwa tete.Uko sawa kabisa. Nichukue mfano wa hapa Mwanza. Hapa Mwanza siku ya Jumatatu, Jumanne na Jumatano mitaa ya Nyerere, Rwegasore, Liberty mitaa hiyo inajaa wafanyabiashara wanaotoka vijijini kuja kununua bidhaa na kurudi vijijini na mtu hupati hata mahali pa kutia mguu kutokana na utitiri wa watu. Leo hii tembelea mitaa hiyo, hakuna wafanyabiashara kama zamani ni wachache sana na maduka mengi yanafungua na kufunga jioni bila hata kuuza bidhaa. Hii inaonyesha dhahiri kuwa uwezo wa wananchi kununua bidhaa kwa ajili ya matumizi yao umepungua hata kwa asilimia 70. Wachumi tunao na hili hawalioni.
Hatari sanaWalituaminisha kuwa tatizo lilikuwa ni wapinzani, wakavurugu uchaguzi, wakajiapisha wamebaki wenyewe lakini Hali inazidi kuwa tete.
Sasa wanatapatapa
Siku hizi waziri wa fedha anaitisha press kila wiki kutetea tozo, anazinguka nchi mzima kufanya mikutano ya hadhara utadhani ni katibu mkuu wa chama
Inaumiza Sana kwa kweli.Yaani ni kwamba, unafika ofisini, una subiri wateja, wateja hawaji, unajiinamia kwa kiti, using izi unakupitia, una amka mwenyew bila kuamshwa labda na mteja, yaani njaa inakuuma, unakopa kwa mama ntilie, ukidhani labda atakuja ata mteja mmoja ijapo upate cha Kimlipa mama ntilie lkn wapi NG yangu?
Jaman kama vyuma kukaza Basi vimekaza zaidi yaani,
Maduka ya Akina mangi kitaa hawauzi mafuta ya kupikia sasa hivi, wanasema bei ipo juu, hamna faida
Bibi Tozo ndio ametufikisha hapa.Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno.
Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara
Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu.
Wenye vibanda vya mpesa wengi wamefunga. Wamachinga Hari ni ngumu. Mitaji inakufa. Kila mtu analia..N.k
Acha kulia lia,fanyakazi,upate pesa,ukamilishe mahitaji yako.Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno.
Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara
Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu.
Wenye vibanda vya mpesa wengi wamefunga. Wamachinga Hari ni ngumu. Mitaji inakufa. Kila mtu analia..N.k
Sema wewe ndio huna hela unashinda na mipasho ya kiccm fanua kazi. Pesa mtaani ipo ni wewe na matatizo yako.Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno.
Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara
Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu.
Wenye vibanda vya mpesa wengi wamefunga. Wamachinga Hari ni ngumu. Mitaji inakufa. Kila mtu analia..N.k
🤣🤣🤣CCM hawawezi kukubali kwamba purchasing power imeshuka.
Wao leo watakwbia uchaguzi ulikuwa free and fair na uchumi unapanda...tozo zitaendelea sababu wananchi wamezipenda kutokana na mqnufaa yake.
Chato gang ndio wanalalamika wakati Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki 😀😀😀Mada kama hizi zilikua zinafanya mtu aitwe "Sukuma Gang"
Sasa hivi sijui wanaitwaje..🤣
On a serious note,mada hii ni muhimu...
Kapige wewe basi. Si mnasema chadema ni keyboard warriors? Nyinyi mmefanya nini?Hili nalo litapita. Watanzania ni hodari sana kupiga kelele mitandaoni, lakini kwenda zaidi ya hapo imekuwa mtihani kwelikweli.
Udikiteta unagharama zake. Ndio hiziHii hali ilianza tangu kipindi cha jiwe, kwa sasa ni mwendelezo wa hali mbovu ya uchumi wa mtu mmoja mmoja tokea jiwe aingie madarakani na ku implement austerity policies....
Mbona mimi niliko sijaona kibanda cha m pesa hata kimoja kimefunga? Hoja yako Inge make sense kama Serikalini ingeahindwa kukusanya pesa Kwa maana ya kwamba watu wametafuta mbinu zingine.Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno.