Uzembe wa Askari kulenga shabaha na kupoteza risasi 49 unaposingiziwa ushirikina

Uzembe wa Askari kulenga shabaha na kupoteza risasi 49 unaposingiziwa ushirikina

kuna mengi huyajui, hao askari wanakutana na mambo mengi sana, mengine hadi wao wenyewe wanaenda kwa waganga ili kutimiza. kuna majambazi mengine hata ukiyalenga risasi haziingii na yanakusogelea yakunyang'anye bunduki, utafanya nini kama sio kutoka nduki...hahaha, risasi 49 kulenga na fisi anakwepa sio kitut rahisi, ushirikina upo, kama hauamini kuna siku utakunyorosha hadi urudi hapa useme kweli upo.
Mwache aropoke tu ,kisa yupo Mjin Dar ,ila ajui nyuma ya pazia kuna nini aende Mombasa akaulizie ile historia ya Kaya bombo ilipotekea ,nilikuepo kule ,askar anamlenga jambar kisha anatoeka ,yalipita mengi had ile vita kuisha, huyu akishiba tu anakaa nyuma ya keyboard nakuandika shibe yake ,
 
Walikuwa wapi hawa wakati Afrika tunapigwa na wakoloni au dawa zao zilikuwa zime-expire ?
 
Niliwahi kusikia risasi moja mpaka kufika store ya jeshi, inagharimu 150k za kitanzania. Sina uhakika, na siwezi kuthibitisha!
Hivi risasi 1 ni bei gani jamani halafu fisi mbona sio lazima kumuwinda kwa bunduki

Risasi zipo hadi za $1 tokana na silaha unayotumia ila sio ghali kabisa. However, hawa mapolisi ni wazembe na inabidi warudi training wasisingizie uchawi.

Walikuwa wapi hawa wakati Afrika tunapigwa na wakoloni au dawa zao zilikuwa zime-expire ?
Nchi inaangamia hii.

Jana nimewasikia tena Waendesha Bodaboda kule Kigoma kwamba wanachanjwa kukabiliana na kupigwa, kuuwawa na kuporwa Pikipiki zao.

Sasa badala ya kutumia njia sahihi za kuhakikisha wankuwa salama wao wanaamini ushirikina.
 
Huwezi kujua kama dunia ina mambo mpaka likukute jambo.....
Likikukuta jambo badala ya kutafuta majibu rahisi rahisi ni vema ukachunguza na kufanya utafiti ni nini au kwanini hiki kimetokea na kwanini kina-defy logic..., Hapo ndio utaendelea kama Binadamu na kuweza kupambana na mazingira....

Miaka mingi watu walikuwa wakiona eclipse wanadhani wamepata mikosi hivyo kupelekea binadamu wenzao kuwatoa kufara ili kumridhisha muumba...
 
Huwezi kujua kama dunia ina mambo mpaka likukute jambo.....
Hamna lolote ndugu, hawezi kukubali kulindwa na Askari mzembe kama hao/huyo...mpaka amalize marisasi yote hayo si umeshavamiwa na kudhuriwa?.
 
Kwa mwenendo huu hakuna namna, imebaki tujifunze kwa Wazungu tu, hata kama tutawaita Wanyonyaji, Mabeberu lakini kwa hali tuliyonayo sisi tatabaki kuburutwa na Dunia ya kwanza milele.
 
Hamna lolote ndugu, hawezi kukubali kulindwa na Askari mzembe kama hao/huyo...mpaka amalize marisasi yote hayo si umeshavamiwa na kudhuriwa?.
Inawezekana ukawa sahihi kulingana na utashi wako na experience yako ya changamoto za kimaisha ulizopitia.....ila wahenga wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi......na Dunia ina mambo........kama jambo unashindwa kulielewa kulingana na mitazamo yako......basi linaweza likawa sawa kwa mitazamo ya wengine
 
Nilimsikiliza Msemaji wa Polisi, Mwanamama akiwa anazungumzia tukio hili kana kwamba kulikuwa na miujiza na si uzembe wa Wahusika.

Ni aibu sana kwa karne hii kama bado tuna ujinga wa kuabudu vitu ambavyo havipo....alafu hapohapo tunataka tupate Vijana wa kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia.

