Uzi maalum kwa wale wanaomuamini Mungu muumba

Wapedwa tusiwe na wasiwasi juu ya Imani yetu kwa MUNGU.pia MUNGU hawezi kukudai mambo makubwa ambayo huna kumbe kidogo tulichonacho tukifanyie kazi .

Kumjua kumpenda na kupendana ss kw as basi hayo ya kuchokonoa na kutafiti kutaka kujua kila kitu kama yeye(MUNGU) Ndio ulikua mwanzo wa uasi /Muasi/Ibilisi/Shetani
 
Ha haha ha hahaaaa.... anasema hivyo kwakuwa tangu utotoni mwake amekarilishwa kusema hivyo...anawaona watu wanaomzunguka "" wakifikwa na mitihani huwa wanasema hivyo pia...." "kama binaadamu huyo angetekelezwa msituni akiwa tangu mtoto mchanga then akabaahatika kukua "" unadhani akiumwa atakuwa ana sema Mungu nisaidie....""??
 
Namwamini Mungu wangu muumba mbingu na nchi kwa kuniamsha salama kila siku iitwayo leo, amekuwa mwema sana kwangu anayonitendea ni zaidi na ninayostahili

Kuna mda nakwenda tofauti na mipango yake lakini ananisamehe na kunipa nafasi nyingine

Sina cha kukulipa Mungu wangu zaidi ya kulitukuza na kulisifu jina lako
 
"Mimi Niko ambaye Niko" milele iliyopita na milele ijayo" huyu ndiye Mungu ninaye muamini Mimi..
Hugo mungu Yuko wapi wakati viumbe wake watiifu wanakifa kwa Shida, njaa na majanga mbakimbali
 
Wanaosema mungu nisaidie wanajipa tu matumaini na ndiyo maana bado wanakufa tu. Angekuwa yupo kweli basi angekomesha madhila yote ya dunia hii
 
kuna watu wanataka wajifurahishe jf kwa kumpinga Mungu ila weng wao wanafanya hvyo kwa hofu kubwa, bahat mbaya unawafurahsha ambao hawana msaada kwako.
We we mungu kakusaidia nini
 
Mungu hayupo. Angekuwepo tusingekua tunapata shida hizi Duniani.

Na kama yupo na akatengeneza haya matatizo basi hana akili.
Mungu hakumuumba Mwanadamu ili apate shida, tatizo mnaandika na kuongea vitu hamjui. Ni nini chanzo cha shida zote hizi Duniani??
Me nadhani wapagani, wachawi na waabudu mizimu muanzishe thread yenu hatuwataki humu!
 
Ninaamini katika Mungu. Ninaamini katika Yesu Kristo mwana wa pekee wa baba, Heri wote wenye mioyo safi maana watamuona Mungu.
Yesu huyu huyu aliyedundwa na viumbe wake?
 
Huyo bwana Yuko wapi?
 
Mimi watu hawa wapingao Mungu ,wala hawanipi Homa,kwa maana hizi ndo nyakati za Mpinga Kristo.

Wasiwaumize sana ,Mungu wetu hajalala na hayupo likizo , Kwakua kila jambo nawakati wakati wake ,basi aminin hawa wampingao siku yao pia ipo !!! ..

Ushahidi ni huu KATIKA KITABU CHA WARUMI 14:11 neno la Mungu linasema " Kwakua Imeandikwa ,kama niishivyo, Anena bwana.*KILA GOTI* LITAPIGWA MBELE YANGU NA *KILA ULIMI* UTAMKIRI MUNGU .

WAFILIPI 2:10-11 inasema " ILI KWA JINA LA YESU KILA GOTI LIPIGWE, ( goti la aina gan??anaendelea) LA VITU VYA MBINGUNI (kumbe malaika nao wanapiga magoti[emoji122]) NA VYA DUNIANI( sisi wanadamu) , NA VYA CHINI YA NCHI . NA KILA ULIMI UKIRI KUA YESI KRISTO NI BWANA KWA UTUKUFU WA MUNGU BABA".


Kutoka kwangu...Ili mradi umeumbwa kwa udongo na pumzi aloitoa yeye Mungu. Basi utaruka ruka weeeee, utaruka rukaaaaaaaa utaruka weeeeeee LAKINI IPO SIKU GOTI LAKO LITAPIGWA.

Niwashaur kitu kwasisi tunaoamin Mungu... Hawa watu ni wapotoshaji wa hali ya Juuu, ukiwa mjinga na wakuyumbishwa wakutoa ktk imani yao... Bahati mbaya Hawa watu huwa wakikaribia KUFA wanaomba Mungu awasamehe na tunawazika Kikristo, kwaiyo unajikuta siku ya siku Anaenda Mbinguni , Huku wewe alokupoteza unabaki.

Kuweni makini..... Mungu atawashugulikia ,kwakua yeye sio kigeu geu ,na alishasema Kila goti litapigwa.

A REAL MAN WORSHIP !!! A REAL MAN WORSHIP, ........ MWANAMKE UONAPO MWANAMME WAKO HAKUONGOZI KTK UKUU WA MUNGU ,HUYO NI WAKUMKIMBIA KAMA UKOMA ,KWAKUA KUANZIA WEWE MPAKA WANAO WATAPOTOSHWA KWA UPUUZI WAKE.......eti bidada naye anasema "Nampenda Mume-Shetani wangu" [emoji23][emoji23][emoji23]...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…