Uzalishaji wa Cement Tanzania ni takriban mara mbili zaidi ya Kenya

We kweli kichaa
Yaani utajilinganisha na mzalishaji anazalisha mafuta kuanzia mbegu, kulima, kupalilia, kuvuna, kuprocess, kupack, kusafirisha, kuuza na wewe kenge unaerepack already processed imported materials, nani kati ya hawa anapata faida nono kwenye value chain? 😂😂😂😂
 
Mpumzishe huyo kilaza mkuu kwa sasa 😂😂😂😂😂👌
 
Cement Bado Iko Juu Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa yenye wakazi zaidi ya 20m Bado inahaha sana na Cement..
 
Cement Bado Iko Juu Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa yenye wakazi zaidi ya 20m Bado inahaha sana na Cement..
Demand ni kubwa sana mara dufu, miradi ni mikubwa Tanzania, kuna report nimesoma kwamba Tanzania inajengwa mara 50 kwa sasa zaidi ya kipindi cha 2015 kurudi nyuma so lazima bei ipande, pia mahitaji ya nchi zinazotutegemea na zenyewe mahitaji yana panda kila kukicha.
 
Umekua ukizunguka na hiki kijarida chako. Kwa muda sasa hapa jukwaani Em. Leo pata kitu roho inapenda

Bado. Mpo. Chini sana sababu tumewapita mara 2

 
Huwa mara nikigundua umetumia akili katika kujibu ndio ninajibu post zako, ukikurupuka kama kawaida yako huwa sijibu ninakupuuza
Umeshindwa uandike nn manake kw kile ulichokiandikwa haswa, nilibaki kucheka pekeangu..

Rwanda tutafanya nao biashara lkn sio tegemeo kwetu km vile kenya kw marekani..
Lkn ukweli usemwe km burundi hana impact yyte katika biashara na kenya
 
Sorry tz nadhan mikoa yenye bei ndogo ni 14,000/=( 32.5R) ambayo sasa inapanda hadi 14500 kwa cement zenye bei chini kama simba na tembo

Ila mikoa mingine ni zaidi ya 14,000/= sasa mbona kama uwingi wa viwanda kama hautusaidii TANZANIA

Kanunue kenya tutolee kelele hapa watu wanajadili uwekezaji wewe unajadili elfu kumi na nne
 
Soda za pepsi na coca kutoka Tanzania zinapendwa kenya kwani bei yake ni ndogo, unga wa ngano wa Tanzania unapendwa kenya na wakenya wanausifia ni bora, gesi ya matumizi majumbani kenya wanapenda ya kutoka Tanzania maana iko chini hizi ni bidhaa muhimu ambazo wakenya hugombea kuziingiza nchini kwao kutokea Tanzania
 
Kanunue kenya tutolee kelele hapa watu wanajadili uwekezaji wewe unajadili elfu kumi na nne
Ukweli umeona kelele eti! Au unataka uwekezaji ulete kodi kwa serikali tu pasi na unafuu kwa wananchi
 
Hakuna bidhaa hata 1 Kenya imepita Tanzania kwa affordability hata kwenye cement bado Kenya ni ghali zaidi ya Tanzania

Sababu bei ya cement kanda ya kati ni tofauti na mikoa ya mbali kama Kigoma sababu ya Transit charges, ukichukua bei ya cement Kigoma na bei ya cement marsabit Kenya unaweza kuta bei ya marsabit ni mara 2 ya Kigoma.
 
Jibu la kiakili eti marekani hajui km kenya ni maskini na sio tegemeo katika biashara..kweli mumerogwa walai
Soma kwanza alichoandika joto la jiwe wacha kuvamia vamia comment, soma na uelewe alichomaanisha co kukosoa tu.
 
Now everything is clear that Kenyan GDP was cooked.
 
Sasa ndio maana unataka kulia? [emoji1] Kwani unanifaidi kivipi kwa kunukuu comment zangu na kunijibu? Kuna kitufe cha ignore jombaa, kibonyeze usiwe unaniona kwenye anga zako. Hizi pumba zako ulizitupia humu wewe mwenyewe bila kushurutishwa. Pitia pitia kwenye uzi huu. [emoji1] Kenya Manufacturing sector vs Tanzanian's
 
Umeshindwa uandike nn manake kw kile ulichokiandikwa haswa, nilibaki kucheka pekeangu..

Rwanda tutafanya nao biashara lkn sio tegemeo kwetu km vile kenya kw marekani..
Lkn ukweli usemwe km burundi hana impact yyte katika biashara na kenya
Kwa zarau hizo basi mchina angelidharau nchi nyingi wala asingelipeleka bidhaa zake na ndicho haswa alichomaanisha joto la jiwe usiwe mjinga.
 
Umeshindwa uandike nn manake kw kile ulichokiandikwa haswa, nilibaki kucheka pekeangu..

Rwanda tutafanya nao biashara lkn sio tegemeo kwetu km vile kenya kw marekani..
Lkn ukweli usemwe km burundi hana impact yyte katika biashara na kenya
Ngoja nikujibu ili kukuonyesha kwamba wewe huna akili, sisi tumesema nchi tunazoziuzia cement ni DRC, Zambia, Rwanda, Burundi, Malawi, South Africa, Zimbabwe, Comoro, na hizo nchi zingine. Nani aliyekuambia kwamba, kwamba Kenya sio miongoni mwa nchi tunazoziuzia cement kwahiyo hatutegemei soko la Kenya, sasa wewe unasema tunategemea soko la nchi masikini, hivi marekani ikiuza bidhaa zake Kenya ndio kwamba inategemea soko la Kanya?, uwe unasoma na kuelewa kabla hujajibu, pimbi wewe.
 
Kenya saruji unapata kwa pesa ya Tanzania elfu kumi na nne. Kwa pesa ya Kenya mia saba tu.
LOL Kenya ni 700 before transportation, inaenda 720 kwa retailers wakati Tanzania ni 680 kwa retailers na hii ndio bei ghali
 
Lkn hapa hapa bongo cement bado haijatosheleza, hususani miezi hii huwa inasumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…