UWT yalaani vikali BAWACHA kuchoma vitenge vyenye picha ya Rais Samia, yasema ni upuuzi na utoto mkubwa

Dkt Slaa aliwataja sana CHADEMA juu ya uhuni wenu huo
 
Nendeni kizimkazi mkaendelee kusifu na kugalagala chini😄
 
Nendeni kizimkazi mkaendelee kusifu na kugalagala chini😄
Taifa zima linagalagala kumshukuru Rais Samia kwa kazi nzuri na kubwa aliyoifanya katika Taifa letu ndani ya muda mfupi.ambayo imekuwa ni kama miujiza au ndoto.
 
Ukiwa na vijana kama Wewe niTaifa linaangamia, labda kama unataka kujua watu wanataka Nini,lakini kama ndiyo ya moyoni mwako haya!Bora mbuzi utamla nyama .
Muache haraka sana tabia zenu za kutengeneza matukio .si umeona yule mlevi Vitusi Nkuna aliyelewa na kugonga gari la watu na kusingizia kuwa alitaka kutekwa na watu wasiojulikana
 

Kama mna ubavu, Wakamateni na kuwashitaki kama mlivyomfanyia yule kijana wa watu na picha yake.
 

Mkuu bado tu hujakumbukwa kwenye teuzi
 
BAWACHA wamekosa Adabu kwa Rais .. ila sababu mama ni mpole ..atawasamehe tu hawajui watendalo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…