Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

Uzalendo wa Rais Samia kwa Taifa

Mshamba yule,

Hakujua alipashwa kutumia ziara ile kujitanua pia kiuchumi
Tangu lini mnaimba hiyo ngonjera kujitanua kiuchumi. Lakini tunawaona mnatanua matumbo yenu tu. Uchumi ukiendelea kushuka?. Wananchi wakiendelea kuwa na hali mbaya?
 
Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma | Rais Joao wa Angola ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo

#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI
 
Akili ndogo Sana! Siku nyingine utapinga Joe Biden kusafiri na Airforce One! Nyau we!
Hebu angalia stats hizi:
Angola: population 38 million; GDP USD 89bn, GDP per Capita: USD 2900

Tanzania: population: 58 million, GDP USD 63 bn; GDP per Capita: USD 1090

Angola haitegemei korosho mazee ambazo mwendaakhera aliziua!
Umejibu vyema sana.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Hebu nioneshe kipengele katika katiba ya sasa kinacho kuruhusu kuendeleza mikutano ya majukwaa ya kisiasa baada ya uchaguzi.

Yaan ni sawa na chuo tu baada ya kuchagua rais wa chuo wote mnarud class kupambana na GPA hakuna tena magenge zaid ya hapo ni kampeni ya kumkwamisha aliyepo.

Mikutano yenu ya ndani fanyeni lakin majukwaani subirini mda ufike
Click to expand...
Viva Samia Viva

Mimi ni chadema ila Samia dam
 
Tangu lini mnaimba hiyo ngonjera kujitanua kiuchumi. Lakini tunawaona mnatanua matumbo yenu tu. Uchumi ukiendelea kushuka?. Wananchi wakiendelea kuwa na hali mbaya?
Acha kusingizia watu kuwa na hali mbaya jizungumziee wewe na chadema yako,
 
Ccm mijitu milafi kabisa. Huoni kabisa hali mbaya za wengine. Mnavyojiona nyie mlivyoiba na kushibiana matumbo,mnaona wote wako sawa. Ndio hapo alieshiba hamjui mwenye njaa.

Halafu mmejiziba masikio yenu,yoyote alie against na nyie hata akiwa ndani ya ccm mnambatiza uchadema. Hamjui tu watu walivyowachoka
 
Wakati Rais Samia anakwepa gharama ya mafuta ya TZS 270M kwa kupanda usafiri wa Umma | Rais Joao wa Angola ametumia TZS 9.5B kwenye Safari hiyo hiyo ya UN Gen Assembly, Wonders shall never end in Africa hongera sana Rais wangu Samia,​

" Hakuna kama Samia "​

Tunapoambiwa Tanzania imempata Rais Mzalendo wa Vitendo Mhe Samia Suluhu Hassan kuna watu bado wanasitasita kuelewa hata sasa kwani wanadhani Uzalendo ni kufokafoka wakati wote no!! Sasa tukio hili liwafunze maana halisi ya Uzalendo,

Tarehe 25|09|2021 pale JKNIA sote tumeshuhudia Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan akishuka kwenye ndege ya abiria pamoja na Tanzania kuwa na zaidi ya ndege 11 mpya zinazoweza kuruka moja kwa moja toka Dar -New York bila kutua popote lakini Rais alifanya vile ili kupunguza gharama za Safari yake ili chenji ya safari iende kuhudumia watoto wa masikini na hii ndio maana halisi ya Uzalendo wa vitendo.

Rais wa Angola H. E. Joao Lourenço katika kuhudhuria mkutano mkuu wa 76 wa UN Gen Assembly ( UNGA) jijini New York Marekani alijiidhinishia kiasi cha 2.5bl Angolan Kwanza ambayo ni sawa na $4.12M au sawa na shilingi milioni elfu tisa na miatano yaani 9.5bl,Lakini umbali kutoka Angola hadi New York ni kilometa 10,967 wakati umbali kutoka Tanzania hadi New York ni kilometa 12,050,Rais Joao amekuwa akisafiri kwa ndege binafsi wakati wote tofauti kabisa na Rais wetu.

Uzalendo ni imani lakini unasukumwa zaidi na hofu ya Mungu iliyoko ndani ya kiongozi husika,Rais mmoja anatumia Tshs 9.5bl kwa mkutano mmoja, kwa msiofahamu thamani halisi ya Tshs 9.5bl ni kwamba pesa hii inaweza kujenga hospitai kubwa tano za rufaa mnazozijua.

Rais Samia anakwepa kutumia 270M za Watanzania || Joao anatumia Tshs 9.5bl za wanaangola kwa mkutano mmoja, Viva Samia Viva huyu Mungu unayemuheshimu akuheshimishe zaidi na zaidi.

.........Kazi iendelee .........

Alarm over Angola President’s Sh9.5 billion UN travel budget
SUNDAY SEPTEMBER 26 2021
===================================
Angola President
Angola's President Joao Lourenco (C) reviews the guard of honour as he arrives at the Angola Nation Assembly on October 16, 2017.

Summary

On September 8, President Lourenço approved, in a presidential decree, the sum of US$4,119,036.75 (TSh9.5 billion) for operating expenses in preparations for the 76th session of the General Assembly of the United Nations, which closed Friday.

Civil society members and political party representatives in Angola are criticising President João Loureço’s budget for UN travel.

