Athuman Mintangah
Member
- May 29, 2021
- 79
- 133
Shule kama;
- Jitegemee
- Airwing
- Makongo
- Bwawani
- Kizuka n.k.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Info kama zipi?
Experience niliyobakia nayo ni kujua miendo kadhaa ya kijeshi, sijui hata inanisaidia nini?
Kingine mbio za smart area, hee zimeongeza pumzi eneo flani
hahah umekaa wapi?Mkifika uzi wa watoto waliosoma magomeni kigogo na mburahati mnishitue
Nimekaa pale 👉👉👉😛😜hahah umekaa wapi?
"...our school motto DETERMINATION FOR EXCELLENCE"Makongo na Airwing moja hiyo
shule za wamang'atiUkija Uzi wa waliosoma Azania , Benjamin , Tambaza , IST , Shaban Robert na Al Muntanzir mnitag
Kama umesoma Dar na haujasoma shule hizo basi sawa na mtu aliyesoma Kantalamba sec.shule za wamang'ati
Kabisa tupo pamoja, kuanzia Rutihinda, Mzimuni, Karume, kawawa, mburahati, mianzini, makurumla, turiani, Magomeni lions tupo hapaMkifika uzi wa watoto waliosoma magomeni kigogo na mburahati mnishitue
Ulimaliza na olevel na jamaa baunsa anaitwa M. Shau?Kizuka TPDF Sec. 2001-2004
Afande mpauko, Sokomoko, Warioba kwa stick hawa acha kabisa. Head Master Maj. Dumba tukamalizia na Maj. Mwashala
Jitegemee JKT High 2006-2008
Capt. Nchenjere Geo I now ni kanali
Capt. ..…...….............. Geo II now ni kanali
Mkisi programme[emoji38][emoji38]
Head Master Maj. Mkisi now Kanali
It was a big experience being there mpaka sasa........
Mshkaji wangu sana, now ni mwalimu na last time alikuwa anaishi Kimara TemboniUlimaliza na olevel na jamaa baunsa anaitwa M. Shau?
Kabisa wazee wa machimbo yoote kuanzia ubalozini na kwingneko tunasubiri zamu yetu ifikeKabisa tupo pamoja, kuanzia Rutihinda, Mzimuni, Karume, kawawa, mburahati, mianzini, makurumla, turiani, Magomeni lions tupo hapa
Daaah, kweli hatari, jamaa vituko sana nilikuwa nae a level singida, Mwenge high school 2005 to 2007, yap ni teacher, mshikaj wangu sanaMshkaji wangu sana, now ni mwalimu na last time alikuwa anaishi Kimara Temboni
Muulize aliyekuwa body nwenzako na kipanga wenu class ni nani?Daaah, kweli hatari, jamaa vituko sana nilikuwa nae a level singida, Mwenge high school 2005 to 2007, yap ni teacher, mshikaj wangu sana