kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,475
Hiyo ya kina Mandingo tupeane connection usawa sio huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi Sana, bwana mshana Apo kwny kuosha wafu umemkuna Sana[emoji16]
Huyu nasikia alirud na laptop tuVipi kuhusu kodi mkuu wanakataje?
Ila najiuliza hawa ndugu zetu wanaorudigi mikono mitupu wao huwa wanakuja kulala au?
Wapi Le Mutuz mzee wa mabebezz
Huo mshahara ulioutaja unaweza onekana mkubwa Tanzania kwa wenzetu ni wa kawaida sana. Maisha ghali sana, matibabu, nyumba, vyakula, kodi etc.
Mkuu umechambua vyema sana. Sema nini namba 9 hujaimalizia vizuri.[emoji28][emoji28] najua ni kazi pendwa sana hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mdau mwenzangu huyu[emoji3]Mkuu ni kweli kabisa iyo ajira no 9 nilijaribu kuifuatilia aisee nikasema wale wanao act ni wamejitoa haswaaa
Kunaa actor mmoja anaitwa Rico strong huyu bingwa kuna mwaka alikutwa na kadhia ya ku mwagika sperm yaan zilikuwa zinatoka non stop jamaa alikuwa ana jiandaa kushot bac akameza dawa za kumfanya achelewe kufika mashindo bac una ambiwa baada ya lisaa tu jamaa sperm.zikaanzaa kutoka yaan bil kukata
Nchi zilizoendelea kama unafanya kazi kwa masaa angalau 8 kwa siku (kazi yoyote) utaishi maisha mazuri ku-compare na Afrika. I mean utakula, utakunywa, utalipa kodi ya nyumba na mshahara wako utakutosha mpaka mwisho wa mwezi. Ni kweli kule kodi, vyakula nk viko bei juu kulingananisha na hapa kwetu lakini kama nilivyokuambia, ukifanya kazi angalau masaa 8 kwa siku hutaishi maisha ya kubaingaiza. ANGALIZO: hali itakuwa ngumu kama una ndugu wa kusaidia nyumbani na pengine unawekeza au kujenga nyumba Bongoland.Matumizi ya kila siku?
Bei za vyakula?
Huduma kama internet, umeme, maji, gesi n. k
Gharama za maisha bado zipo juu huko kuliko huku kwetu.
Huna uelewa wa kutosha ndiyo maana unasema hivyo. Ukienda majuu kwa lengo la kusema ''naenda kuchuma nirudi na utajiri'' siyo rahisi kama unavyofikiri. Hata wazungu wenyewe ungewaambia wafanye hicho unachodhani siyo rahisi. Hapa nazungumzia kwa watu wa kawaida siyo wenye mishahara mikubwa. Majuu ukiwa na kazi full time unaishi maishi bora na siyo ya kubangaiza kama Bongo. Utakula, utaishi kwenye nyumba nzuri kabisa nk lakini tatizo linakuja pale kuweka ziada.Vipi kuhusu kodi mkuu wanakataje?
Ila najiuliza hawa ndugu zetu wanaorudigi mikono mitupu wao huwa wanakuja kulala au?
Wapi Le Mutuz mzee wa mabebezz
Mkuu sijakataa sina uelewa kabisa wa hizo kazi, ndio mana nimeuliza kodi wanakataje hasa kwa wageni?Huna uelewa wa kutosha ndiyo maana unasema hivyo. Ukienda majuu kwa lengo la kusema ''naenda kuchuma nirudi na utajiri'' siyo rahisi kama unavyofikiri. Hata wazungu wenyewe ungewaambia wafanye hicho unachodhani siyo rahisi. Hapa nazungumzia kwa watu wa kawaida siyo wenye mishahara mikubwa. Majuu ukiwa na kazi full time unaishi maishi bora na siyo ya kubangaiza kama Bongo. Utakula, utaishi kwenye nyumba nzuri kabisa nk lakini tatizo linakuja pale kuweka ziada.
Hell noMkuu apartment ya chumba kimoja ni zaid ya $2000 achana na utilities nyingine
Dolari 22 bosi Pa hourWewe wasema.
Lakini unajua Mshahara wa kima cha chini huko ni kiasi gani au unapuyanga tu ili uonekane kuwa nawe umesema?
Inategemea unaishi wapi na una ishi maisha ya aina gani.Bro hupendi kupingwa?
Hupendi maoni yanayo ku- challenge?
Gharama za maisha zipo juu sana.
Kazi pamoja na yote hayo tajwa hapo juu tunaomba takwamu za wasio na kazi.