On September 8, President Lourenço approved, in a presidential decree, the sum of US$4,119,036.75 (2,500,000,000 Angolan Kwanza or TSh9.5 billion) for operating expenses in preparations for the 76th session of the General Assembly of the United Nations, which closed Friday.

President João Lourenço took over in September 2017, at the end of José Eduardo dos Santos's 38-year reign, and pledged to fight corruption.

Mihaela Webba, an MP in the main opposition party, Unita, asked what Angola would do with such a budget, describing the $4 million of additional credit for almost one week in the US as “not fair”.

“It is too much abuse of our money,” she said.

Tchizé dos Santos, a former MP of the ruling MPLA party, asked: “Were the State coffers not as empty as the President said he found them when he took over?”

Santos added: “$4 million on a trip and the President travels almost every month [sic]. Whenever he goes by plane he leaves in private jets.”

Mr João Pinto, a ruling MPLA MP, however, said whoever damages his image should be held responsible.

“It is outrageous to damage a poster or the image of the President and leader of the MPLA, that in December organises its ordinary congress. Being a democrat requires respect for others, even if you don't agree with them, so those involved in acts of outrage, injury or damage must be held responsible," he wrote on his Facebook page.

The controversies are arising as Angola plans to hold a general election in 2022, with President Lourenço and his ruling MPLA party seeking retain power.

VIVA TANZANIA || VIVA SAMIA

View attachment 1969119

View attachment 1969120
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 
Rais Samia atoa wastani wa madarasa manne na madawati 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima | Hakika awamu ya Sita Tanzania lazima iwe Tanzania.​

" Hakuna kama Samaia "​

Baada ya janga la Covid-19 kuvuruga Uchumi wa dunia na sisi tukiwemo, Shirika la fedha duniani ( IMF) pamoja na benki ya dunia ( WB) wameanza kuzisaidia nchi mbalimbali duniani ikiwemo Tanzania mikopo yenye masharti nafuu ili pesa hizo zitumike kama Economic Stimulus & Relief Fund na hapa muelewe vizuri Tanzania tunapokea mikopo na misaada ila "HATUITEGEMEI " ndio maana hata kwenye bajeti yetu hii ya FY2021|22 katia ya Tshs 36.33trl zilizotengwa pesa zetu ni 91.9% huku misaada na mikopo ikiwa ni 8.1% tu,

IMF tayari imeisaidia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu kiasi cha Tshs 1.3trl kwaajili ya kusisimua Uchumi wake uliodorora kwasababu ya covod-19 kwani niukweli usiopingika Tanzania tumeumizwa zaidi kwenye Sekta za Utalii,biashara na Usafirishaji,

Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia pesa hizo na baada ya kutoa madarasa ya kisasa elfu 15 sawa na wastani wa madarasa manne kwenye kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima huku kipaumbele kikiwa ni shule zenye upungufu wa madarasa lakini furaha iliyoje Rais wetu ametoa tena jumla ya madawati 462,795 ambayo ni sawa na Wastani wa madawati 120 kwenye kila Shule ya Sekondari nchi nzima ambazo jumla ya shule hizo ni 3,863.

Sababu za Rais Samia Suluhu Hassan kutoa madarasa mapya manne ya kisasa na madawati mapya 120 katika kila shule ya Sekondari ya Serikali nchi nzima ni kuhakikisha wazazi wa watoto watakaojiunga na kidato cha kwanza mwakani katika mwaka wa masomo 2021|2025 hawalipi hata Shilingia mia moja kwani Rais wetu mnyenyekevu ameshalipa pia ada za watoto wote 1M wanaotakiwa kuanza shule siku moja nchi nzima yaani trh 06|01|2022,hii haijawahi kutokea katika historia ya nchi yetu,

VIVA SAMIA VIVA || VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 1971181

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_________________
 
Swala sio utajiri au umasikini,

Kwaakili Tanzania tunashindwa kugharamia safari ya UNGA kwa kiwango cha kifisadi?

Hoja hapa ni UZALENDO wa Mzalendo namba moja Samia Suluhu Hassan,

Ukisoma hiyo Source Watu wa Angola wanalalamika kama uchumi ni huo Why walalamike,

Tukubaliane kwa Sasa Africa, Mzalendo namba Moja ni SAMIA SULUHU HASSAN TU.
Kaziindelee kwa kasi & wekedi zaidi
 
Kwahiyo hizo milioni elfu 9 ni gharama ya kurusha hiyo ndege moja?
Huenda sijaelewa vizuri kwakuwa sijamaliza kusoma uzi wote

👇🏿👇🏿👇🏿

Miezi sita ya Rais Samia,

Nchi imetulia tuli,
Wawekezaji kama wote
Wahisani kama wote
Wananchi Shangwe kila kona

#KAZIIENDELEE
 
Kwahiyo hizo milioni elfu 9 ni gharama ya kurusha hiyo ndege moja?
Huenda sijaelewa vizuri kwakuwa sijamaliza kusoma uzi wote
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Uzalendo wa Rais Samia ni wa moyoni,

Duuh, kama hii ni kweli basi Samia ni jembe sana,

Asante Rais wangu Samia kwa kuwajali Watanzania

Gharama za Safari ya Rais wa Angola,
Soma kwa utulivu is very interesting

Back
Top Bottom