Uzalishaji wa Cement Tanzania ni takriban mara mbili zaidi ya Kenya

Kama utaendelea na tabia yako ya kusema vitu bila ushahidi au kudanganya kwa makusudi ili kutaka kushinda mjadala, nitaanza kukupuuza sitojibu posts zako, punguza ujinga japo kidogo.

Hii hapa ripoti ya dhamani ya manufacturing sector ya Tanzania ya mwaka 2018 ni $4 B, hiyo $969M umetoa wapi?, Tanzania Industry - TanzaniaInvest
Punguza ujinga kaka, unakuwa kama chizi kwanini?
 
Tony254, wewe ndio hujui biashara kabisaa, Uchumi wa Djibouti unaingia mara 50 kwa Kenya, uchumi wa Msumbiji unaingia mara tatu kwa Kenya, unasema hizi nchi ni masikini sana kufanya nazo biashara haina faida, lakini uchumi wa Kenya unaingia zaidi ya mara Elfu ishirini kwa Marekani, lakini bado Marekani anataka kufanya biashara na Kenya, kamwe Marekani au China hawasemi Kenya ni masikini sana hawawezi kununua bidhaa zetu.
 
Jibu la kiakili sn hili [emoji3][emoji3][emoji3]
 

Wacha saruji izalishwe kwa wingi na Nyerere Hydro ikikamilika gharama za uzalishaji zitakuwa chini kabisa hivyo ujenzi wa nyumba bora na za kisasa utashika kasi na hiyo ziada tutauza nje mtake msitake maana mteja anaangalia unafuu wa bidhaa siku zote. Ila nimefurahi sana kusikia Yana Tyre imekufa, maaana ni Yana hiyo hiyo iliyosababisha kifo cha General Tyre Arusha.... hahah malipo ni hapa hapa...
 
Sorry tz nadhan mikoa yenye bei ndogo ni 14,000/=( 32.5R) ambayo sasa inapanda hadi 14500 kwa cement zenye bei chini kama simba na tembo

Ila mikoa mingine ni zaidi ya 14,000/= sasa mbona kama uwingi wa viwanda kama hautusaidii TANZANIA
Hata mimi sielewi. Kama mchumi, tulifunzwa darasani kuwa uwingi wa bidhaa sokoni inasababisha bei kushuka sasa sijui kwa nini huko TZ bei inapanda ilhali uzalishaji wa saruji nao unaongezeka kila siku. Hata mimi nashindwa kuelewa.
 
Hata mimi sielewi. Kama mchumi, tulifunzwa darasani kuwa uwingi wa bidhaa sokoni inasababisha bei kushuka sasa sijui kwa nini huko TZ bei inapanda ilhali uzalishaji wa saruji nao unaongezeka kila siku. Hata mimi nashindwa kuelewa.

Tony, pia kwenye uchumi ulifunzwa kuwa demand ikiwa kubwa sana bei inapanda sio? Sasa jiulize Tz kuna miradi mikubwa mingapi ambayo inatumia saruji ya ndani. Sio kama kwenu hapo mradi wa hiyo reli ya Chinese class one cement ilitoka China. Hapa bongo miradi yote inatumia saruji ya hapa hapa.
 
Anko fatiliaga habari... Juzi tu cement imepanda kidogo sababu ya soko la rwanda yaani wananunua cement yetu hadi makampuni yanaongeza bei afu we unasema nchi znajitosheleza???
 
Kenya saruji unapata kwa pesa ya Tanzania elfu kumi na nne. Kwa pesa ya Kenya mia saba tu.
In average saruji ni cheaperTanzani ukilinganisha na Kenya, tatizo lililojitokeza ni Kiwanda cha Dangote kuzalisha chini ya uwezo wake kutokana na upungufu wa makaa ya mawe.
 
Leta data
 
Wanalijenga sehem strategic
 
Kwhyo kw akili yako marekani kenya ndio tegemeo lake katika biashara, we jomba bana..
Yani marekani eti awe hajui km kenya ni nchi maskini sana kwake..
 
6m ton, acha kujifanya hujaona hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…