Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

Mshamba yule,

Hakujua alipashwa kutumia ziara ile kujitanua pia kiuchumi
Tangu lini mnaimba hiyo ngonjera kujitanua kiuchumi. Lakini tunawaona mnatanua matumbo yenu tu. Uchumi ukiendelea kushuka?. Wananchi wakiendelea kuwa na hali mbaya?
 
Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma | Rais Joao wa Angola ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo

#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Umejibu vyema sana.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Click to expand...
Viva Samia Viva

Mimi ni chadema ila Samia dam
 
Tangu lini mnaimba hiyo ngonjera kujitanua kiuchumi. Lakini tunawaona mnatanua matumbo yenu tu. Uchumi ukiendelea kushuka?. Wananchi wakiendelea kuwa na hali mbaya?
Acha kusingizia watu kuwa na hali mbaya jizungumziee wewe na chadema yako,
 
Acha kusingizia watu kuwa na hali mbaya jizungumziee wewe na chadema yako,
Ccm mijitu milafi kabisa. Huoni kabisa hali mbaya za wengine. Mnavyojiona nyie mlivyoiba na kushibiana matumbo,mnaona wote wako sawa. Ndio hapo alieshiba hamjui mwenye njaa.

Halafu mmejiziba masikio yenu,yoyote alie against na nyie hata akiwa ndani ya ccm mnambatiza uchadema. Hamjui tu watu walivyowachoka
 
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_________________
 
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidi
 
Kwahiyo hizo milioni elfu 9 ni gharama ya kurusha hiyo ndege moja?
Huenda sijaelewa vizuri kwakuwa sijamaliza kusoma uzi wote

πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Kwahiyo hizo milioni elfu 9 ni gharama ya kurusha hiyo ndege moja?
Huenda sijaelewa vizuri kwakuwa sijamaliza kusoma uzi wote
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Uzalendo wa Rais Samia ni wa moyoni,

Duuh, kama hii ni kweli basi Samia ni jembe sana,

Asante Rais wangu Samia kwa kuwajali Watanzania

Gharama za Safari ya Rais wa Angola,
Soma kwa utulivu is very interesting
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…