UWT yalaani vikali BAWACHA kuchoma vitenge vyenye picha ya Rais Samia, yasema ni upuuzi na utoto mkubwa

..RAISI kasema wapinzani wameota MIKIA, na wanataka kuharibu AMANI. Watu wa hovyo kiasi hicho hawastahili hisani ya kuwa ktk mabango yenye picha ya Raisi. Mabango yachomwe moto.
Ujinga na utoto ndio vinawasumbua
 
Kama kuna vitu walikosea hao bawacha ni kupokea vitenge vya huyo laghai mtekaji. Wachome haraka hivyo vitenge vya huyo muuaji.
 
Kama kuna vitu walikosea hao bawacha ni kupokea vitenge vya huyo laghai mtekaji. Wachome haraka hivyo vitenge vya huyo muuaji.
Huna lolote lile wewe. Ulipiga makelele yako humu kuwa utaandamana lakini mwisho wa siku ukajificha uvunguni mwako na kumuacha Mbowe na mke wake pamoja na mwanae tena wa kike.
 
Kawasikitikie BAWACHA hao ndio wanapaswa kupewa Elimu na kufundwa vizuri.
Hapana ndugu hatuwezi kukaa hapa watu wazima tunajadili kitenge cha kuvaa mwilini hapana hapana we are not serious at all tusiende huko tujadili mambo ya Akili na sio hao.
 
Huna lolote lile wewe. Ulipiga makelele yako humu kuwa utaandamana lakini mwisho wa siku ukajificha uvunguni mwako na kumuacha Mbowe na mke wake pamoja na mwanae tena wa kike.
Naandamana kisiasa, sio kwa hao watekaji waliomua kutumia jeshi la polisi kulinda wauaji wenzao. Mbowe ni haki yake kuandamana na mkewe, kwani hata alipokuwa anaenda bungeni nilikuwa naenda naye? Ungekuja ww na mumeo mnizuie ndio ungeweza kujisifia.
 
Nilitaka nikuone barabarani ili ufundishwe adabu
 
Siku uchaguzi ukiwa huru na haki kwa 100% zote, kuna chama kita PASUKA vibaya,niko paleee 🫵
 
Siku uchaguzi ukiwa huru na haki kwa 100% zote, kuna chama kita PASUKA vibaya,niko paleee 🫵
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.kinachoibeba CCM ni ubora wa sera na ajenda zake zenye kugusa maisha ya watanzania
 
Vipi UWT wameshindwa kulaani wakazi wa Mbeya waliomtimua mkuku mkuku Zuchu pale jukwaani mara baada ya kusema mitano tena kwa Samia na Tulia?
 
Acha ujinga wako.pambaneni kuokoa chama chenu kinachoendelea kuzama shimoni.
Utazima wewe, CHADEMA is there till the end of this world...

Kama muhuni mkuu John P. Magufuli aliyekujaga na makombora na missiles zote za kuipoteza CHADEMA alishindwa na mwisho akapotea kwa kufa kifo cha kawaida, sembuse huyu Jezebel - Chura Kiziwi asiye na akili....?

Wewe Lucas Mwashambwa na chawa wenzio mko hapa kwa sababu tu ya huyu Jezebel, mwanachama wa LGBQT Community....

Lakini tunawaambia hivi, sooner and very sooner atafutika kwenye ramani ya uongozi wa Tanganyika kama mtangulizi wake alivyofutika. Na wewe na ID yako haitakuwepo tena hapa Jukwaani. Sisi tutakuwepo, na CHADEMA itakuwepo ikistawi na kustawi...

Tulikuwa na chawa wenye midomo na wapiga propaganda kwelikweli wakati wa U - Magufuli kuliko wewe Lucas Mwashambwa...

Walikuwa wanatamba na kumpigia chapuo za uovu kwelikweli kuwa "awe Rais wa maisha" na wangebadili katiba ya nchi kuwezesha agenda yao ya umilele wake...

Tuliwaambia, wajinga nyie. Hamjui mtakalo wala mlijualo. Haikuchukua muda, Mungu aliwaadhibu kwa uovu wao na mtu wao hakuna ajuaye yuko wapi...
 
Utaweweseka sana mwaka huu mpaka upasuke kwa presha ya wivu na chuki binafsi
 
Basi ndiyo wamechoma sasa, mtawafanya nini?
 
Wanawake wa kuoa ni hawa wanatuzidi wanaume..hawaogopi ni ubaya ubwela..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…