ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Wafukuzwe kazi haraka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache aropoke tu ,kisa yupo Mjin Dar ,ila ajui nyuma ya pazia kuna nini aende Mombasa akaulizie ile historia ya Kaya bombo ilipotekea ,nilikuepo kule ,askar anamlenga jambar kisha anatoeka ,yalipita mengi had ile vita kuisha, huyu akishiba tu anakaa nyuma ya keyboard nakuandika shibe yake ,kuna mengi huyajui, hao askari wanakutana na mambo mengi sana, mengine hadi wao wenyewe wanaenda kwa waganga ili kutimiza. kuna majambazi mengine hata ukiyalenga risasi haziingii na yanakusogelea yakunyang'anye bunduki, utafanya nini kama sio kutoka nduki...hahaha, risasi 49 kulenga na fisi anakwepa sio kitut rahisi, ushirikina upo, kama hauamini kuna siku utakunyorosha hadi urudi hapa useme kweli upo.
Walikuwa wapi hawa wakati Afrika tunapigwa na wakoloni au dawa zao zilikuwa zime-expire ?Mwache aropoke tu ,kisa yupo Mjin Dar ,ila ajui nyuma ya pazia kuna nini aende Mombasa akaulizie ile historia ya Kaya bombo ilipotekea ,nilikuepo kule ,askar anamlenga jambar kisha anatoeka ,yalipita mengi had ile vita kuisha, huyu akishiba tu anakaa nyuma ya keyboard nakuandika shibe yake ,
Huyo/hao Askari ni Wazembe na wawajibishwe. Sidhani kama huwa wanarejea mafunzo mara kwa mara au ni kujibweteka tu.Wafukuzwe kazi haraka
Niliwahi kusikia risasi moja mpaka kufika store ya jeshi, inagharimu 150k za kitanzania. Sina uhakika, na siwezi kuthibitisha!
Hivi risasi 1 ni bei gani jamani halafu fisi mbona sio lazima kumuwinda kwa bunduki
Nchi inaangamia hii.Walikuwa wapi hawa wakati Afrika tunapigwa na wakoloni au dawa zao zilikuwa zime-expire ?
Likikukuta jambo badala ya kutafuta majibu rahisi rahisi ni vema ukachunguza na kufanya utafiti ni nini au kwanini hiki kimetokea na kwanini kina-defy logic..., Hapo ndio utaendelea kama Binadamu na kuweza kupambana na mazingira....Huwezi kujua kama dunia ina mambo mpaka likukute jambo.....
Inawezekana ukawa sahihi kulingana na utashi wako na experience yako ya changamoto za kimaisha ulizopitia.....ila wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi......na Dunia ina mambo........kama jambo unashindwa kulielewa kulingana na mitazamo yako......basi linaweza likawa sawa kwa mitazamo ya wengineHamna lolote ndugu, hawezi kukubali kulindwa na Askari mzembe kama hao/huyo...mpaka amalize marisasi yote hayo si umeshavamiwa na kudhuriwa?.
Nilimsikiliza Msemaji wa Polisi, Mwanamama akiwa anazungumzia tukio hili kana kwamba kulikuwa na miujiza na si uzembe wa Wahusika.
Ni aibu sana kwa karne hii kama bado tuna ujinga wa kuabudu vitu ambavyo havipo....alafu hapohapo tunataka tupate Vijana wa kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia.
Hatuwezi kufika kokote kwa ujinga wa aina hii, na ukweli ni kwamba Askari hao hawakuwa na uwezo. Na huenda hata kwenye matukio ya Ujambazi Polisi hupoteza risasi nyingi mpaka kufanikiwa kumlenga Muhusika.
Huyo/hao Askari waliohusika kupoteza silaha zote hizo wahakikiwe uwezo wao wa kutumia silaha kwa ufanisi...huenda Askari wetu ni legelege kiasi cha kutumia silaha huku wakiwa wanatetemeka kwa kumuogopa Fisi.
Tukiendelea kuendekeza haya mambo ya kijinga tutakuza taifa la Wanaume 'Mashoga' na kutafuta visingizio. Taifa tunahitaji Wanaume wenye balls (Men with balls)
MEN WITH BALLS
View attachment 1871310
Mh! Mh! Mh! Hakuna risasi inayouzwa kwa bei hiyo!Niliwahi kusikia risasi moja mpaka kufika store ya jeshi, inagharimu 150k za kitanzania. Sina uhakika, na siwezi kuthibitisha!
hivii wale askari uchwarrraaa wakiongozwa na bashitte walimkosakosa TUNDU LISSU marisasi mangapi vileee???Nilimsikiliza Msemaji wa Polisi, Mwanamama akiwa anazungumzia tukio hili kana kwamba kulikuwa na miujiza na si uzembe wa Wahusika.
Ni aibu sana kwa karne hii kama bado tuna ujinga wa kuabudu vitu ambavyo havipo....alafu hapohapo tunataka tupate Vijana wa kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia.
Hatuwezi kufika kokote kwa ujinga wa aina hii, na ukweli ni kwamba Askari hao hawakuwa na uwezo. Na huenda hata kwenye matukio ya Ujambazi Polisi hupoteza risasi nyingi mpaka kufanikiwa kumlenga Muhusika.
Huyo/hao Askari waliohusika kupoteza silaha zote hizo wahakikiwe uwezo wao wa kutumia silaha kwa ufanisi...huenda Askari wetu ni legelege kiasi cha kutumia silaha huku wakiwa wanatetemeka kwa kumuogopa Fisi.
Tukiendelea kuendekeza haya mambo ya kijinga tutakuza taifa la Wanaume 'Mashoga' na kutafuta visingizio. Taifa tunahitaji Wanaume wenye balls (Men with balls)
MEN WITH BALLS
View attachment 1871310
Sidhani kama haya matukio yanashabihiana.hivii wale askari uchwarrraaa wakiongozwa na bashitte walimkosakosa TUNDU LISSU marisasi mangapi vileee???
walikuwa na haraka askari uchwarrraa si wangetulia tu wasubiri ashuke ASKARI UCHWARRAASidhani kama haya matukio yanashabihiana.
Lisu alikuwa kwenye Gari, hivyo walikuwa wanlenga target wasiyoiona, walikuwa wanahissi tu kuwa yupo usawa huu wakawa wanmimina hapo risasi.
Nadhani kwa maelezo niliyokutana nayo ni kuwa huenda Wauwaji walitarajia angeteremka kutoka kwene Gari...hivyo labda wakalazimika kumimini risasi kwa kuhisi tu.
Stori za vijiweni kunogesha alkasusNiliwahi kusikia risasi moja mpaka kufika store ya jeshi, inagharimu 150k za kitanzania. Sina uhakika, na siwezi kuthibitisha!
Na sijui hii kasumba ya kuwahusisha hawa Wanyama na ushirikina imetokea wapi.Fisi kaupiga mwingi sana