Hatuwezi kufika kokote kwa ujinga wa aina hii, na ukweli ni kwamba Askari hao hawakuwa na uwezo. Na huenda hata kwenye matukio ya Ujambazi Polisi hupoteza risasi nyingi mpaka kufanikiwa kumlenga Muhusika.

Huyo/hao Askari waliohusika kupoteza silaha zote hizo wahakikiwe uwezo wao wa kutumia silaha kwa ufanisi...huenda Askari wetu ni legelege kiasi cha kutumia silaha huku wakiwa wanatetemeka kwa kumuogopa Fisi.

Tukiendelea kuendekeza haya mambo ya kijinga tutakuza taifa la Wanaume 'Mashoga' na kutafuta visingizio. Taifa tunahitaji Wanaume wenye balls (Men with balls)

MEN WITH BALLS

View attachment 1871310

Nakubaliana nawewe 100%

Waende kuwatesti wahusika ninauhakika watakosa shabaha.

Hao askari hawana uwezo kulenga shabaha kabisaa

Aibu tupu.
 
Nilimsikiliza Msemaji wa Polisi, Mwanamama akiwa anazungumzia tukio hili kana kwamba kulikuwa na miujiza na si uzembe wa Wahusika.

Ni aibu sana kwa karne hii kama bado tuna ujinga wa kuabudu vitu ambavyo havipo....alafu hapohapo tunataka tupate Vijana wa kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia.

Hatuwezi kufika kokote kwa ujinga wa aina hii, na ukweli ni kwamba Askari hao hawakuwa na uwezo. Na huenda hata kwenye matukio ya Ujambazi Polisi hupoteza risasi nyingi mpaka kufanikiwa kumlenga Muhusika.

Huyo/hao Askari waliohusika kupoteza silaha zote hizo wahakikiwe uwezo wao wa kutumia silaha kwa ufanisi...huenda Askari wetu ni legelege kiasi cha kutumia silaha huku wakiwa wanatetemeka kwa kumuogopa Fisi.

Tukiendelea kuendekeza haya mambo ya kijinga tutakuza taifa la Wanaume 'Mashoga' na kutafuta visingizio. Taifa tunahitaji Wanaume wenye balls (Men with balls)

MEN WITH BALLS

View attachment 1871310
hivii wale askari uchwarrraaa wakiongozwa na bashitte walimkosakosa TUNDU LISSU marisasi mangapi vileee???
 
hivii wale askari uchwarrraaa wakiongozwa na bashitte walimkosakosa TUNDU LISSU marisasi mangapi vileee???
Sidhani kama haya matukio yanashabihiana.

Lisu alikuwa kwenye Gari, hivyo wauwaji walikuwa wanalenga target wasiyoiona, walikuwa wanahisi tu kuwa yupo usawa huu wakawa wanamimina hapo risasi.

Nadhani kwa maelezo niliyokutana nayo ni kuwa huenda Wauwaji walitarajia angeteremka kutoka kwenye Gari...hivyo baada ya kuona hashuki labda ndio wakalazimika kumimini risasi kwa kuhisi tu.
 
Sidhani kama haya matukio yanashabihiana.

Lisu alikuwa kwenye Gari, hivyo walikuwa wanlenga target wasiyoiona, walikuwa wanahissi tu kuwa yupo usawa huu wakawa wanmimina hapo risasi.

Nadhani kwa maelezo niliyokutana nayo ni kuwa huenda Wauwaji walitarajia angeteremka kutoka kwene Gari...hivyo labda wakalazimika kumimini risasi kwa kuhisi tu.
walikuwa na haraka askari uchwarrraa si wangetulia tu wasubiri ashuke ASKARI UCHWARRAA
Wametutia hasarra marisasi kibawwoo afu wameondoka patupu dah.. akari wa kukodi ni shida. sijawahi sikia BASHITTE kafanya tukio afu kaWIN
 
Fisi kaupiga mwingi sana
Na sijui hii kasumba ya kuwahusisha hawa Wanyama na ushirikina imetokea wapi.

Hawa ni Viumbe kama wengine tu.

Na pia kuna uwezekano wa kuwafuga ndio maana wenye uwezo wa kwafuga wanatumia hiyo Frsa kutishia wengine kwa imani ya ushirikina.
 
Back
Top Bottom