Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Pascal ni mnafiki.Mkuu huyu jamaa akiamua kujitoa ufahamu kuhusu yanayojiri nchini anakuwa mtu wa ajabu sana kwa pumba anazoandika humu.
Anataka kutuaminisha kwamba anachofanya Magufuli ni sahihi ila anachofanyiwa sio sahihi.