Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

Uzembe wako ndio Umasikini wako: Kazi hizi za 'Kichovu' zinalipa mno Ulaya/Marekani- Ila uwe 'Kidume' kweli

Mkuu ni kweli kabisa iyo ajira no 9 nilijaribu kuifuatilia aisee nikasema wale wanao act ni wamejitoa haswaaa
Kunaa actor mmoja anaitwa Rico strong huyu bingwa kuna mwaka alikutwa na kadhia ya ku mwagika sperm yaan zilikuwa zinatoka non stop jamaa alikuwa ana jiandaa kushot bac akameza dawa za kumfanya achelewe kufika mashindo bac una ambiwa baada ya lisaa tu jamaa sperm.zikaanzaa kutoka yaan bil kukata
 
Mkuu umechambua vyema sana. Sema nini namba 9 hujaimalizia vizuri.[emoji28][emoji28] najua ni kazi pendwa sana hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pia ukiwa elimu imepanda si elimu UCHWARA ya kuunga unga na gundi kama ya jiwe unaweza kuvuta zaidi $200K kwa mwaka na wako Wabongo wengi tu wanavuta hiyo pesa ndefu.
Huo mshahara ulioutaja unaweza onekana mkubwa Tanzania kwa wenzetu ni wa kawaida sana. Maisha ghali sana, matibabu, nyumba, vyakula, kodi etc.
 
Mkuu umechambua vyema sana. Sema nini namba 9 hujaimalizia vizuri.[emoji28][emoji28] najua ni kazi pendwa sana hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ni kweli kabisa iyo ajira no 9 nilijaribu kuifuatilia aisee nikasema wale wanao act ni wamejitoa haswaaa
Kunaa actor mmoja anaitwa Rico strong huyu bingwa kuna mwaka alikutwa na kadhia ya ku mwagika sperm yaan zilikuwa zinatoka non stop jamaa alikuwa ana jiandaa kushot bac akameza dawa za kumfanya achelewe kufika mashindo bac una ambiwa baada ya lisaa tu jamaa sperm.zikaanzaa kutoka yaan bil kukata
Mdau mwenzangu huyu[emoji3]
 
Matumizi ya kila siku?
Bei za vyakula?
Huduma kama internet, umeme, maji, gesi n. k
Gharama za maisha bado zipo juu huko kuliko huku kwetu.
Nchi zilizoendelea kama unafanya kazi kwa masaa angalau 8 kwa siku (kazi yoyote) utaishi maisha mazuri ku-compare na Afrika. I mean utakula, utakunywa, utalipa kodi ya nyumba na mshahara wako utakutosha mpaka mwisho wa mwezi. Ni kweli kule kodi, vyakula nk viko bei juu kulingananisha na hapa kwetu lakini kama nilivyokuambia, ukifanya kazi angalau masaa 8 kwa siku hutaishi maisha ya kubaingaiza. ANGALIZO: hali itakuwa ngumu kama una ndugu wa kusaidia nyumbani na pengine unawekeza au kujenga nyumba Bongoland.
 
Ukipata nafasi ya kwenda huko nenda tu,kuliko kufia bongo unafanya kazi kwenye viwanda masaa 12 unaambula kulipwa 4000 WHAT THE FU***N HELL.
 
Vipi kuhusu kodi mkuu wanakataje?
Ila najiuliza hawa ndugu zetu wanaorudigi mikono mitupu wao huwa wanakuja kulala au?
Wapi Le Mutuz mzee wa mabebezz
Huna uelewa wa kutosha ndiyo maana unasema hivyo. Ukienda majuu kwa lengo la kusema ''naenda kuchuma nirudi na utajiri'' siyo rahisi kama unavyofikiri. Hata wazungu wenyewe ungewaambia wafanye hicho unachodhani siyo rahisi. Hapa nazungumzia kwa watu wa kawaida siyo wenye mishahara mikubwa. Majuu ukiwa na kazi full time unaishi maishi bora na siyo ya kubangaiza kama Bongo. Utakula, utaishi kwenye nyumba nzuri kabisa nk lakini tatizo linakuja pale kuweka ziada.
 
Mkuu sijakataa sina uelewa kabisa wa hizo kazi, ndio mana nimeuliza kodi wanakataje hasa kwa wageni?
Na pili kila mtafutaji huwa anakuwa na lengo la kutajirika,
Labda kama wewe unatafuta kwa ajili ya kushibisha tumbo lako tu
 
Wanigeria naona ndo wanapenda sana izo mishe zakujilipua. Bongoland sisi ni waoga.
 
Bro hupendi kupingwa?
Hupendi maoni yanayo ku- challenge?
Gharama za maisha zipo juu sana.

Kazi pamoja na yote hayo tajwa hapo juu tunaomba takwamu za wasio na kazi.
Inategemea unaishi wapi na una ishi maisha ya aina gani.
Hata hapa Tanzania wapo watu wanayaona na wanasema maisha ni magumu ingawa vilevile wapo wengine wanasema maisha ni ya hapa ni ya gharama ya chini sana. Sasa ukiona ni magumu sana endelea kuishi hapahapa.
 
Back
Top Bottom