Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahivyo kwakua Tanzania iko Africa basi hiyo ndiyo maana ya uzalendo kwa sasa?Uzalendo ni kujitoa kwa nchi yako ila kwa Africa UZALENDO NI KUSIMAMA(KUTOMKOSOA) NA RAIS WAKO
hatari kubwaMzalendo=Kujenga ukuta
lazima tufike mahali tukubali kutokubalianaUzalendo ni kuipenda nchi yako na Sio Serikali
.
Kunatofauti kubwa kati ya kuipenda nchi na kuipenda, unaweza ukaipenda nchi ila usiipende Serikali na kuna unaweza ukaipenda Serikali lakini usiipende nchi na kuna wakati ukapenda vyote.
Na pia kuna wakati kuichukia Serikali iliyoko madarakani nako Uzalendo.
Ila sasahivi Uzalendo ni "kuunga mkono juhudi za Magufuli" ukiunga "mguu" wewe sio mzalendo na ni Msaliti.
NENO UZALENDO AWAMU HII LIMETAMKWA MARA NYINGI KULIKO AWAMU ZOTE ZILIZOPITA NA NDIO NENO LINALORUN KWENYE GOOGLE KULIKO AWAMU ZOTE.
Uzalendo ni hali ya kukubali kila jambo linalifanywa na watawala wa CCM.Habari wana JF,
Nimechanganyikiwa hapa na mambo yanayoendelea katika nchi yangu. Naomba nijuzwe maana ya neno uzalendo na yapi ni matendo ya kizalendo.
Asanteni
Uzalendo nikuwa na dhati ya kupenda inchi yako kupinga uonevu kwa wanyonge na kuisaidia inchi yako kupiga hatua kimaendeleo na kupambana kuuondoa umasikini bila kujali itikadiHabari wana JF,
Nimechanganyikiwa hapa na mambo yanayoendelea katika nchi yangu. Naomba nijuzwe maana ya neno uzalendo na yapi ni matendo ya kizalendo.
Asanteni
Siku hizi Mkuu sikuoni kwenye ile nafasi yako ya asiliaseeeh nashindwa hata kutoa jibu la 1 kwa 1
Hayo ni matendo yanayotaka kufanana na ya kizalendoUzalendo nikuwa na dhati ya kupenda inchi yako kupinga uonevu kwa wanyonge na kuisaidia inchi yako kupiga hatua kimaendeleo na kupambana kuuondoa umasikini bila kujali itikadi
nimefulia mkuu, bando sometimes mzozoSiku hizi Mkuu sikuoni kwenye ile nafasi yako ya asili
Taratibu Mkuu, uzalendo hautaki hasiraNeno uzalendo linatumika kama neno uchochezi pale awali lilivyokua likitumika na Wananchi wajinga wanalidandia bila kujua maana yake uzalendo nini mi mtu akiwa anaongea akaanza kusema sijui uzalendo namuona waki
umepishana na 1.5 T?nimefulia mkuu, bando sometimes mzozo