Uzee: Maana, kuzuia uzee wa mapema,changamoto na jinsi ya kuwatunza wazee

Sawa binti Kabaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tena hata kukuua. ila hapa ni kuwa make sure una pesa za kukutunza. ukitegemea watoto!! wana yao. na ikiwezekana kama kuna chao wape mapema. ila bakiza chako unachojua kitakusuma utakapokatikia basi!!
kabisa umenena vyema
 
yoote tisa kumi jiandae uwe na MPUNGA WAKO MWENYEWE!!
Hapa ndo pa kuzingatia. Tena ni Bora Kama una watoto wa kike wengi maana wanajali Sana wazazi wao ila kama umezaa madume watakuwa bize na mademu wao na mbaya zaidi wakilishwa limbwata ndo utakufa kwa kukosa huduma.
 
Mungu Baba nisaidie mja wako my bibi alizerka akawa ka mtoto akawa haskii vzuri Ila anaweza kusoma had kawa kipofu maskini huwa nawaza life style ya dunia hii ya sasa kufikisha miaka zaidi ya Mia na ishirini ni muujiza kwa kweli.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi zilizoendelea Wana poor socialization kila mtu mbinafsi yuko busy na yake aisee. Upweke ni janga baya sana ukichangia hata kuzaa hawataki kukwepa ulezi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaa kweli watoto wa kike hatusahau nyumbani wanaume papuchi ikiwanogea huwa mnasahau wazazi mi uzazi wangu napenda nipate watoto wa kike wawe mashosti zangu
Hapa ndo pa kuzingatia. Tena ni Bora Kama una watoto wa kike wengi maana wanajali Sana wazazi wao ila kama umezaa madume watakuwa bize na mademu wao na mbaya zaidi wakilishwa limbwata ndo utakufa kwa kukosa huduma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiishi maisha kama yao unaweza
 
Tatizo kubwa la uzee ni kuwa, kadiri mtu anavyozeeka ndio kadiri anavyotamani aendelee kuishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…