Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Overcooked 😂😂😂Now everything is clear that Kenyan GDP was cooked.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Overcooked 😂😂😂Now everything is clear that Kenyan GDP was cooked.
Punguza ujingaKenya Manufacturing sector vs Tanzanian's
Sasa ndio maana unataka kulia? [emoji1] Kwani unanifaidi kivipi kwa kunukuu comment zangu na kunijibu? Kuna kitufe cha ignore jombaa, kibonyeze usiwe unaniona kwenye anga zako. Hizi pumba zako ulizitupia humu wewe mwenyewe bila kushurutishwa. Pitia pitia kwenye uzi huu. [emoji1] Kenya Manufacturing sector vs Tanzanian's
South Sudan, Zambia, Malawi, DRCKenya ndio the biggest market in East Africa. Msipouza Kenya mtauza wapi? Hehehe
Anamatatizo huyo ya akili, yeye anajibu comments za watu wote hapa JF, matokeo yake hapati muda wa kuelewa kazi yake ni kukurupuka hovyo hovyo, jinga sana hiloSoma kwanza alichoandika joto la jiwe wacha kuvamia vamia comment, soma na uelewe alichomaanisha co kukosoa tu.
Wacha kujidanganya, Kenya cement ni ghali kuliko TanzaniaHata mimi sielewi. Kama mchumi, tulifunzwa darasani kuwa uwingi wa bidhaa sokoni inasababisha bei kushuka sasa sijui kwa nini huko TZ bei inapanda ilhali uzalishaji wa saruji nao unaongezeka kila siku. Hata mimi nashindwa kuelewa.
Bei halisi hii hapa, bado Kenya ni ghali. Kenya lazima wadanganye kwasababu hawana jinsiLOL Kenya ni 700 before transportation, inaenda 720 kwa retailers wakati Tanzania ni 680 kwa retailers na hii ndio bei ghali
Hahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutapiga marufuku saruji kutoka Tanzania. Mbona tununue saruji kutoka kwa jirani mwenye roho mbaya?
Kumbe vya Wachina.Na bado kuna kiwanda kingine hapi Tanga cha wachina....yani hawa wache na kelele zao plus ujinga ulio kidhiri ....watajua Tz ni nani kwa ukanda huu[emoji706]
Marekani haitegemei soko la kenya cz hata tusippnunua bado wanawashirika wengi sana na wenye kutuzidi na mbali..Ngoja nikujibu ili kukuonyesha kwamba wewe huna akili, sisi tumesema nchi tunazoziuzia cement ni DRC, Zambia, Rwanda, Burundi, Malawi, South Africa, Zimbabwe, Comoro, na hizo nchi zingine. Nani aliyekuambia kwamba, kwamba Kenya sio miongoni mwa nchi tunazoziuzia cement kwahiyo hatutegemei soko la Kenya, sasa wewe unasema tunategemea soko la nchi masikini, hivi marekani ikiuza bidhaa zake Kenya ndio kwamba inategemea soko la Kanya?, uwe unasoma na kuelewa kabla hujajibu, pimbi wewe.
Tatizo sio kusoma tu, je umeelewa alichokiandika au na we umekuja ili uonekane unajuaSoma kwanza alichoandika joto la jiwe wacha kuvamia vamia comment, soma na uelewe alichomaanisha co kukosoa tu.
Hebu soma tena wacha ujinga[emoji116][emoji116][emoji116]Tatizo sio kusoma tu, je umeelewa alichokiandika au na we umekuja ili uonekane unajua
Tony254, wewe ndio hujui biashara kabisaa, Uchumi wa Djibouti unaingia mara 50 kwa Kenya, uchumi wa Msumbiji unaingia mara tatu kwa Kenya, unasema hizi nchi ni masikini sana kufanya nazo biashara haina faida, lakini uchumi wa Kenya unaingia zaidi ya mara Elfu ishirini kwa Marekani, lakini bado Marekani anataka kufanya biashara na Kenya, kamwe Marekani au China hawasemi Kenya ni masikini sana hawawezi kununua bidhaa zetu.
Aaaa wee!!mchina kuuza bidhaa tanzania haimaanishi km tz ndio tegemeo kwake..Kwa zarau hizo basi mchina angelidharau nchi nyingi wala asingelipeleka bidhaa zake na ndicho haswa alichomaanisha joto la jiwe usiwe mjinga.
Acha kudanganya watu wewe, mikoani saruji ni 700 na unapelekewa mpka kw site, au nyinyi hko mikoani hakuna free deliveryLOL Kenya ni 700 before transportation, inaenda 720 kwa retailers wakati Tanzania ni 680 kwa retailers na hii ndio bei ghali
Punguza jazaba, mimi ukiandika pumba mbona lazima nikwambie tuAnamatatizo huyo ya akili, yeye anajibu comments za watu wote hapa JF, matokeo yake hapati muda wa kuelewa kazi yake ni kukurupuka hovyo hovyo, jinga sana hilo
Ndio nikakuuliza katika akili zao hawajui kabisa km kenya sio nchi maskini kwao na wala haina impact yyte hta wasipofanya nao biashara..Hebu soma tena wacha ujinga[emoji116][emoji116][emoji116]
Huwezi kupiga marufuku maana utajiumiza mwenyewe maana kuchukua TANZANIA inasababisha mlaji wa mwisho kupata Kwa bei nafuu kuliko popote pale utakapochukuaTutapiga marufuku saruji kutoka Tanzania. Mbona tununue saruji kutoka kwa jirani mwenye roho mbaya?
Maneno yakuishiwa hayaKenya ndio the biggest market in East Africa. Msipouza Kenya mtauza wapi? Hehehe
Kenya kuna cement hadi ya ksh550LOL Kenya ni 700 before transportation, inaenda 720 kwa retailers wakati Tanzania ni 680 kwa retailers na hii ndio bei ghali