Uzi kwa waliosoma shule za jeshi-form 1&6

Uzi kwa waliosoma shule za jeshi-form 1&6

Info kama zipi?

Experience niliyobakia nayo ni kujua miendo kadhaa ya kijeshi, sijui hata inanisaidia nini?

Kingine mbio za smart area, hee zimeongeza pumzi eneo flani 🤣

Kingine stick…. Wajuba wako na fimbo zao spesho.

Kingine usmart wa hapa na pale.. unamkuta mtoto wa Azania ama Kisutu hajachomekea wala kuvaa tai, lkn sie wa jeshini unachomekea tokea unatoka kwenu mpaka unarudi kwenu.
 
Ukija Uzi wa waliosoma Azania , Benjamin , Tambaza , IST , Shaban Robert na Al Muntanzir mnitag
 
Ila makongo dah achaa tu kitambo hicho cha marehemu afande miraji na babu chacha yule mwembamba mbona tulinyooka vilivyo hahahaa dah! Namkumbuka mwl wangu master na kenyaman malongoli hatari sauti ya simba
 
Kizuka TPDF Sec. 2001-2004
Afande mpauko, Sokomoko, Warioba kwa stick hawa acha kabisa. Head Master Maj. Dumba tukamalizia na Maj. Mwashala
Jitegemee JKT High 2006-2008
Capt. Nchenjere Geo I now ni kanali
Capt. ..…...….............. Geo II now ni kanali
Mkisi programme😆😆
Head Master Maj. Mkisi now Kanali
It was a big experience being there mpaka sasa........
 
Mkisi programme[emoji38][emoji38]
Head Master Maj. Mkisi now Kanali
It was a big experience being there mpaka sasa........
Ulimaliza na olevel na jamaa baunsa anaitwa M. Shau?
 
Kabisa tupo pamoja, kuanzia Rutihinda, Mzimuni, Karume, kawawa, mburahati, mianzini, makurumla, turiani, Magomeni lions tupo hapa
Kabisa wazee wa machimbo yoote kuanzia ubalozini na kwingneko tunasubiri zamu yetu ifike
 
Mshkaji wangu sana, now ni mwalimu na last time alikuwa anaishi Kimara Temboni
Daaah, kweli hatari, jamaa vituko sana nilikuwa nae a level singida, Mwenge high school 2005 to 2007, yap ni teacher, mshikaj wangu sana
 
Daaah, kweli hatari, jamaa vituko sana nilikuwa nae a level singida, Mwenge high school 2005 to 2007, yap ni teacher, mshikaj wangu sana
Muulize aliyekuwa body nwenzako na kipanga wenu class ni nani?
Kama una number yake nipatie maana nilishaipotezaga..
 
Back
Top Bottom