Uwezo wetu wa akili ni mdogo mno, teknolojia yetu inaenda kama konokono, binadamu anachekwa kila kona

Huyu. Mwamba anataka tuadvance mana mpaka leo hatujamaliza hata robo ya barua za tesla
 
Umechangia kipi kati vitu vilivyovumbuliwa na binadamu?.
 

Kusema kuwa umeumbwa kwa mfano wa Mungu ni nadharia tu ambayo umekaririshwa na binadamu mwenzako.

Kwa lugha rahisi, inaweza kuwa ni ujinga mwingine tu…. hata viumbe wengine kwa jinsi zao usikute wanaamini wameumbwa kwa mfano wa Mungu.

Hapo kwenye HIV kuna mdau kasema hapo juu, kama sio janja ya kibiashara basi tumefeli pakubwa.

Kwenye korona unaona kampuni zinakimbizana, lengo ni kupata fursa tu ili ziaminike zipige hela…. hakuna mwenye uhakika wala nia ya dhati ila maslahi tu.
 

Porojo!
 
Halafu ili ujue Binadam ni mjinga kiasi gani ameweka travel Ban mpaka uwe umepigwa chanjo, hii ni kulazimishana biashara na ujinga wa mwisho angalia tunavyoumizana na kukandamizana
 

Kwamba unaomba Mungu akupe teknolojia, aisee!![emoji848]
 
Halafu ili ujue Binadam ni mjinga kiasi gani ameweka travel Ban mpaka uwe umepigwa chanjo, hii ni kulazimishana biashara na ujinga wa mwisho angalia tunavyoumizana na kukandamizana
Kama kavumbua chanjo, travel ban ya nini.......ubabaishaji na ujanja ujanja mwingi, lazima tuna shida mahali.
 

Wewe sasa ndo hiyo bullshit yenyewe, or rather just a piece of it.

Unasema 1912 watu walitengeneza meli ya watu 3500 capacity, je leo hii kuna zaidi ya hiyo meli? Kama hakuna, kwanini!

Na hapo ndipo ilipo hoja ya maishapopote kwamba tumekwama hatupigi hatua, au kama hatua zipo ni mdogo mdogo sana.

JIFUNZENI.
 
Niliwaza unasemea Waafrika tu , kumbe ni wote. Je wajua Wayahudi, ndio wenye akili ya juu sana duniani. Maendeleo yote duniani ni Wayahudi.
 
Ungekuwa more polite kwa kuuliza kwanza au KUJIFUNZA kwanza ili kuepusha kujichora badala ya kuja na insensible and yet proved statement.

Well now umeprove you're the main fundamental of bullshitness.

Sasa hivi kuna meli kubwa za kubeba watu mpaka 7000.

Au ni developments gani unaongelea ndani ya 100 years?

Constructing artificial wormholes for interstellar departures or the ability to travel at the speed of light?
 

Yote hayo yameshajadiliwa huko juu, inabaki kwako tu ikiwa unao uwezo wa kusoma kwa ufahamu na nia ya kujifunza…. hatua zipo ila ndogo ndogo mno ila wengi wajinga wa aina yako hushangilia sana.

JIFUNZENI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…